King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,855
- 24,925
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mnhhhh
i dont stand a chance lol
una hela sasa?
sikiliza moyo wako hapa unapewa ushauri tu ila kuamua ni wewe
KWANZA UMEPATA WAPI NAMBA YANGU ILIHALI ULISHAIFUTA? PILI NILIMWAMBIE BORA UENDE KWANI MAPENZI YA MIKWARUZANO,VISA NA SHARI SIYAWEZI".
i like it take 5mpaka hapo wewe ni kidume.........nini matisho bana....tupa kule.....
ulipotoka safari.....alitakiwa akuliwaze.....upumzike....asome nyakati ndio akupige mzinga......
huyo mwanamke anahitaji kufundwa....sh**zi type......
well done!exellent!keep it up!very good!habari wana jf:
Habari za siku nyingi kidogo.
Awali ya yote ningependa nikiri kwa hili ninaloenda kulieleea hapa nina makosa kwa asilimia fulani,
nimeluwa kwenye mahusiano na msichana mmoja kwa takribani miezi sita sasa.uhusiano wetu ulikuwa ni mzuri lakini wenye changamoto za kwaida katika mapenzi.hivi karibuni nilisafiri kwenda kijijni ambako nilikaa kwa wiki mbili,huko kijijni hakuna mtandao wa aina yoyote hivyo kwa hizo wiki mbili tukawa hatuna mawasiliano.niliporudi hivi karibuni,alinipokea vizuri tuu:jambo nla kwanza aliloniambia nakumbuka alisema nashukuru umerudi maana nilikuwa nina shida ya hela:kauli hiyo moyoni haikunifurahisha kabisaa.mimi nilichomjibu ni kwamba kwa sasa sina hela,baada ya hapo kilichofuta ni maneno machafu ambayo ni busara zangu tuu zilizonizuia kufanya jambo baya.siku hiyo ikapita tukakaa kama siku tatu bila kuwasiliana,kanipigia ila alichoanza kuongea ni lawama tupu.nikaamua kukata simu(hapo ndio kosa langu);baada ya kukata simu akanitumia sms isemayo "kuanzia sasa sitaki tena unipigie simu yangu,futa namba yangu na mimi nafuta yako.tusijuane tena"
mimi binafsi mwanamke akishaniambia hivyo huwa sina muda wa kumbembeleza ninachofanya ni kukubali alichoamua na huwa sirudi nyuma tena.
Sasa leo kanipigia simu anasema anataka kuongea na mimi;nilichomjibu ni kama ifuatavyo"kwanza umepata wapi namba yangu ilihali ulishaifuta? Pili nilimwambie bora uende kwani mapenzi ya mikwaruzano,visa na shari siyawezi".
Je wana jf maamuzi niliyochukua ni sahihi?na kwa upande mwingine je mwanamke huyu anamapenzi ya dhati kweli?
Habari wana JF:
Habari za siku nyingi kidogo.
awali ya yote ningependa nikiri kwa hili ninaloenda kulieleea hapa nina makosa kwa asilimia fulani,
Nimeluwa kwenye mahusiano na msichana mmoja kwa takribani miezi sita sasa.uhusiano wetu ulikuwa ni mzuri lakini wenye changamoto za kwaida katika mapenzi.Hivi karibuni nilisafiri kwenda kijijni ambako nilikaa kwa wiki mbili,huko kijijni hakuna mtandao wa aina yoyote hivyo kwa hizo wiki mbili tukawa hatuna mawasiliano.Niliporudi hivi karibuni,alinipokea vizuri tuu:jambo nla kwanza aliloniambia nakumbuka alisema nashukuru umerudi maana NILIKUWA NINA SHIDA YA HELA:Kauli hiyo moyoni haikunifurahisha kabisaa.Mimi nilichomjibu ni KWAMBA KWA SASA SINA HELA,baada ya hapo kilichofuta ni maneno machafu ambayo ni busara zangu tuu zilizonizuia kufanya jambo baya.Siku hiyo ikapita tukakaa kama siku tatu bila kuwasiliana,kanipigia ila alichoanza kuongea ni lawama tupu.nikaamua kukata simu(hapo ndio kosa langu);baada ya kukata simu akanitumia sms isemayo "KUANZIA SASA SITAKI TENA UNIPIGIE SIMU YANGU,FUTA NAMBA YANGU NA MIMI NAFUTA YAKO.TUSIJUANE TENA"
Mimi binafsi mwanamke akishaniambia hivyo huwa sina muda wa kumbembeleza ninachofanya ni kukubali alichoamua na huwa sirudi nyuma tena.
Sasa leo kanipigia simu anasema anataka kuongea na mimi;nilichomjibu ni kama ifuatavyo"KWANZA UMEPATA WAPI NAMBA YANGU ILIHALI ULISHAIFUTA? PILI NILIMWAMBIE BORA UENDE KWANI MAPENZI YA MIKWARUZANO,VISA NA SHARI SIYAWEZI".
Je wana JF maamuzi niliyochukua ni sahihi?na kwa upande mwingine je mwanamke huyu anamapenzi ya dhati kweli?