Bora uitwe bahili kuliko kuitwa masikini

Ukiwa bahili utapanda mnazi kwa mkono mmoja mpaka mkono uote sugu
Wanawake wanafikiri sisi tunapata Raha tukisex naoπŸ˜€πŸ˜€ hakuna maajabu zaidi ya utelezi uleule wa mlenda wa uvuguuvugu.

Utamu tunao wenyewe.
 
Umesoma Simulizi ya Jinsi nilivyokutana na Mrembo wa ajabu kupitia biashara ya Uber Kuna point pale zinakukataa vizuri mno

Mleta mada anachozungumzia hapa ni kuwa yaani mtu TU anamaisha yake uanze tu kuhudumia kwani kabla ya hapo alikuwa anaishije ?ww usichanganye kati ya mke na mtu tu wa mtaani hapa
 
Mimi huyu wa kwangu kanipita kipato na ana niheshimu vibaya mno nikimwambia kitu fulani sikipendi na anaacha kweli ukijua kuishi na mwanamke vizuri kwa akili hawezi kukusumbua hata kama kakuzidi elimu au kipato kwa kiasi gani ni kwavile tu mwanaume wengi wanasumbuliwa na inferiority complex
 
Mwishoni sijakupata vizur lkn iko hivi,hata mwanamke awe na kipato kikubwa kuliko wewe heshima yako utaipata hata kwa kuchangia mambo madogo madogo

Lkn huwezi kuning'iniza korodani zako kiboya eti kisa mwanamke ana hela,labda uliumbe roboti lako mwenyewe
 
Opportunity cost ipo kila maamuzi utakayoyafanya. Hakuna maamuzi ambayo yataweza kuwa solution ya pande zote mbili za shilingi.

Ukiamua kubeba jukumu la kumujudumia mwanamke kuna opportunity costs zake mfano iyo hela unayotumia kuhudumia mwanamke ungweza kuweka akiba, kuwekeza, kusaidia ndugu zako, kujiongezea thamani mwenyewe n.k

Na ukiamua kukataa jukumu la kuhudumia mwanamke kuna opportunity costs zake pia mahusiano yako na wanawake kuwa magumu kama ulivyosema.

Regardless of opportunity costs za kila upande bado maamuzi ya kukataa kuhudumia mwanamke yatakua na faida zaidi kwa mustakabali wa kijana.

Sikatai kuhudumia lakini hudumia mwanamke anaestahili huduma zako sio kuhudumia kwa sababu tu yeye ni mwanamke. Jinsia ya kike sio justification ya kuwa tegemezi.
 
Vijana wahongaji wakishaachwa na malaya zao au wakiolewa na wenye vibunda zaidi yao wanaanza kulalama sijui nilimfanyia hiki, nilimnunulia kile, sijui mara ooh nilimfungulia biashara na malalamiko mengine kibao

Hapo ndipo anapogundua alipoteza pesa, muda na nguvu zake bure

Vijana wahongaji kumbukeni money doesn't buy love but rather it delays your heartbreak

Mr investor go and keep investing in your girlfriend

Learn or perish
 
True kuwa mwanaume tu ni rasilimali muhimu,ni jinsi gani unajiweka na kuact ndio inakupa thamani zaidi
 
Upo sahih mkuu, mwanamke ili ajue yupo chini ya milki yako lazima umhudumie.
 
Sikatai kuhudumia lakini hudumia mwanamke anaestahili huduma zako sio kuhudumia kwa sababu tu yeye ni mwanamke. Jinsia ya kike sio justification ya kuwa tegemezi.
Hapa ndo umeongea boss, tumemalizana mimi na wewe

Asante
 
Semea Huu Ulikua Uzi kabisa ume uharakisha tu
 
Mwanamke unapomhitaji, direct anajua nafasi yake ni kua chini ya milki yako, hivo kumhudumia ni jukum lako hata kama anakipato chake.
 
Hiyo aya ya mwisho ndio inatakiwa iwe hoja yako ya msingi hata usingepishana na bwana Etugrul Bey
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…