Hao wanawake wa “sasa” wako katika utumwa mbaya kabisa kuliko hata hao bibi zetu. Bibi zetu walikuwa katika asili hivyo walikuwa katika kheri kabisa.
Naelewa ninachokisema sababu hata mimi nimekulia katika “usasa” (ukizingatia pia mimi ni katika Generation Z niliyekulia katika karne ya 21) na nimeshuhudia madhara na tabu ya kuachana na asili.