Bora usome Advance kwanza ukienda Diploma utasoma muda wowote

Sorry
Yani mtu alietoka diploma let say ya C.Engineering na mtu alietoka A level wakikutana ngazi ya degree alietoka A level ndio anakuwa vizuri??

Au mimi nimekuelewa vibaya.
Embu kuwa serious kidogo.
 
Sorry
Yani mtu alietoka diploma let say ya C.Engineering na mtu alietoka A level wakikutana ngazi ya degree alietoka A level ndio anakuwa vizuri??

Au mimi nimekuelewa vibaya.
Embu kuwa serious kidogo.
Nimesema kwa uzoefu wangu mkuu, sijui hayo masuala ya injinia mimi nimesoma masomo ya biashara. Wanafunzi waliotoka ECA form 6 perfomance yao ilikua nzuri kuliko waliotokea diploma ya uhasibu.. diploma njia mbadala baada ya kukwama njia kuu wengi wanaotoka diploma walikwama form 4 wakasoma certificate au walikwama 6 na kushindwa kwenda bachalor degree ndio wakaingia diploma ili wadike degree
 
Sijui nikueleze vipi ila nadhani ushanielewa nilichotaka kusema.

Wakati mwingine usijenerolizi mambo sawa?
 
Hii sio chai kweli hii??
 
Mimi nimesoma na watu wa diploma university na course zilikuwa ni hizi za engineering walikuwa nondo hatari sehemu pekee ilikuwa inawapa shida ni hesabu kidogo ambazo ni course 1 Tu zingine zote wako vizuri na GPA kubwa Sisi tunapambania boom 7000 wao wanakuja wanadrive
 
Yani ushindane kusoma kitu ambacho alishakisoma tayari na akuangalizie? Sema umekutana na vilaza kama vilaza wengine. Mtu wa diploma sio sawa na Advance. Dip yuko mbali sana ukitaka kuamini nenda katafute kazi na cheti cha Adv mwenzako ana Dip uone.
 
Baada ya kuanguka form 6 umekutana na form 4 hapo wewe ndo kilaza
Ungepita diploma ungekua degree au kazini au huko mtaani na diploma yako unakula vidili vya hapa na pale
Sasa ukakinbilia form 6 usipopaweza😀
 
Akili za vitoto vya 2000 bwana🤣🤣, haya bwana Uko sahihi
 
Je una uhakika gani kama nao hawakuoni unauwezo mdogo ? Form six inakuwa na uwexo gani mkubwa wa kufikiri kuliko diploma ? Which content ?
Assume wewe umeishia form six na yeye kaishia diploma. Huoni wewe mtaani itakuwa TABULA RASA. Ila wewe bado kweli fomu zixii!!.
Mtu asome diploma ya madini na wewe siz muwe sawa? Do you think hili ni jukwaa la masikhara ?
Mpo hapo chuoni kwa ajili ya kwenda kufanya kazi hamna kingine ! Mwanafunzi anae Disco tu ndio hatapata kazi. Hayo matheory yataishia huko huko chuo.
Kazini utamkuta Bosi wako ambae ni kilaza na huo ufaulu wako hautabadiri chochote.Amka usingizini hso Dop huenda wakakusaidia connection.
 
Mkuu huyo bado mtoto. Muhurumie tu.
 
Form six akiamua anavipata hivyo vyote tena Kwa mdaa mchache sana na anaweza akawa na multiskill Sasa hao ma welder zidhani kama Wana unabavu huo zaidi ya kuishia kuumwa macho
Hakuna aliekwambia huwezi vipata ila unakuwa umetumia muda vibaya. Hio pcm yako ujifananishe na injinia wa diploma . Welding mwenzio ni sehemu ya kozi yake. Mwenzio anasoma eng mathematics wewe unahangaika na Adv maths embayo ni general. Zamani waliosoma FTC chuo walisoma miaka 3 wakati form six miaka 4. We dogo acha kuchokoza watu humu. Pambania elimu yako acha kuchunguza watu chuoni, wanaweza pata gpa kubwa kiliko wewe na siku moja wakawa mabosi wako.Usije sema hatukukwambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…