Bora uitwe bahili kuliko kuitwa masikini

Bora uitwe bahili kuliko kuitwa masikini

mara nyingi nawaona wanachemkaga sana

hawa mabinti kanaweza kukudokeza vituko vyake ukakasikiliza ukabaki kukapa hisani tuh mana vinajituma kwa kweli ukifanya mchezo unaweza kumsahau mama nyumbani
Ungekuwa mwanamke tungekwita chizi ub Oooooo ila kama mwanaume sijui tukwite nani?
 
Ccm huwa wananikera sana wanavyoiba kura ila washinde uchaguzi LAKINI nakuomba gombea uongozi pale NAKATAA NDOA nitaiba kura kwa ajili Yako.
Sasa na wewe mpaka unawaona Ccm wanaiba kura unawaacha tu huwakamati wala angalau kupiga kelele za mwizi huyo aupigi basi na wewe itakuwa ulikuwa unaiba wapiga kula kwa hiyo wote nyie ni wezi.
 
Wanawake wengi wanapenda wanawaume wajinga angalia pisi wanaliwa na mabwege tu ila ukiwa bahili wanatoka mbio ila wanawake.
 
Vijana wahongaji wakishaachwa na malaya zao au wakiolewa na wenye vibunda zaidi yao wanaanza kulalama sijui nilimfanyia hiki, nilimnunulia kile, sijui mara ooh nilimfungulia biashara na malalamiko mengine kibao

Hapo ndipo anapogundua alipoteza pesa, muda na nguvu zake bure

Vijana wahongaji kumbukeni money doesn't buy love but rather it delays your heartbreak

Mr investor go and keep investing in your girlfriend

Learn or perish
Na watu hawajagundua kuwa usimp huwa unaanziaga hapo kwenye kuhonga, ukishaonga mwanamke kwa kiasi ambacho hauwezi kustahimili maumivu ya kukipoteza ndipo ugumu wa kumuacha unaanzia hapo hata kama akikuonyesha red frags. Kinachofuata hapo ni kuwa mtumwa wa uyo mwanamke kwa sababu ashajua hauna pa kwenda.
 
Wanawake wengi wanapenda wanawaume wajinga angalia pisi wanaliwa na mabwege tu ila ukiwa bahili wanatoka mbio ila wanawake.
Gentleman, nice guy, ukisikia mwanaume wa kiafrika anaitwa hayo majina ujue simp uyo.
 
Hii ndyo hali halisi unapokutana na walengaji huku ukidhani na long term goals na yeye
😀😀😀😀 men are in love while women are in business, bad enough nikifungua hizi code wanaume wenzangu wananipinga.

Lakini siwwzi kuwakatia tamaa, nondo zitaendelea kushushwa mpaka idadi ya simps hapa jf iwe 0
 
Mtu akiwa chini yako, unakua umemmiliki kiutawala.
Kumiliki maana yake iyo ni mali yako transfer of ownership haiwezi kufanyika bila wewe kulipwa.

Hauwezi kusema unammiliki mtu mwenye uhuru wa kusitisha mahusiano bila kukulipa fidia ya izo gharama za matunzo.

Wake up from that delutional sleepy my friend
 
Tusikatae wapo wengine wanaume wengine wana inferiority complex inawafelisha mfano mimi ningekuwa na hiyo kitu nisingeweza kufikisha miaka 4 ya mahusiano yetu
Kama umebahatika kupata empowered woman anaeijua nafasi yake kama mwanamke kwenye mahusiano wewe mshukuru tu Mungu wako endelea na maisha yako lakini usione wanaume wengine ni wajinga.
 
Akili nyingi mkamaria ila ndo ivo kenge hasikii mpaka aone damu.

Btw Kama mwanaume hauna pesa za mawazo zafaa nini bila mbususu, no no no no.!!

Hakuna raha kama kukutana na pisi inayopenda pesa hakuna maelezo marefu zaidi ya kupay & hit sio zile za wait ntakupa jibu, like wtf.!!

Note: Kama mwanaume hujajipata stick kwenye ushauri wa mleta mada.
Mwanamke ni obstacle bila kujali anakuja wakati gani kwenye maisha yako.

Wakati unajitafuta mwanamke anakuja kwenye maisha yako kuchelewesha maendeleo yako na utakapojipata mwanamke anakuja ku-slow down ukuaji wako kimaendeleo.

Kwaiyo kwenye kila hatua katika maisha yako mwanamke ni liability, lakini kama ulivyosema ni bora hii liability uibebe ukiwa umejipata kuliko wakati unajitafuta.
 
Kama umebahatika kupata empowered woman anaeijua nafasi yake kama mwanamke kwenye mahusiano wewe mshukuru tu Mungu wako endelea na maisha yako lakini usione wanaume wengine ni wajinga.
Wapo wanawake wengine ni matapeli by nature hata ufanye nini huwezi kuchange na wapo wanawake wengine wanakuwa wazuri kulingana na mwanaume alivyo na pia kuna wanawake wengine ni wazuri by nature.
 
Back
Top Bottom