Ungekuwa mwanamke tungekwita chizi ub Oooooo ila kama mwanaume sijui tukwite nani?mara nyingi nawaona wanachemkaga sana
hawa mabinti kanaweza kukudokeza vituko vyake ukakasikiliza ukabaki kukapa hisani tuh mana vinajituma kwa kweli ukifanya mchezo unaweza kumsahau mama nyumbani
starehe ya mwanaume ni kuwa na wanawake wengi na kuwatumia kwa kadiri ya utashi wakoUngekuwa mwanamke tungekwita chizi ub Oooooo ila kama mwanaume sijui tukwite nani?
Hivi kupiga miayo ni starehe?starehe ya mwanaume ni kuwa na wanawake wengi na kuwatumia kwa kadiri ya utashi wako
kwamba unajaribu kusema nimatendo ya hiyariHivi kupiga miayo ni starehe?
Sasa na wewe mpaka unawaona Ccm wanaiba kura unawaacha tu huwakamati wala angalau kupiga kelele za mwizi huyo aupigi basi na wewe itakuwa ulikuwa unaiba wapiga kula kwa hiyo wote nyie ni wezi.Ccm huwa wananikera sana wanavyoiba kura ila washinde uchaguzi LAKINI nakuomba gombea uongozi pale NAKATAA NDOA nitaiba kura kwa ajili Yako.
Semea Huu Ulikua Uzi kabisa ume uharakisha tu
Na watu hawajagundua kuwa usimp huwa unaanziaga hapo kwenye kuhonga, ukishaonga mwanamke kwa kiasi ambacho hauwezi kustahimili maumivu ya kukipoteza ndipo ugumu wa kumuacha unaanzia hapo hata kama akikuonyesha red frags. Kinachofuata hapo ni kuwa mtumwa wa uyo mwanamke kwa sababu ashajua hauna pa kwenda.Vijana wahongaji wakishaachwa na malaya zao au wakiolewa na wenye vibunda zaidi yao wanaanza kulalama sijui nilimfanyia hiki, nilimnunulia kile, sijui mara ooh nilimfungulia biashara na malalamiko mengine kibao
Hapo ndipo anapogundua alipoteza pesa, muda na nguvu zake bure
Vijana wahongaji kumbukeni money doesn't buy love but rather it delays your heartbreak
Mr investor go and keep investing in your girlfriend
Learn or perish
Gentleman, nice guy, ukisikia mwanaume wa kiafrika anaitwa hayo majina ujue simp uyo.Wanawake wengi wanapenda wanawaume wajinga angalia pisi wanaliwa na mabwege tu ila ukiwa bahili wanatoka mbio ila wanawake.
Kabiiiiiiiiiisa lo!
ππππ men are in love while women are in business, bad enough nikifungua hizi code wanaume wenzangu wananipinga.Hii ndyo hali halisi unapokutana na walengaji huku ukidhani na long term goals na yeye
Kumiliki maana yake iyo ni mali yako transfer of ownership haiwezi kufanyika bila wewe kulipwa.Mtu akiwa chini yako, unakua umemmiliki kiutawala.
Kama umebahatika kupata empowered woman anaeijua nafasi yake kama mwanamke kwenye mahusiano wewe mshukuru tu Mungu wako endelea na maisha yako lakini usione wanaume wengine ni wajinga.Tusikatae wapo wengine wanaume wengine wana inferiority complex inawafelisha mfano mimi ningekuwa na hiyo kitu nisingeweza kufikisha miaka 4 ya mahusiano yetu
Mwanamke ni obstacle bila kujali anakuja wakati gani kwenye maisha yako.Akili nyingi mkamaria ila ndo ivo kenge hasikii mpaka aone damu.
Btw Kama mwanaume hauna pesa za mawazo zafaa nini bila mbususu, no no no no.!!
Hakuna raha kama kukutana na pisi inayopenda pesa hakuna maelezo marefu zaidi ya kupay & hit sio zile za wait ntakupa jibu, like wtf.!!
Note: Kama mwanaume hujajipata stick kwenye ushauri wa mleta mada.
πππππKabiiiiiiiiiisa lo!
But wewe sio Bahili Thanks God for you!
Be blessed swirry
Wapo wanawake wengine ni matapeli by nature hata ufanye nini huwezi kuchange na wapo wanawake wengine wanakuwa wazuri kulingana na mwanaume alivyo na pia kuna wanawake wengine ni wazuri by nature.Kama umebahatika kupata empowered woman anaeijua nafasi yake kama mwanamke kwenye mahusiano wewe mshukuru tu Mungu wako endelea na maisha yako lakini usione wanaume wengine ni wajinga.
Jamaa huwa yupo sober siku zote. Wewe ndiyo utakuwa umeamka sober, ndiyo maana umemuelewa.Leo naona upo sober. Umeamka akili nyingi sana