Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 5,962
- 17,648
SorryWapo waliotoka diploma wanafanya vizuri ila ulichokiongea kina ukweli kwa uzoefu wangu waliotoka form 6 huwa wanakua vzr kuliko waliotoka diploma pale wanapokutana kwenye ngazi ya degree. Lakini yote kwa yote hapa bongo malezi yetu kitaaluma na kijamii ni ngumu sana mtu kujua kipaji/kipawa chake tangu mapema ili aweze kujinoa zaidi ivyo tunajikuta wote tunakomaa na shule hata tukidunda hapo kati kwenye form 4 au 6 tunaunga unga tu mpaka uko ngazi ya degree kibishi lakini kiuhalisia elimu ya kitabu sio kwa ajili ya kila mtu.
Yani mtu alietoka diploma let say ya C.Engineering na mtu alietoka A level wakikutana ngazi ya degree alietoka A level ndio anakuwa vizuri??
Au mimi nimekuelewa vibaya.
Embu kuwa serious kidogo.