Bora uitwe bahili kuliko kuitwa masikini

Bora uitwe bahili kuliko kuitwa masikini

Mwanaume ambae una mamlaka na hela yako utakua na mamlaka na maisha yako pia. Wanawake watakuita mbahili kwa sababu umekataa kuwamwagia hela lakini nakuambia ukweli, wanawake hao hao wanawaheshimu wanaume ambao wamejipata kupitia nidhamu ya hela.

Mwanaume ambae unatapanya pesa ukifikiria iyo ndio njia ya kupendwa utaishia kutumika na kuwa masikini. Ilinde hela yako, hela yako ndio ndugu, jamaa, mpenzi na rafiki wa kweli hapa duniani

Wanawake watakuweka majaribuni, watakuita mbahili, watakuona mtu cheap, watakuambia "tafuta hela". Usikubali kuingia kwenye mtego wao, they are trying to bully you because you are smart enough not to fall for their tricks.

Sikilizeni vijana, ngono haina maajabu kama ambavyo mnaitukuza. Sex is not worth striving for, quiting your plans for, go broke for or making your life miserable for. Stop competing against other men over this sex thing, start competing with yourself not to remain in the same level every year.

Thamani yako haiwezi kupatikana kwa kutapanya hela kwa mwanamke mjinga anaefikiri ana haki ya kupewa hela za bure kwa sababu tu yeye ni mwanamke, thamani yako itapatikana kwa kuwa na nidhamu ya hela na kuzifanya hela zako zikutumikie wewe mwenyewe.

Acha kuwapa hela wanawake wakati wewe mwenyewe bado hauna uhuru wa kifedha. Familia yako pia inahitaji hela, ni bora izo hela zikazunguke kwenye familia yako. Mwanamke ana nguvu na akili timamu, ana miguu miwili, mikono miwili na masaa 24 ya siku kama wewe. Hakuna ambacho kinamzuia kufanya kazi apate hela yake mwenyewe.

Wanawake sio wenzako. Mwanamke anaweza asiwe msomi, asiwe na ujuzi, awe masikini, asiwe na chochote cha kumpa mafanikio na bado akatoka kimaisha kupitia njia mbili tu. Moja ni kukutana na mwanaume ambae ameshajipata, mbili ni kutumia mwili wake kupata anachokitaka.

Lakini wewe mwanaume hauwezi kwenda na kanuni iyo. Mafanikio yako mwanaume ni mchakato wa nidhamu, muda, vikwazo na juhudi.

Uyo mwanamke ambae unaamini anahitaji msaada wako, anahitaji kuhudumiwa na wewe tambua kwamba ana uwezekano mkubwa zaidi wa kufanikiwa kimaisha kuliko wewe unaempa hela na

Mwanamke uyo atakapokutana na mwanaume atakaemwekea mezani dau kubwa kuliko analolipata kutoka kwako atakuacha bila kujiuliza hata mara moja. Ukipoteza muda wako kuwekeza kwake hela ambazo ulitakiwa kuwekeza kwa ajiri yako mwenyewe utaishia kuangamiza mustakabali wako.

Nipo hapa kufungua code ili uitoe akili nje ya matrix na kuuona ukweli. Ukiamua kuelewa au kukaza shingo huo ni uamuzi wako.
Become so successful that her friends and family constantly remind her about how bad she f*** up 💰 🚶‍♂️
 
THREAD CLOSED

MLETA MADA UMEMALIZA KILA KITU


Story Ya Ziada

Jana bana nlikua viwanja (tips mikocheni) nikawa na mwagilia moyo sasa nikawa na manzi flan a very good friend of mine nimesoma nae years ago high school mwana sana ana kazi na hela zake nzuri tu piga sana soga na ku enjoy

Sasa kuhamaki meza kama mbili pembeni yetu akawa dem flan mwingine na madem wenzake huyu dem wa pembeni niliwahi imbisha about a year ago ikawa inaniletea maringo ya kishamba akidhani mi wa kuja nikamnyea maneno ya shombo nikapiga chini na namba nikafuta

Sasa ghafla naona text kwenye simu ananiita mara ananitumia ma security waniite nimfate kwake huku akijua nipo na manzi (ile nliosomaga nayo) baada ya kero kuzidi za kuniita na kunitumia watu kwamba ananiita ikabdi ni swallow my pride nimfate. Kufika pale shobo na salaam kibao “ ooh been a while i miss u “ im like WTF mara kdgo ananitolea bill yake ya 150k nimsaidie ku clear (mtu siongei nae for years let alone sijamuita pale batani ndio ananiambia ni sort bill yake)

Nachokumbuka nlijikuta nimesharudi kuendelea na soga ile manzi yangu (classmate) nahisi nlimwagia matusi ya kwenda yule wa pembeni sikumbuki maana nlikua maji sana.

MORAL OF THE STORY

Some of these Bitch*s will shake and try you as a man stand firm to your goals and ambitions. Most of these bitch*s ni viumbe visivyo na utu wala shukrani. Manzi kama haeleweki piga chini delete mazoea. Oya madem wa kueleweka wapo wengi sanaa. Mtoto wa kiume kuwa na msimamo jenga maisha yako.

AU REVOIR [emoji817]
 
Sikilizeni vijana, ngono haina maajabu kama ambavyo mnaitukuza. Sex is not worth striving for, quiting your plans for, go broke for or making your life miserable for. Stop competing against other men over this sex thing, start competing with yourself not to remain in the same level every year
100% perfect
 
Thamani yako haiwezi kupatikana kwa kutapanya hela kwa mwanamke mjinga anaefikiri ana haki ya kupewa hela za bure kwa sababu tu yeye ni mwanamke, thamani yako itapatikana kwa kuwa na nidhamu ya hela na kuzifanya hela zako zikutumikie wewe mwenyewe.
Hii kitu imenisaidia sana. Nimewala mademu wa uhakika huku wakiniita Bahili lakini cha ajabu hawakuwahi kuniacha. Heshima ilibaki pale kwani nilikuwa siteteleki na maneno yao.

Hadi leo nawatafuna vizuri tu. Kuna vimaneno watakutamkia vya kukushusha thamani lakini yote hiyo wanakuwinda na pesa zako. Ukisimama imara wanakuona wewe ndio Mwanaume wa ukweli.
 
Hii kitu imenisaidia sana. Nimewala mademu wa uhakika huku wakiniita Bahili lakini cha ajabu hawakuwahi kuniacha. Heshima ilibaki pale kwani nilikuwa siteteleki na maneno yao.

Hadi leo nawatafuna vizuri tu. Kuna vimaneno watakutamkia vya kukushusha thamani lakini yote hiyo wanakuwinda na pesa zako. Ukisimama imara wanakuona wewe ndio Mwanaume wa ukweli.
Wanawake hawawezi kukupa hela ya kutumia, lakini hela inaweza kukupa wanawake wa kuwatumia.
 
Back
Top Bottom