Pre GE2025 Bora Uenyekiti wa Mbowe, Lissu bado hajajua watanzania wanataka nini. Mpango wake wa kustopisha Uchaguzi unaenda kuangukia pua!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
No 2 ndiyo anaitumia Lisu
 

Sasa kama Wabongo wenyewe wataamua kutojali hatima yao kwa nini Iwe ni Concern kwa Lissu?.

Kazi ya Lissu ni kuwaonyesha njia, wakiifuata ni kwa faida zao wenyewe, wakiamua kutokujali hatma yao ni kwa hasara yao wenyewe.

Umeandika as if Lengo la Lissu ni kwa faida yake binafsi. Lissu hana ambition kiviiile ya kuwa rais.
 
Munaodhania Lissu anakurupuka kwenye mambo yake Poleni sana,Jamaa amejipanga haswa,Kwani unadhani hajui kuwa waTanzania hatuna ujasiri wakuingia barabarani?Subiri utajua mikakati yake huko mbeleni.
 
Wazazi wako wana hasara sana
 
huko kwa mataifa ya ulaya yanayotoa misaada kwa tanzania hata akienda kuwaambia ujinga gani hawata muelewa kwani kila siku wanaisifia tanzania kwa good governance sasa nanai atamuelewa akienda kusema uongo wake?
 
huko kwa mataifa ya ulaya yanayotoa misaada kwa tanzania hata akienda kuwaambia ujinga gani hawata muelewa kwani kila siku wanaisifia tanzania kwa good governance sasa nanai atamuelewa akienda kusema uongo wake?

Ni taifa gani la Ulaya limeisifia Tanzania kuwa ina good governance miezi ya hivi karibuni?
 
wasipoenda kupiga kura wala haina shida hesabu itatimia tu wala haina shida kaeni nyumbani kur zitapigwa tu
 
Kwa hali kama hii ni utaahira kabisa kushiriki uchaguzi
 
Kwamba Chama ni mtu na sio Itikadi na mkusanyiko wa mawazo ya watu wenye mawazo sawa na jinsi ya kufanya mambo yao ?

Is that what we are looking for ?

 
Lissu ana options 2 ili kusitisha Uchaguzi

1. Atumie The Mbowe approach ya kurudi kwenye meza ya maridhiano na CCM
Maridhiano waridhiane nini au ni daganya toto nyingine kwa mtaji wa Kodi zetu ili kuendeleza maigizo (buying time) ili baadae wawageuke ili tena mrudi mezani
2. Apige kelele sana huko Umoja Wa Mataifa, aende CNN akafanye interviews aongee na IMF na World Bank waidhibiti misaada na mikopo Bongo mpaka sheria zitakaporekebishwa
Hao hao aende apige kelele ambao wana kina Trump ambao wanatumia loopholes kila siku kufanya wanachotaka kufanya
Kutegemea wabongo waache kwenda makazini waende kulala barabarani ni approach ya kizamani sana and no it wont work.

Lissu ajitafakari!
Mtanzania alalae barabarani hata akilala je ana uhakika na alternative kwamba itakuwa tofauti ? Au ni kuendelea kutumika kama ngazi ya watu kupata kura kwenda Kula ? In short politicians the world over hawaaminiki ndio maana watu wengi nchi nyingi wapo indifferent na politics (sio kwamba kinachofanyika / status quo wanakubaliana nayo..., bali wanaona hata alternative ni walewale)
 
We kila uzi unatukana tu.

Toka hapa na bad energy yako.

Una U-saddist mzito sana ndani yako.

Ka lijinga!
Mkuu niambie wapi nimetukana au nani nimetukana? Au kusema wazazi wako wana hasara ni tusi? Basi wazazi wako wako wana faida, acha niwe mnafiki
 

Unakurupuka mpango huu umeanza kusemwa na Mbowe kabla hata ya uchaguzi.
 
Uchaguzi au uchafuzi, tz kwa sasa hakuna uchaguzi ,lissu na chadema ya sasa ipo sahii, hivi kweli hata uchaguzi mkuu 2020 ulikua hujazaliwa, uchaguzi wa juzi S/za mtaa nao ulikua bado usingizini ,mpaka uje na andiko hili.

Tumekua na chaguzi za kihuni, na za kusitikisha, ni mwendawazim tu atapingana na msimamo wa sasa wa chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…