Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
- Thread starter
-
- #141
Mkuu tupo katika ulimwengu wa tofauti kidogo, tunahitaji adjustment tofauti na hizi stereotype walizoziishi vizazi vilivyopita.Unakua provider coz anakua chini ya milki yako.
Huwezi kumdhibiti mwanamke ambae humhudumii hata kama anao uwezo wa kujihudumia, madam umetaka awe ktk milki yako lazima jukum la kuprovide ulitumikie.
Kwamba unataka kusema kila kitu kinachohusu mahusiano kuanzia sex, watoto, kampani n.k ni hitaji la mwanaume peke yake.Wahindi wa kike wao ndio wanatongoza au wanatoa mahari ndio maana wana sauti kwa waume zao
Point hapa ni kwamba ukiwa mhitaji lazima uprovide period
😀😀😀😀Mnyaji
Vijana wanawapa mademu zao hadhi ya mkeUmesoma Simulizi ya Jinsi nilivyokutana na Mrembo wa ajabu kupitia biashara ya Uber Kuna point pale zinakukataa vizuri mno
Mleta mada anachozungumzia hapa ni kuwa yaani mtu TU anamaisha yake uanze tu kuhudumia kwani kabla ya hapo alikuwa anaishije ?ww usichanganye kati ya make na mtu tu wa mtaani hapa
Yani mwanaume ni mateso,mpaka siku ya kufa ila ukiwa na hela unapunguza hayo matesoUsisahau pia kuwekeza kwa ajiri ya nyakati zako za uzee wewe binafsi. Watoto wakianza kupata pata vijisenti wana kawaida ya ku-reside upande wa mama
Tafiti zinaonyesha migogoro na madai ya talaka mengi yanatokea kwenye ndoa za wanawake wenye kipato kikubwa/wasomi kwaiyo hatuwezi kusema hao wanawake tajwa hawana shida yoyote.Mimi huyu wa kwangu kanipita kipato na ana niheshimu vibaya mno nikimwambia kitu fulani sikipendi na anaacha kweli ukijua kuishi na mwanamke vizuri kwa akili hawezi kukusumbua hata kama kakuzidi elimu au kipato kwa kiasi gani ni kwavile tu mwanaume wengi wanasumbuliwa na inferiority complex
Hakuna utiifu wanawake wa kisasa wanafanya biashara ya mapenzi tu, kesho akiwekewa mezani dau kubwa zaidi hatojifikiria mara mbili. Kuweni macho vijana.Upo sahih mkuu, mwanamke ili ajue yupo chini ya milki yako lazima umhudumie.
Tumechelewa tu kufika tamati, infact tungemaliza muda mrefu sana kama kule juu ungenijibu nilivyokuuliza "kwanini unafikiri unawajibika kumuhudumia mwanamke".Hapa ndo umeongea boss, tumemalizana mimi na wewe
Asante
Wote wawili mnahitajiana, mwanaume kutongoza ni gender instict tu. Kwenye suala zima la mapenzi hakuna anaemfanyia favor mwenzake kiasi cha kutaka kulipwa fidiaMwanamke unapomhitaji, direct anajua nafasi yake ni kua chini ya milki yako, hivo kumhudumia ni jukum lako hata kama anakipato chake.
Hakuna nilipopishana nae ni jamaa tu hakutaka kutoa ushirikiano wa baadhi ya maswali ambayo nilimuulizaHiyo aya ya mwisho ndio inatakiwa iwe hoja yako ya msingi hata usingepishana na bwana Etugrul Bey
Hapo hulipi fidia, bali unatoa matunzo ya unachokimiliki.Wote wawili mnahitajiana, mwanaume kutongoza ni gender instict tu. Kwenye suala zima la mapenzi hakuna anaemfanyia favor mwenzake kiasi cha kutaka kulipwa fidia
Upo sahihi bt unachokisema kitawork siku za usoni sio leo.Mkuu tupo katika ulimwengu wa tofauti kidogo, tunahitaji adjustment tofauti na hizi stereotype walizoziishi vizazi vilivyopita.
Sio kwamba sijui huo ustaarabu wa kuprovide, i teach men game because i know this providing thing isn't deservingness to our modern women.
Ni mchakato hali haiwezi kubadikika kwa siku mojaUpo sahihi bt unachokisema kitawork siku za usoni sio leo.
Unammiliki binadamu mwenzako?Hapo hulipi fidia, bali unatoa matunzo ya unachokimiliki.
Mtu akiwa chini yako, unakua umemmiliki kiutawala.Unammiliki binadamu mwenzako?
Tusikatae wapo wengine wanaume wengine wana inferiority complex inawafelisha mfano mimi ningekuwa na hiyo kitu nisingeweza kufikisha miaka 4 ya mahusiano yetuTafiti zinaonyesha migogoro na madai ya talaka mengi yanatokea kwenye ndoa za wanawake wenye kipato kikubwa/wasomi kwaiyo hatuwezi kusema hao wanawake tajwa hawana shida yoyote.
Exception zipo mfano hayo mahusiano yako, lakini ukweli jumuishi ni kwamba kadiri mwanamke anavyopanda ngazi kieleimu au kiuchumi ndivyo anazidi kupoteza womanhood character yake. Hakuna inferior complexity yoyote.
KabisaUkikojoa akili huwa zinarudi