Bora uende.............

Bora uende.............

Kutana nae muombe kipapa akikupa piga halafu ndio umwachie manyoya moja kwa moja.
 
aicee nijuacho mie mtu yeyote kubadili tabia ni almost impossible,so if u accept her the way she is,then go on,but if not hapo ndo kakupa chance ya ku break up bila kuwa na guilty conscious.
 
kijana ukweli wa sasa ni kwamba K lazima ilipie kwa namna moja au nyingine mizinga ni common place kayika mahusiano. sasa ukimtema huyu mwengine nae utakaye mpata itakuwa hivyo hivyo mizinga tuu. so mie nakushauri ukubaliane na hali halisi ya kuwa K ya bure hamna siku hizi.
 
good!!huo ndo uanamme,siyo anakuambia futa namba yake unalia lia!!!good ulimjibu vizuri!
 
KWANZA UMEPATA WAPI NAMBA YANGU ILIHALI ULISHAIFUTA? PILI NILIMWAMBIE BORA UENDE KWANI MAPENZI YA MIKWARUZANO,VISA NA SHARI SIYAWEZI".

mpaka hapo wewe ni kidume.........nini matisho bana....tupa kule.....
ulipotoka safari.....alitakiwa akuliwaze.....upumzike....asome nyakati ndio akupige mzinga......
huyo mwanamke anahitaji kufundwa....sh**zi type......
 
Naona kama mlifanya maamuzi mkiwa na hasira kidogo....changanua changamoto mlizopitia ndani ya miezi 6 zinabebeka? Naamini utaweza kujua na sikiliza moyo wako unataka nini hivyo kuamua vzr zaidi!
 
mpaka hapo wewe ni kidume.........nini matisho bana....tupa kule.....
ulipotoka safari.....alitakiwa akuliwaze.....upumzike....asome nyakati ndio akupige mzinga......
huyo mwanamke anahitaji kufundwa....sh**zi type......
i like it take 5
 
habari wana jf:
Habari za siku nyingi kidogo.
Awali ya yote ningependa nikiri kwa hili ninaloenda kulieleea hapa nina makosa kwa asilimia fulani,
nimeluwa kwenye mahusiano na msichana mmoja kwa takribani miezi sita sasa.uhusiano wetu ulikuwa ni mzuri lakini wenye changamoto za kwaida katika mapenzi.hivi karibuni nilisafiri kwenda kijijni ambako nilikaa kwa wiki mbili,huko kijijni hakuna mtandao wa aina yoyote hivyo kwa hizo wiki mbili tukawa hatuna mawasiliano.niliporudi hivi karibuni,alinipokea vizuri tuu:jambo nla kwanza aliloniambia nakumbuka alisema nashukuru umerudi maana nilikuwa nina shida ya hela:kauli hiyo moyoni haikunifurahisha kabisaa.mimi nilichomjibu ni kwamba kwa sasa sina hela,baada ya hapo kilichofuta ni maneno machafu ambayo ni busara zangu tuu zilizonizuia kufanya jambo baya.siku hiyo ikapita tukakaa kama siku tatu bila kuwasiliana,kanipigia ila alichoanza kuongea ni lawama tupu.nikaamua kukata simu(hapo ndio kosa langu);baada ya kukata simu akanitumia sms isemayo "kuanzia sasa sitaki tena unipigie simu yangu,futa namba yangu na mimi nafuta yako.tusijuane tena"
mimi binafsi mwanamke akishaniambia hivyo huwa sina muda wa kumbembeleza ninachofanya ni kukubali alichoamua na huwa sirudi nyuma tena.
Sasa leo kanipigia simu anasema anataka kuongea na mimi;nilichomjibu ni kama ifuatavyo"kwanza umepata wapi namba yangu ilihali ulishaifuta? Pili nilimwambie bora uende kwani mapenzi ya mikwaruzano,visa na shari siyawezi".
Je wana jf maamuzi niliyochukua ni sahihi?na kwa upande mwingine je mwanamke huyu anamapenzi ya dhati kweli?
well done!exellent!keep it up!very good!
 
A Simple But Great Quotation..:
.
.
.
Don't Trust Your Heart..
.
.
.
Because Its Not On The Right Side..;-)
 
Habari wana JF:
Habari za siku nyingi kidogo.
awali ya yote ningependa nikiri kwa hili ninaloenda kulieleea hapa nina makosa kwa asilimia fulani,
Nimeluwa kwenye mahusiano na msichana mmoja kwa takribani miezi sita sasa.uhusiano wetu ulikuwa ni mzuri lakini wenye changamoto za kwaida katika mapenzi.Hivi karibuni nilisafiri kwenda kijijni ambako nilikaa kwa wiki mbili,huko kijijni hakuna mtandao wa aina yoyote hivyo kwa hizo wiki mbili tukawa hatuna mawasiliano.Niliporudi hivi karibuni,alinipokea vizuri tuu:jambo nla kwanza aliloniambia nakumbuka alisema nashukuru umerudi maana NILIKUWA NINA SHIDA YA HELA:Kauli hiyo moyoni haikunifurahisha kabisaa.Mimi nilichomjibu ni KWAMBA KWA SASA SINA HELA,baada ya hapo kilichofuta ni maneno machafu ambayo ni busara zangu tuu zilizonizuia kufanya jambo baya.Siku hiyo ikapita tukakaa kama siku tatu bila kuwasiliana,kanipigia ila alichoanza kuongea ni lawama tupu.nikaamua kukata simu(hapo ndio kosa langu);baada ya kukata simu akanitumia sms isemayo "KUANZIA SASA SITAKI TENA UNIPIGIE SIMU YANGU,FUTA NAMBA YANGU NA MIMI NAFUTA YAKO.TUSIJUANE TENA"
Mimi binafsi mwanamke akishaniambia hivyo huwa sina muda wa kumbembeleza ninachofanya ni kukubali alichoamua na huwa sirudi nyuma tena.
Sasa leo kanipigia simu anasema anataka kuongea na mimi;nilichomjibu ni kama ifuatavyo"KWANZA UMEPATA WAPI NAMBA YANGU ILIHALI ULISHAIFUTA? PILI NILIMWAMBIE BORA UENDE KWANI MAPENZI YA MIKWARUZANO,VISA NA SHARI SIYAWEZI".
Je wana JF maamuzi niliyochukua ni sahihi?na kwa upande mwingine je mwanamke huyu anamapenzi ya dhati kweli?

katika watu wooote ambao uwa nakoment, wewe leo ndo umenikonga moyo. wewe ndo mwanaume usiyetetereka na hawa viumbe wasio na haya. umefanya uamuzi sahihi. we tulia tu. mbona mademu kibao tu tena utapata wa ukweli tu. huyu kichomi tupa kuleeeee
 
Kama amekutb kwa 7 huna pesa hakufai tafuta mwingine.
 


It's a human sign
When things go wrong
When the scent of her lingers
And temptation's strong

Into the boundary
Of each married man
Sweet deceit comes calling
And negativity lands

Cold, cold heart
Hard done by you
Some things look better, baby
Just passing through

And it's no sacrifice
Just a simple word
It's two hearts living
In two separate worlds
But it's no sacrifice
No sacrifice
It's no sacrifice at all

Mutual misunderstanding
After the fact
Sensitivity builds a prison
In the final act

We lose direction
No stone unturned
No tears to damn you
When jealousy burns
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom