Bora uitwe bahili kuliko kuitwa masikini

Become so successful that her friends and family constantly remind her about how bad she f*** up πŸ’° πŸšΆβ€β™‚οΈ
 
THREAD CLOSED

MLETA MADA UMEMALIZA KILA KITU


Story Ya Ziada

Jana bana nlikua viwanja (tips mikocheni) nikawa na mwagilia moyo sasa nikawa na manzi flan a very good friend of mine nimesoma nae years ago high school mwana sana ana kazi na hela zake nzuri tu piga sana soga na ku enjoy

Sasa kuhamaki meza kama mbili pembeni yetu akawa dem flan mwingine na madem wenzake huyu dem wa pembeni niliwahi imbisha about a year ago ikawa inaniletea maringo ya kishamba akidhani mi wa kuja nikamnyea maneno ya shombo nikapiga chini na namba nikafuta

Sasa ghafla naona text kwenye simu ananiita mara ananitumia ma security waniite nimfate kwake huku akijua nipo na manzi (ile nliosomaga nayo) baada ya kero kuzidi za kuniita na kunitumia watu kwamba ananiita ikabdi ni swallow my pride nimfate. Kufika pale shobo na salaam kibao β€œ ooh been a while i miss u β€œ im like WTF mara kdgo ananitolea bill yake ya 150k nimsaidie ku clear (mtu siongei nae for years let alone sijamuita pale batani ndio ananiambia ni sort bill yake)

Nachokumbuka nlijikuta nimesharudi kuendelea na soga ile manzi yangu (classmate) nahisi nlimwagia matusi ya kwenda yule wa pembeni sikumbuki maana nlikua maji sana.

MORAL OF THE STORY

Some of these Bitch*s will shake and try you as a man stand firm to your goals and ambitions. Most of these bitch*s ni viumbe visivyo na utu wala shukrani. Manzi kama haeleweki piga chini delete mazoea. Oya madem wa kueleweka wapo wengi sanaa. Mtoto wa kiume kuwa na msimamo jenga maisha yako.

AU REVOIR [emoji817]
 
100% perfect
 
Thamani yako haiwezi kupatikana kwa kutapanya hela kwa mwanamke mjinga anaefikiri ana haki ya kupewa hela za bure kwa sababu tu yeye ni mwanamke, thamani yako itapatikana kwa kuwa na nidhamu ya hela na kuzifanya hela zako zikutumikie wewe mwenyewe.
Hii kitu imenisaidia sana. Nimewala mademu wa uhakika huku wakiniita Bahili lakini cha ajabu hawakuwahi kuniacha. Heshima ilibaki pale kwani nilikuwa siteteleki na maneno yao.

Hadi leo nawatafuna vizuri tu. Kuna vimaneno watakutamkia vya kukushusha thamani lakini yote hiyo wanakuwinda na pesa zako. Ukisimama imara wanakuona wewe ndio Mwanaume wa ukweli.
 
Wanawake hawawezi kukupa hela ya kutumia, lakini hela inaweza kukupa wanawake wa kuwatumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…