Bora uitwe bahili kuliko kuitwa masikini

Security haitolewi kwa sababu wewe ni mwanaume na yeye ni mwanamke lazima kuwe na conditions. Jinsia ya kike sio ulemavu.
Sasa mkuu mamlaka ya kumwambia acha kufanya hiki, fanya hiki utayatoa wapi kama mtoto wa watu humuhudumii?
 
Wengine pombe ndo zinawafilisi, tabia ya mtu mmoja kununulia na wenzie ili uonekane una hela, ni ujinga. Hata ukifanya mapenzi, kama una mwanamke mmoja tu shida iko wapi?
 
Ili mwanamke akuone unampenda ni pamoja na kumudumia kuipitia kumuhudumia kwangu kumemfanya azidishe mapenzi juu yangu, utiifu na hata nikimwambia ninakuhitaji muda wowote lazima aje anaweza kuchelewa kutokana na kazi but siku hiyo lazima aje hajawahi kunikatalia sex hata siku moja, hata nikimwambia sina ananielewa na kuna wakati mwingine ananisaidia.Mwanamke anaweza kuwa ni mbaya kwako lakini kwa mwanaume mwingine akawa superb na hii inasababishwa na namna gani mwanaume ulivyo kwake ukiwa mwaminifu,mwenye misimamo, mwenye sauti, mwenye upendo, akili Zaidi yake na kwenye bed ukawa vizuri nakwambia bro huyo mwanamke utamtawala unavyotaka wewe kama mimi huyu wa kwangu.
Natafuta Ajira
 
Haya yote nayajua vizuri kabisa, lakini kuna sehemu ndogo sana tunashindwa kuelawa mimi na wewe na sehemu yenyewe ipo pale kwenye swali langu ambalo unalikwepa.

Kwanini unafikiri unawajibika kumhudumia mwanamke?
 
Sahihi Kabisa, ila kuna wengine wanapoteza pesa zao kwenye pombe na Siyo wanawake, wengine kula, mwengine kununua vitu vya gharama etc.
Ni kweli. Mwanaume unahitaji nidhamu kunwa sana ya hela.
 
Wapo wanawake wanaostahili haya unayasema. It's a matter of conditions not just because she is a woman.
 
Haya yote nayajua vizuri kabisa, lakini kuna sehemu ndogo sana tunashindwa kuelawa mimi na wewe na sehemu yenyewe ipo pale kwenye swali langu ambalo unalikwepa.

Kwanini unafikiri unawajibika kumhudumia mwanamke?
Nani huwa anatongoza?
 
Na ili ujue kwamba mwanamke heshima yake ipo katika kumuhudumia,,we acha kumuhudumia uone habar yake

Ishu nyingine kwanini siku hizi wanawake heshima na utii umepungua,ni kwasababu wako independent ndio maana wanajeuri

Kwahiyo heshima yako.kwake ni kumuhudumia ipasavyo ikiwemo na faragha
 
"Ngono Haina maajabu Kama mnavyoitukuza" Duh hapa vijana wataelewa kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…