Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Unaomba taarabu hapa jfHello Hello JF
katika maisha yangu naogopa kumla papa na nyama yake na ikitokea nikienda kuvua baharini simgeuzi naacha nyavu iamue naogopa sana...
Papa jibu analo Mzee wa kupambaniaUnamzungumzia papa samaki wa baharini au papa code? Kama ni papa wa samaki wa baharini hapo sawa.
nikienda kuvua baharini simgeuzi naacha nyavu iamue naogopa sanaPapa jibu analo Mzee wa kupambania
Wapi wewe mpenda harufu????😂😂😂nikienda kuvua baharini simgeuzi naacha nyavu iamue naogopa sana
🤣🤣🤣
Hakika ndiye Wadiz unahitaji akili mingi kwenye hiloBaadae unaweza ukaskia huu uzi umeandikwa na mwanaume🤔
Kwani wewe unakulaga papa mkuu?Baadae unaweza ukaskia huu uzi umeandikwa na mwanaume🤔
Budweiser buku 9000 ngoja nianzie na za 3000 mtaaniHello Hello JF
katika maisha yangu naogopa kumla papa na nyama yake na ikitokea nikienda kuvua baharini simgeuzi naacha nyavu iamue naogopa sana, wengine kazi ya uvuvi hatujazoea. Papa tumpe Uhuru wake hasa mabawa yake yaendelee kubaki intact pasipo choko choko za wavuvi.
Karibuni wavuvi camp leo kuna party la weekend kama kawaida.
Madensa waipate hii
Wadiz
Hiyo buku 9 wale stupid walio na kamba za kujipimia haiwapi hata mafua.....Budweiser buku 9000 ngoja nianzie na za 3000 mtaani