Pre GE2025 Bora Uenyekiti wa Mbowe, Lissu bado hajajua watanzania wanataka nini. Mpango wake wa kustopisha Uchaguzi unaenda kuangukia pua!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CCM ina madhaifu yake lakini bado watanzania hawajaichoka to the point ya kuandamana ndo maana kila maandamano wanayoita CHADEMA wanafeli.

Kama CHADEMA wanataka mabadiliko wasiwategemee watanzania.

Waangalie alternatives nyingi.
Mkuu wasipowategemea Watanzania wamtegemee nani kwa maslahi ya nani?
If you can't defeat them join them.
 
..CCM wanatakiwa wabadilishe mifumo ya uchaguzi kwasababu ni mibovu, sio kwasababu Chadema wamelalamika.

..Jaji Mkuu Francis Nyalali na Tume yake ndio watu wa kwanza kubainisha kasoro katika mifumo na sheria zetu za uchaguzi.

..suala hili limekuwepo mezani mwa Maraisi wa CCM kwa miaka zaidi ya 30 sasa.

..Sio sahihi kumzodoa na kumlaumu Lissu au Chadema kwa jambo ambalo limekwama kutokana na kiburi na uzembe wa viongozi wa CCM.
 
Ukiona humuelewi maana yake anaongea juu sana ya upeo wako, fanya tu mengine unayoelewa, dunia ina options nyingi tu zenye faida kuliko kuumiza kichwa kwa yaliyo juu ya uwezo wako!
 
Mimi nilikuwa ni pro Lissu alipokuwa anapambana na FAM

Lakini kusema ukweli so far sijaona kipya.

Juzi nilikuwa namsikiliza akizungumzia njia atakazotumia kustopisha Uchaguzi. Lissu bado anaamini kwenye MAANDAMANO na CIVIL DISOBIDIENCE, vitu ambavyo wabongo hawako tayari kufanya kwa sasa kwa sababu bado CCM hawajawabana kisawa sawa watanzania

Watanzania hawako tayari kuandamana kisa tume huru au sijui Katiba Mpya. The timing is just not right. Sisi sio Wakenya

Soma pia: Tundu Lissu: Kuhusu jinsi gani tutazuia Uchaguzi kila mtu ajiongeze. Hivi wote tukilala barabarani watatuua wangapi?

Akiwa Ikungi Jumamosi Lissu alitoa mfano akisema kuwa Wana Ikungi wakiamua kulala barabarani basi wanaweza kuwatisha CCM kusitisha Uchaguzi.

Kwa wananchi gani? Hawa hawa wanaoona Deo Bonge anatekwa mchana kweupe alafu wanaangalia tu?

Wananchi hawa hawa ambao Ali Kibao alitolewa kwenye basi mchana kweupe na walishindwa hata kurekodi video? Hawa ndo unawaambia wakaandamane na kulala barabarani?

Lissu anahisi yupo Kenya. Hii sio Kenya. CCM wanajua Watanzania HAWAWEZI kuandamana ndo maana hata hawaangaiki nae.

Lissu ana options 2 ili kusitisha Uchaguzi

1. Atumie The Mbowe approach ya kurudi kwenye meza ya maridhiano na CCM

2. Apige kelele sana huko Umoja Wa Mataifa, aende CNN akafanye interviews aongee na IMF na World Bank waidhibiti misaada na mikopo Bongo mpaka sheria zitakaporekebishwa

Kutegemea wabongo waache kwenda makazini waende kulala barabarani ni approach ya kizamani sana and no it wont work.

Lissu ajitafakari!
Umeandika uhalisia hata hawa wakazi wanao ishi hapa jukwaani wala hawata kwenda watabaki kuandika tu!
 
Nadhani tunahitaji kumwelewa zaidi! Huenda kauli yake ina tafsiri nyingine.
Huenda lengo la Kauri yake ya kuzuia Uchaguzi ni Kuwashawishi Watanzania na wafuasi wa vyama mbali mbali vya Siasa wagome kwenda kupiga kura siku ya Uchaguzi.
Jambo ambalo kila Mtanzania akilichukulia uzito akaacha kwenda kupiga kura (ukiondoa chawa wa CCM) Uchaguzi utakuwa umezuiwa.
 
..nguvu tunazoelekeza kuwakatisha tamaa wapinzani tuzielekeze kuwahimiza CCM walete mabadiliko ya kweli.

..Ni jukumu letu sisi ambao tuna uelewa kupaza sauti kwa namna mbalimbali kwa ajili ya Tanzania bora zaidi.

..Sio sawasawa watu wanatekwa, wanapotezwa, wanauwawa, halafu tunawabeza wale wanaopinga vitendo hivyo, badala ya kuwakemea wanaofanya unyama huo.
🌤️🙋‍♂️✍️👌👍👏👊🤝🙏🎁🛡️
 
Mimi nilikuwa ni pro Lissu alipokuwa anapambana na FAM

Lakini kusema ukweli so far sijaona kipya.

Juzi nilikuwa namsikiliza akizungumzia njia atakazotumia kustopisha Uchaguzi. Lissu bado anaamini kwenye MAANDAMANO na CIVIL DISOBIDIENCE, vitu ambavyo wabongo hawako tayari kufanya kwa sasa kwa sababu bado CCM hawajawabana kisawa sawa watanzania

Watanzania hawako tayari kuandamana kisa tume huru au sijui Katiba Mpya. The timing is just not right. Sisi sio Wakenya

Soma pia: Tundu Lissu: Kuhusu jinsi gani tutazuia Uchaguzi kila mtu ajiongeze. Hivi wote tukilala barabarani watatuua wangapi?

Akiwa Ikungi Jumamosi Lissu alitoa mfano akisema kuwa Wana Ikungi wakiamua kulala barabarani basi wanaweza kuwatisha CCM kusitisha Uchaguzi.

Kwa wananchi gani? Hawa hawa wanaoona Deo Bonge anatekwa mchana kweupe alafu wanaangalia tu?

Wananchi hawa hawa ambao Ali Kibao alitolewa kwenye basi mchana kweupe na walishindwa hata kurekodi video? Hawa ndo unawaambia wakaandamane na kulala barabarani?

Lissu anahisi yupo Kenya. Hii sio Kenya. CCM wanajua Watanzania HAWAWEZI kuandamana ndo maana hata hawaangaiki nae.

Lissu ana options 2 ili kusitisha Uchaguzi

1. Atumie The Mbowe approach ya kurudi kwenye meza ya maridhiano na CCM

2. Apige kelele sana huko Umoja Wa Mataifa, aende CNN akafanye interviews aongee na IMF na World Bank waidhibiti misaada na mikopo Bongo mpaka sheria zitakaporekebishwa

Kutegemea wabongo waache kwenda makazini waende kulala barabarani ni approach ya kizamani sana and no it wont work.

Lissu ajitafakari!
Akili zimeanza kurudi!!
 
Kwa kilichofanyika 2019,2020 na 2024 hivi unaona ni busara kushiriki uchaguzi wowote tena? Kama ni ishu ya maridhiano unajua katikati ya maridhiano hayo ndiyo walitekwa na kupotezwa wakina Soka,Dionis Kipanya mauaji ya kutisha ya Mzee Kibao? Ni baada ya maridhiano ndiyo uchafuzi wa chaguzi za serikali za mitaa hivyo mtu yoyote mwenye akili timamu hawezi kuiamini tena CCM.
 
Attachments

  • VID-20250215-WA0003.mp4
    13.9 MB
Mimi nilikuwa ni pro Lissu alipokuwa anapambana na FAM

Lakini kusema ukweli so far sijaona kipya.

Juzi nilikuwa namsikiliza akizungumzia njia atakazotumia kustopisha Uchaguzi. Lissu bado anaamini kwenye MAANDAMANO na CIVIL DISOBIDIENCE, vitu ambavyo wabongo hawako tayari kufanya kwa sasa kwa sababu bado CCM hawajawabana kisawa sawa watanzania

Watanzania hawako tayari kuandamana kisa tume huru au sijui Katiba Mpya. The timing is just not right. Sisi sio Wakenya

Soma pia: Tundu Lissu: Kuhusu jinsi gani tutazuia Uchaguzi kila mtu ajiongeze. Hivi wote tukilala barabarani watatuua wangapi?

Akiwa Ikungi Jumamosi Lissu alitoa mfano akisema kuwa Wana Ikungi wakiamua kulala barabarani basi wanaweza kuwatisha CCM kusitisha Uchaguzi.

Kwa wananchi gani? Hawa hawa wanaoona Deo Bonge anatekwa mchana kweupe alafu wanaangalia tu?

Wananchi hawa hawa ambao Ali Kibao alitolewa kwenye basi mchana kweupe na walishindwa hata kurekodi video? Hawa ndo unawaambia wakaandamane na kulala barabarani?

Lissu anahisi yupo Kenya. Hii sio Kenya. CCM wanajua Watanzania HAWAWEZI kuandamana ndo maana hata hawaangaiki nae.

Lissu ana options 2 ili kusitisha Uchaguzi

1. Atumie The Mbowe approach ya kurudi kwenye meza ya maridhiano na CCM

2. Apige kelele sana huko Umoja Wa Mataifa, aende CNN akafanye interviews aongee na IMF na World Bank waidhibiti misaada na mikopo Bongo mpaka sheria zitakaporekebishwa

Kutegemea wabongo waache kwenda makazini waende kulala barabarani ni approach ya kizamani sana and no it wont work.

Lissu ajitafakari!
Huyu mtu anajua uwakili tu diasa hajui hsta thumuni. Tens uwakili ni ule ws kucheza na sheria au kuhonga kumtoa mwizi na muuaji hatiani.
 
Lile jinga halina akili lina mambo ya kitoto na kipuuzi. Yule ni kibaraka cha wazungu. Ulale barabarani we ni mwehu?
 
Sina matatizo na Lisu kwa sababu unaona kabisa ana kitu kinachoitwa STRATEGY, huwa anapanga na kufuata mpangilio na anafanya ile strategy. FAM sawa ni msemaji mzuri lakini hana mpangilio, hana strategy, anafanya mambo kwa matukio kama yanavyotokea.
1. Kwanza aliharibu kila kitu, alipoteza Strategy yote ambayo Dr. Slaa na Chadema na kumuingiza Lowasa na kuvuruga kila kila kitu.
2. Alipotoka Gerezani badala ya kufuata Chama yeye kama yeye akachukua ujiko Kwenda kumuona Samia; na CCM wakachukua nafasi ya kumvuruga, tukaanza kusikia mambo ya Abdul na Wenje. Ujue watu kama Msigwa walikuwa very loyal kwa Chama na mwenyekiti, Msigwa aliwahi kukataa hata cheo kutoka kwa JPM. Alikataa kupanda gari iliyotumwa na JPM na yeye(Msigwa) kuondoka na wanachama.

Lisu anaeleweka
 
Mimi nilikuwa ni pro Lissu alipokuwa anapambana na FAM

Lakini kusema ukweli so far sijaona kipya.

Juzi nilikuwa namsikiliza akizungumzia njia atakazotumia kustopisha Uchaguzi. Lissu bado anaamini kwenye MAANDAMANO na CIVIL DISOBIDIENCE, vitu ambavyo wabongo hawako tayari kufanya kwa sasa kwa sababu bado CCM hawajawabana kisawa sawa watanzania

Watanzania hawako tayari kuandamana kisa tume huru au sijui Katiba Mpya. The timing is just not right. Sisi sio Wakenya

Soma pia: Tundu Lissu: Kuhusu jinsi gani tutazuia Uchaguzi kila mtu ajiongeze. Hivi wote tukilala barabarani watatuua wangapi?

Akiwa Ikungi Jumamosi Lissu alitoa mfano akisema kuwa Wana Ikungi wakiamua kulala barabarani basi wanaweza kuwatisha CCM kusitisha Uchaguzi.

Kwa wananchi gani? Hawa hawa wanaoona Deo Bonge anatekwa mchana kweupe alafu wanaangalia tu?

Wananchi hawa hawa ambao Ali Kibao alitolewa kwenye basi mchana kweupe na walishindwa hata kurekodi video? Hawa ndo unawaambia wakaandamane na kulala barabarani?

Lissu anahisi yupo Kenya. Hii sio Kenya. CCM wanajua Watanzania HAWAWEZI kuandamana ndo maana hata hawaangaiki nae.

Lissu ana options 2 ili kusitisha Uchaguzi

1. Atumie The Mbowe approach ya kurudi kwenye meza ya maridhiano na CCM

2. Apige kelele sana huko Umoja Wa Mataifa, aende CNN akafanye interviews aongee na IMF na World Bank waidhibiti misaada na mikopo Bongo mpaka sheria zitakaporekebishwa

Kutegemea wabongo waache kwenda makazini waende kulala barabarani ni approach ya kizamani sana and no it wont work.

Lissu ajitafakari!
Upo sahihi kabisa mkuu. Kuwaambia watu eti waandamane kisa katiba mpya wakati ya zamani yenyewe hawaijui, ni kujidanganya.

Mimi nadhani Lissu inatakiwa aje na mpango mkakati wa kuhakikisha angalau nusu ya watanzania wanaijua katiba ya zamani huku wakiainisha madhaifu alafu wakishaielewa, ndipo waanza kudai katiba mpya. Ni ngumu kumwambia mtu aandamane kupigania kitu ambacho hakifahamu
 
Lile jinga halina akili lina mambo ya kitoto na kipuuzi. Yule ni kibaraka cha wazungu. Ulale barabarani we ni mwehu?
Unavyoandika tu ni kama umekuja duniani ule ugali na kungoja kufa tu. CCM wamewachezea wala hamjui. Kutokuwa na Elimu ni janga; yaani duniani hakuna kitu kizuri kama elimu
 
Mimi nilikuwa ni pro Lissu alipokuwa anapambana na FAM

Lakini kusema ukweli so far sijaona kipya.

Juzi nilikuwa namsikiliza akizungumzia njia atakazotumia kustopisha Uchaguzi. Lissu bado anaamini kwenye MAANDAMANO na CIVIL DISOBIDIENCE, vitu ambavyo wabongo hawako tayari kufanya kwa sasa kwa sababu bado CCM hawajawabana kisawa sawa watanzania

Watanzania hawako tayari kuandamana kisa tume huru au sijui Katiba Mpya. The timing is just not right. Sisi sio Wakenya

Soma pia: Tundu Lissu: Kuhusu jinsi gani tutazuia Uchaguzi kila mtu ajiongeze. Hivi wote tukilala barabarani watatuua wangapi?

Akiwa Ikungi Jumamosi Lissu alitoa mfano akisema kuwa Wana Ikungi wakiamua kulala barabarani basi wanaweza kuwatisha CCM kusitisha Uchaguzi.

Kwa wananchi gani? Hawa hawa wanaoona Deo Bonge anatekwa mchana kweupe alafu wanaangalia tu?

Wananchi hawa hawa ambao Ali Kibao alitolewa kwenye basi mchana kweupe na walishindwa hata kurekodi video? Hawa ndo unawaambia wakaandamane na kulala barabarani?

Lissu anahisi yupo Kenya. Hii sio Kenya. CCM wanajua Watanzania HAWAWEZI kuandamana ndo maana hata hawaangaiki nae.

Lissu ana options 2 ili kusitisha Uchaguzi

1. Atumie The Mbowe approach ya kurudi kwenye meza ya maridhiano na CCM

2. Apige kelele sana huko Umoja Wa Mataifa, aende CNN akafanye interviews aongee na IMF na World Bank waidhibiti misaada na mikopo Bongo mpaka sheria zitakaporekebishwa

Kutegemea wabongo waache kwenda makazini waende kulala barabarani ni approach ya kizamani sana and no it wont work.

Lissu ajitafakari!
Shida huko kwenyewe US na Ulaya kumewqka moto wanatibuana wanapambana na hali zao, Juzi VP wa USA huko Munich kazishutumu nchi za ulaya kuhusu democracy yao viongozi wa Ulaya mpaka jukwaani juzi wanatoa machozi, wanasema huko kuingiliwa mambo yao, wamesahau wanavyoingilia mambo yetu. Kazi ipo huko haya ya Lissu hayana umuhimu wowote kwao kunawaka moto.
 
Mimi nilikuwa ni pro Lissu alipokuwa anapambana na FAM

Lakini kusema ukweli so far sijaona kipya.

Juzi nilikuwa namsikiliza akizungumzia njia atakazotumia kustopisha Uchaguzi. Lissu bado anaamini kwenye MAANDAMANO na CIVIL DISOBIDIENCE, vitu ambavyo wabongo hawako tayari kufanya kwa sasa kwa sababu bado CCM hawajawabana kisawa sawa watanzania

Watanzania hawako tayari kuandamana kisa tume huru au sijui Katiba Mpya. The timing is just not right. Sisi sio Wakenya

Soma pia: Tundu Lissu: Kuhusu jinsi gani tutazuia Uchaguzi kila mtu ajiongeze. Hivi wote tukilala barabarani watatuua wangapi?

Akiwa Ikungi Jumamosi Lissu alitoa mfano akisema kuwa Wana Ikungi wakiamua kulala barabarani basi wanaweza kuwatisha CCM kusitisha Uchaguzi.

Kwa wananchi gani? Hawa hawa wanaoona Deo Bonge anatekwa mchana kweupe alafu wanaangalia tu?

Wananchi hawa hawa ambao Ali Kibao alitolewa kwenye basi mchana kweupe na walishindwa hata kurekodi video? Hawa ndo unawaambia wakaandamane na kulala barabarani?

Lissu anahisi yupo Kenya. Hii sio Kenya. CCM wanajua Watanzania HAWAWEZI kuandamana ndo maana hata hawaangaiki nae.

Lissu ana options 2 ili kusitisha Uchaguzi

1. Atumie The Mbowe approach ya kurudi kwenye meza ya maridhiano na CCM

2. Apige kelele sana huko Umoja Wa Mataifa, aende CNN akafanye interviews aongee na IMF na World Bank waidhibiti misaada na mikopo Bongo mpaka sheria zitakaporekebishwa

Kutegemea wabongo waache kwenda makazini waende kulala barabarani ni approach ya kizamani sana and no it wont work.

Lissu ajitafakari!
Lisu anajua kila kitu anawajua hata wataanaojzungumza nao ni watu waina gani na anajua chama anachopambana nacho na serikali yake ni ya namna gani. Anajua anawatu wangapi wenye ujasiri mkubwa na anajua ana watu wangapi wenye ujasiri wa kadri na anajua anawatu ya wangapi wamechoshwa na haya mambo llakini hawana ujasiri hata kidogo hata wakufunua mdomo. Yeye kwa sasa anapanda tu spirit ktk mioyo ya watu wote kama itakamata sawa kama itakuwa domant sawa ila opo ndani yao anaweza akamaliza muda wake akaenda zake kama jutakuja mtu mwingine mwenye uwezo zaidi atakutana na watu wenye hizo spirit. Strugle ni hatua na mikakati huwezi kupambana na watu wenye vifaru bunduki na majeshi ya kila aiina kwa kutumia kombeo. Watu watahamassika tu pale watakapogundua hivi tulivyo sivyo tunavyo paswa tuwe. Sisi siyo watu wakuvaa mitumba iliyonyewa na wachina na wahindi na wazzungu huko nje wakati tunalima pamba kwa kiasi kikubwa. Sisi siyo watu wa mwanamke anaenda kujifungua anabeba kiwembe kamba yakufungia kitovu, pamba, gloves wakati viongozi wetu wanajiongezea mafao yao wao wake zao na watoto wao. Je hii ni nchi ya watu kunywa maji machafu ya chumvi na takataka nyingine, Tunalipa kodi zote, bado tunafuatwa na wajumbe wa nyumba kumi, tulipe fedha za taka, tulipe fedha za sungusungu, tulipe fedha zakupigiwa dawa vyooni, Mashuleni wanafunzi wanatakiwa walipe fedha za waalimu wakujitolea, walipe fedha za walinzi, walipe,, ffedha za tution, wakati watu tulio wapa madaraka wanaogelea kwenye mabilioni ya walipa kodi. Watanzania watakapo shtuka wali hawatamuhitaji Lisu awaongoze kudai haki zao watadai wenyewe. Hili vuguvugu najua siyo dogo pamoja na yote yanayoendelea, Watanzania wanajua hali halisi ila hawako tayari kujikomboa kwa sasaila itafika wakati wataamka ingawa kwa kuchelewa. Mauji na utekaji unao endelea hii itazalisha chachu ya watu kupigania haki zao. Kwenye majela kumefurika ma ekfu ya watu ambao wengi wao wala hawakustahili kuwepo huko ila ni sababu tu za uonevu na ubabe wa wenye nguvu. Mimi ni mshauri mama ajue kuwa kuna lindi kubwa la watanzania ambao wanamwangalia yeye kama kiongozi wa nchi anawakwamuaje. Kodi kwa sasa ni kaa la moto pamoja na TRA kwa sasa kulegeza baadhi ya nguvu walizokuwa wanazitumia siku za nyuma lakini wafanya biashara wana hali ngumu sana. Ni wakati wakufanyiwa review mifumo yetu ya kodi la sivyo wafanya biashara nchini watacolapse wana madeni makubwa sana TRA na mengine hayalippiki siyo kama hapendi kulipa la hasha mifumo ya kodi kwa nchi hii nimigumu sana na aiko wazi, unaweza ukaagiza mzigo wa nje ukakushinda kuukomboa bandarini kwa vikwazo vya ajabu ajabu tu.
 
Mimi nilikuwa ni pro Lissu alipokuwa anapambana na FAM

Lakini kusema ukweli so far sijaona kipya.

Juzi nilikuwa namsikiliza akizungumzia njia atakazotumia kustopisha Uchaguzi. Lissu bado anaamini kwenye MAANDAMANO na CIVIL DISOBIDIENCE, vitu ambavyo wabongo hawako tayari kufanya kwa sasa kwa sababu bado CCM hawajawabana kisawa sawa watanzania

Watanzania hawako tayari kuandamana kisa tume huru au sijui Katiba Mpya. The timing is just not right. Sisi sio Wakenya

Soma pia: Tundu Lissu: Kuhusu jinsi gani tutazuia Uchaguzi kila mtu ajiongeze. Hivi wote tukilala barabarani watatuua wangapi?

Akiwa Ikungi Jumamosi Lissu alitoa mfano akisema kuwa Wana Ikungi wakiamua kulala barabarani basi wanaweza kuwatisha CCM kusitisha Uchaguzi.

Kwa wananchi gani? Hawa hawa wanaoona Deo Bonge anatekwa mchana kweupe alafu wanaangalia tu?

Wananchi hawa hawa ambao Ali Kibao alitolewa kwenye basi mchana kweupe na walishindwa hata kurekodi video? Hawa ndo unawaambia wakaandamane na kulala barabarani?

Lissu anahisi yupo Kenya. Hii sio Kenya. CCM wanajua Watanzania HAWAWEZI kuandamana ndo maana hata hawaangaiki nae.

Lissu ana options 2 ili kusitisha Uchaguzi

1. Atumie The Mbowe approach ya kurudi kwenye meza ya maridhiano na CCM

2. Apige kelele sana huko Umoja Wa Mataifa, aende CNN akafanye interviews aongee na IMF na World Bank waidhibiti misaada na mikopo Bongo mpaka sheria zitakaporekebishwa

Kutegemea wabongo waache kwenda makazini waende kulala barabarani ni approach ya kizamani sana and no it wont work.

Lissu ajitafakari!
Mpango kushindwa sio tatizo, cha muhimu ni je ulijaribu kufanya kitu ktk kutafuta haki? Kujaribu ni bora sana kuliko kuwacha hali hii ya upuuzi kuendekezwa
 
Upo sahihi kabisa mkuu. Kuwaambia watu eti waandamane kisa katiba mpya wakati ya zamani yenyewe hawaijui, ni kujidanganya.

Mimi nadhani Lissu inatakiwa aje na mpango mkakati wa kuhakikisha angalau nusu ya watanzania wanaijua katiba ya zamani huku wakiainisha madhaifu alafu wakishaielewa, ndipo waanza kudai katiba mpya. Ni ngumu kumwambia mtu aandamane kupigania kitu ambacho hakifahamu
Kuijua katiba is not a cake walk, you guy unataka mtu mmoja aelimishe nchi nzima? Aint that kazi ya serikali?

Watanzania ninwavivu kusoma, wanataka wapiganiwe watafuniwe. Is why lissu anaweka pale penye madhaifu , nonmtwnzania ataisoma katiba yote aelewe, hayupo
 
Mimi nilikuwa ni pro Lissu alipokuwa anapambana na FAM

Lakini kusema ukweli so far sijaona kipya.

Juzi nilikuwa namsikiliza akizungumzia njia atakazotumia kustopisha Uchaguzi. Lissu bado anaamini kwenye MAANDAMANO na CIVIL DISOBIDIENCE, vitu ambavyo wabongo hawako tayari kufanya kwa sasa kwa sababu bado CCM hawajawabana kisawa sawa watanzania

Watanzania hawako tayari kuandamana kisa tume huru au sijui Katiba Mpya. The timing is just not right. Sisi sio Wakenya

Soma pia: Tundu Lissu: Kuhusu jinsi gani tutazuia Uchaguzi kila mtu ajiongeze. Hivi wote tukilala barabarani watatuua wangapi?

Akiwa Ikungi Jumamosi Lissu alitoa mfano akisema kuwa Wana Ikungi wakiamua kulala barabarani basi wanaweza kuwatisha CCM kusitisha Uchaguzi.

Kwa wananchi gani? Hawa hawa wanaoona Deo Bonge anatekwa mchana kweupe alafu wanaangalia tu?

Wananchi hawa hawa ambao Ali Kibao alitolewa kwenye basi mchana kweupe na walishindwa hata kurekodi video? Hawa ndo unawaambia wakaandamane na kulala barabarani?

Lissu anahisi yupo Kenya. Hii sio Kenya. CCM wanajua Watanzania HAWAWEZI kuandamana ndo maana hata hawaangaiki nae.

Lissu ana options 2 ili kusitisha Uchaguzi

1. Atumie The Mbowe approach ya kurudi kwenye meza ya maridhiano na CCM

2. Apige kelele sana huko Umoja Wa Mataifa, aende CNN akafanye interviews aongee na IMF na World Bank waidhibiti misaada na mikopo Bongo mpaka sheria zitakaporekebishwa

Kutegemea wabongo waache kwenda makazini waende kulala barabarani ni approach ya kizamani sana and no it wont work.

Lissu ajitafakari!
Hiyo strategy number koja ndio ilimuondoa mbowe kwenye kiti. Moja ya sababu zilizo mfanya atoke kuaminiwa mpaka kutiliwa shaka kwenye chama chake

Maridhiano never worked, lissu hawez rudia same strategy in hopes mabadiliko yatakuja never on earth
 
Back
Top Bottom