Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu bado mtoto na mshamba (ignorant) wa wanawake. Akiwajua hatorudia hayo asemayoKuna mwamba alisukuma boma lake chini wakati anaendelea na ujenzi kisa KE sasa imebaki historia
Jidanganye..unafikiri kumtimua mke ni rahisi kama unafukuza kunguruNi wajinga gao nyumba yangu niikimbie?nakukimbiza wewe mwanamke
na me huo msemo niliuelewa hivyo huenda mwandishi ana akili nyingi kama tulivyoambiwa wanawake tuishi nao kwa akili. Mwandishi asibezwe hoja anayo.Ukikosea kuoa hata hiyo nyumba unaipoteza.
Maana mkiachana kuna mgawanyo wa mali.
Unakuwa hujaamua mkuuJidanganye..unafikiri kumtimua mke ni rahisi kama unafukuza kunguru
unamtimua vizuri tu ila utumie akili nyingi sana kuliko nguvu na hasiraJidanganye..unafikiri kumtimua mke ni rahisi kama unafukuza kunguru
Mkuu umenifikirisha sana! Wakati wewe ukisema nyumba yenye maaana ni zile za Mil 30 and above kuna mwamba amekusonya na kutema mate chini.Kwa mikoani hakuna mtu wa miaka 30 asiye na mke wala nyumba,nyie wa mjini ndio mnafia kwenye upangaji na kufa kibudu bila mke wala mtoto
Kosea kuoa uone kama mkeo hajakunyanganya hako kajumba Kako.Nilitumia miaka zaidi ya 10 nyumba yangu kukamilka kabisa,gharama sitataja ila itoshe kusema nyumba yangu ni ya thamani kuliko wanawake wote niliowahi kuoa au kuwa nao kwenye mahusiano.
Leo hii ukibomoa hako kajumba kangu umenimaliza,kuja kuijenga tena sio rahisi,lakini huyu mke hata akiondoka leo mwezi mmoja navuta mwingine
Hapa naongelea nyumba za kuanzia milioni 30 sio hizo slope za Singida
Tusidanganyane
Kwani upo mkoa upi mkuu?Kwa mikoani hakuna mtu wa miaka 30 asiye na mke wala nyumba,nyie wa mjini ndio mnafia kwenye upangaji na kufa kibudu bila mke wala mtoto
Kwaiyo nyumba yako Ina thamani ya million 30 na umeijenga Kwa miaka 10🤣🤣🤣🤣🤣🤣?Nilitumia miaka zaidi ya 10 nyumba yangu kukamilka kabisa,gharama sitataja ila itoshe kusema nyumba yangu ni ya thamani kuliko wanawake wote niliowahi kuoa au kuwa nao kwenye mahusiano.
Leo hii ukibomoa hako kajumba kangu umenimaliza,kuja kuijenga tena sio rahisi,lakini huyu mke hata akiondoka leo mwezi mmoja navuta mwingine
Hapa naongelea nyumba za kuanzia milioni 30 sio hizo slope za Singida
Tusidanganyane
Na mama yako akifa itabidi Mali ziingizwe kwenye mirathi ya mamayako Kisha mgawane na ndugu zakona me huo msemo niliuelewa hivyo huenda mwandishi ana akili nyingi kama tulivyoambiwa wanawake tuishi nao kwa akili. Mwandishi asibezwe hoja anayo.
kuna jamaa alisema ukiona mke wako mkorofi na una miliki mali za thamani hati zote za nyumba andika jina la mama yako mzazi wakija kuangalia wanakuta mume hana chochote kwahiyo huyo mke anakuwa amekosa alichokikusudia.
Inategemea na sehemu, ujenzi wa Chato hauwezi kuwa sawa na KinondoniKujenga hakuna gharama kubwa kama tunavyodanganywa ni ishu ya maamuzi tu
USSR
Na watoto wa shule anakuachia au anaenda naounamtimua vizuri tu ila utumie akili nyingi sana kuliko nguvu na hasira