Bora uitwe bahili kuliko kuitwa masikini

Bora uitwe bahili kuliko kuitwa masikini

Unakua provider coz anakua chini ya milki yako.

Huwezi kumdhibiti mwanamke ambae humhudumii hata kama anao uwezo wa kujihudumia, madam umetaka awe ktk milki yako lazima jukum la kuprovide ulitumikie.
Mkuu tupo katika ulimwengu wa tofauti kidogo, tunahitaji adjustment tofauti na hizi stereotype walizoziishi vizazi vilivyopita.

Sio kwamba sijui huo ustaarabu wa kuprovide, i teach men game because i know this providing thing isn't deservingness to our modern women.
 
Wahindi wa kike wao ndio wanatongoza au wanatoa mahari ndio maana wana sauti kwa waume zao

Point hapa ni kwamba ukiwa mhitaji lazima uprovide period
Kwamba unataka kusema kila kitu kinachohusu mahusiano kuanzia sex, watoto, kampani n.k ni hitaji la mwanaume peke yake.

Kutongoza ni gender instict tu sio ishara yankwamba mmoja ndie muhitaji, usimp unaanza na hii mentality ya kufikiria katika mahusiano mwanamke anakufanyia favor
 
Umesoma Simulizi ya Jinsi nilivyokutana na Mrembo wa ajabu kupitia biashara ya Uber Kuna point pale zinakukataa vizuri mno

Mleta mada anachozungumzia hapa ni kuwa yaani mtu TU anamaisha yake uanze tu kuhudumia kwani kabla ya hapo alikuwa anaishije ?ww usichanganye kati ya make na mtu tu wa mtaani hapa
Vijana wanawapa mademu zao hadhi ya mke
 
Mimi huyu wa kwangu kanipita kipato na ana niheshimu vibaya mno nikimwambia kitu fulani sikipendi na anaacha kweli ukijua kuishi na mwanamke vizuri kwa akili hawezi kukusumbua hata kama kakuzidi elimu au kipato kwa kiasi gani ni kwavile tu mwanaume wengi wanasumbuliwa na inferiority complex
Tafiti zinaonyesha migogoro na madai ya talaka mengi yanatokea kwenye ndoa za wanawake wenye kipato kikubwa/wasomi kwaiyo hatuwezi kusema hao wanawake tajwa hawana shida yoyote.

Exception zipo mfano hayo mahusiano yako, lakini ukweli jumuishi ni kwamba kadiri mwanamke anavyopanda ngazi kieleimu au kiuchumi ndivyo anazidi kupoteza womanhood character yake. Hakuna inferior complexity yoyote.
 
Hapa ndo umeongea boss, tumemalizana mimi na wewe

Asante
Tumechelewa tu kufika tamati, infact tungemaliza muda mrefu sana kama kule juu ungenijibu nilivyokuuliza "kwanini unafikiri unawajibika kumuhudumia mwanamke".

Msimamo wako unataka mwanamke audumiwe kwa sababu tu yeye ni mwanamke lakini sio kwa sababu anastahili izo huduma.
 
Mwanamke unapomhitaji, direct anajua nafasi yake ni kua chini ya milki yako, hivo kumhudumia ni jukum lako hata kama anakipato chake.
Wote wawili mnahitajiana, mwanaume kutongoza ni gender instict tu. Kwenye suala zima la mapenzi hakuna anaemfanyia favor mwenzake kiasi cha kutaka kulipwa fidia
 
Wote wawili mnahitajiana, mwanaume kutongoza ni gender instict tu. Kwenye suala zima la mapenzi hakuna anaemfanyia favor mwenzake kiasi cha kutaka kulipwa fidia
Hapo hulipi fidia, bali unatoa matunzo ya unachokimiliki.
 
Hii ndyo hali halisi unapokutana na walengaji huku ukidhani na long term goals na yeye
 
Attachments

  • Screenshot_20241012-235910.png
    Screenshot_20241012-235910.png
    975.7 KB · Views: 2
Mkuu tupo katika ulimwengu wa tofauti kidogo, tunahitaji adjustment tofauti na hizi stereotype walizoziishi vizazi vilivyopita.

Sio kwamba sijui huo ustaarabu wa kuprovide, i teach men game because i know this providing thing isn't deservingness to our modern women.
Upo sahihi bt unachokisema kitawork siku za usoni sio leo.
 
Tafiti zinaonyesha migogoro na madai ya talaka mengi yanatokea kwenye ndoa za wanawake wenye kipato kikubwa/wasomi kwaiyo hatuwezi kusema hao wanawake tajwa hawana shida yoyote.

Exception zipo mfano hayo mahusiano yako, lakini ukweli jumuishi ni kwamba kadiri mwanamke anavyopanda ngazi kieleimu au kiuchumi ndivyo anazidi kupoteza womanhood character yake. Hakuna inferior complexity yoyote.
Tusikatae wapo wengine wanaume wengine wana inferiority complex inawafelisha mfano mimi ningekuwa na hiyo kitu nisingeweza kufikisha miaka 4 ya mahusiano yetu
 
Akili nyingi mkamaria ila ndo ivo kenge hasikii mpaka aone damu.

Btw Kama mwanaume hauna pesa za mawazo zafaa nini bila mbususu, no no no no.!!

Hakuna raha kama kukutana na pisi inayopenda pesa hakuna maelezo marefu zaidi ya kupay & hit sio zile za wait ntakupa jibu, like wtf.!!

Note: Kama mwanaume hujajipata stick kwenye ushauri wa mleta mada.
 
Back
Top Bottom