Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Naunga mkono hoja. Form6 ipewe heshima yake.Nikisikia mtu kasoma diploma kwa kutokea form four basi sibishani tena najua atakuwa na uwezo mdogo kwenye mambo mengi
Form six ndio SI unit kwa kukomaza akili na uwezo wa kufikiri
Hizo welding sijui engineering mechanics zote zinasomwa first year kwa mtu aliyetoka form6.Hakuna aliekwambia huwezi vipata ila unakuwa umetumia muda vibaya. Hio pcm yako ujifananishe na injinia wa diploma . Welding mwenzio ni sehemu ya kozi yake. Mwenzio anasoma eng mathematics wewe unahangaika na Adv maths embayo ni general. Zamani waliosoma FTC chuo walisoma miaka 3 wakati form six miaka 4. We dogo acha kuchokoza watu humu. Pambania elimu yako acha kuchunguza watu chuoni, wanaweza pata gpa kubwa kiliko wewe na siku moja wakawa mabosi wako.Usije sema hatukukwambia.
We jamaa mi sio wa 2000 bwanaAkili za vitoto vya 2000 bwana[emoji1787][emoji1787], haya bwana Uko sahihi
Form six an logic kwakua ana uwelewa mkumbwa juu ya asili hao ma diploma kazi Yao ni kukariri yaani hakuna kitu Cha ajabu ambacho dimpo anazaweza fanya kumzidi sana wa mtaaani ndio maana wachina wana waterm dimpo kama maforemen na si matechnicianJe una uhakika gani kama nao hawakuoni unauwezo mdogo ? Form six inakuwa na uwexo gani mkubwa wa kufikiri kuliko diploma ? Which content ?
Assume wewe umeishia form six na yeye kaishia diploma. Huoni wewe mtaani itakuwa TABULA RASA. Ila wewe bado kweli fomu zixii!!.
Mtu asome diploma ya madini na wewe siz muwe sawa? Do you think hili ni jukwaa la masikhara ?
Mpo hapo chuoni kwa ajili ya kwenda kufanya kazi hamna kingine ! Mwanafunzi anae Disco tu ndio hatapata kazi. Hayo matheory yataishia huko huko chuo.
Kazini utamkuta Bosi wako ambae ni kilaza na huo ufaulu wako hautabadiri chochote.Amka usingizini hso Dop huenda wakakusaidia connection.
Mtu mwenye dimploma nae ni injinia? Ungejua kua mtu anaesoma dimpo ya lab tech Hana tofauti sana na mtu ambaye anachukua PCB au PCM ungefuta haya mashuudu yakoHakuna aliekwambia huwezi vipata ila unakuwa umetumia muda vibaya. Hio pcm yako ujifananishe na injinia wa diploma . Welding mwenzio ni sehemu ya kozi yake. Mwenzio anasoma eng mathematics wewe unahangaika na Adv maths embayo ni general. Zamani waliosoma FTC chuo walisoma miaka 3 wakati form six miaka 4. We dogo acha kuchokoza watu humu. Pambania elimu yako acha kuchunguza watu chuoni, wanaweza pata gpa kubwa kiliko wewe na siku moja wakawa mabosi wako.Usije sema hatukukwambia.
Unazidi kuonesha kuwa huna uelewa. Kwa hio hakuna injinia wa doploma. Wale wanaosoma diploma pale DIT, MUST nk wanasonea nini ?. Unaonekana hauna uelewa wa kozi mbali mbali zinazotolewa na vyuo vyetu. Kama hauelewi uwe unauliza ueleweshwe. Kila /kozi ntingi za Digrii zina diploma yake. Soma prospecta ya kila chuo ujue sio kubisha kitu usichojua na ndio maana unajiona unawazidi hao diploma kumbe wao ndio wamekuzidi.Ukidisco hapo chuo huna chako. Kaza shule acha kubishana na watu waliokitaa.Mtu mwenye dimploma nae ni injinia? Ungejua kua mtu anaesoma dimpo ya lab tech Hana tofauti sana na mtu ambaye anachukua PCB au PCM ungefuta haya mashuudu yako
Ana logic gani ? We katoto acha utoto. Sisi baba zako tutakuchapa vibao.Form six an logic kwakua ana uwelewa mkumbwa juu ya asili hao ma diploma kazi Yao ni kukariri yaani hakuna kitu Cha ajabu ambacho dimpo anazaweza fanya kumzidi sana wa mtaaani ndio maana wachina wana waterm dimpo kama maforemen na si matechnician
Kwahiyo mtu aliyesoma diploma ya Electrical, Electronics engineering nk Siyo engineer😁, u have long way to go... Kwahiyo unadai mtu anayesoma diploma Hana tofauti na anayesoma PCM na PCM au siyo... Ni dhahiri hujui diploma ni nini, in short anayesoma diploma anasoma vitu kama vya anayesoma degree wa the same course, tofauti ni kuwa hawaingii deep sana, Kuna vitu hawasomi ambavyo wa degree anasoma au anafanya mfano Research... The rest vinafanana huwezi linganisha mtu anasoma general subjects kama Physics, chemistry na biology na mtu anayesoma lab tech. Ingekuwa hivyo wangekuwa wanaajiri mtu akimaliza form six anakuwa engineer kwasababu amesoma Physics, Kuna mdau kakushauri tafuta Prospectus ya chuo chochote wanachotoa diploma na Degree zinazofanana soma uelewe acha kukomaza fuvuMtu mwenye dimploma nae ni injinia? Ungejua kua mtu anaesoma dimpo ya lab tech Hana tofauti sana na mtu ambaye anachukua PCB au PCM ungefuta haya mashuudu yako
You're right eti unakuta shule Ina wanafunzi 100 halafu 87 Wana Division one ya 7😁, zamani ukipata one ya saba unakuwa gumzoHivi hao form six wenye akili wanapatikana vyuo gani huko nije kufanya utalii wa ndani?
Maana kwa uzoefu nilioupata katika utafiti wangu usio rasmi, nimetoka chuo fulani hivi karibuni, ni kati ya vyuo vikubwa kabisa nchi hii na kinasifika kwa kutoa products za maana, ila products (in the making) zenyewe nilizozishuhudia hadi najionea aibu mwenyewe.
Si diploma si form six tabu tupu, watoto wa 2000 kazi sana, yaani vichwa vipo empty hadi unashangaa. Ukiwakuta wamekaa kwenye vimbweta wana arguments kama za mleta mada, wakisimuliana jinsi walivyopata div I huku wakikaririshana notes neno kwa neno.
Kuna wachache sana wenye uwezo binafsi wanafanya vizuri, na huwa haijalishi katokea diploma au form six.
Binafsi naamini elimu ilikuwa zamani, ila ya sasa hata division one hazina chochote kichwani. Unabaki ukijiuliza kama hizi ndo div I za Leo, je III na IV zitakuwa na hali gani?! Hata wakufunzi wanajua na wanatunga mitihani rahisi ili kuendana na kizazi, la sivyo supplementary, carry-overs na discontinuation zitamaliza darasa. Hata past papers za miaka ya nyuma inaonesha tofauti kubwa ukilinganisha na ya sasa. Mitihani ya zamani iliwataka watahiniwa kufikiri, ya leo inawataka kukariri. Wakifanikiwa kukariri wakafaulu, wakaongezewa na marks kadhaa wakapata A au B+ wanasahau kuwa walifanyiwa boosting, wanaanza kutambia uwezo wa akili na muda huo wameshasahau kila walichokisoma kabla ya mtihani!
Kwa ufupi elimu yetu inahitaji mabadiliko makubwa sana, maana kwa sasa ni bora liende tu kukuza mtaji wa ccm wa wajinga waliosoma wa kujazana uvccm na uchawani.
Ni ajabu sana mkuu. Vijana wanapata matokeo makubwa ila hawana kitu kabisa vichwani!You're right eti unakuta shule Ina wanafunzi 100 halafu 87 Wana Division one ya 7😁, zamani ukipata one ya saba unakuwa gumzo
Ukiwa na diploma wewe sio injinia, ni fundi mchundo au technician. Na unatakiwa ufanye kazi chini ya maelekezo ya injinia.Kwahiyo mtu aliyesoma diploma ya Electrical, Electronics engineering nk Siyo engineer😁, u have long way to go... Kwahiyo unadai mtu anayesoma diploma Hana tofauti na anayesoma PCM na PCM au siyo... Ni dhahiri hujui diploma ni nini, in short anayesoma diploma anasoma vitu kama vya anayesoma degree wa the same course, tofauti ni kuwa hawaingii deep sana, Kuna vitu hawasomi ambavyo wa degree anasoma au anafanya mfano Research... The rest vinafanana huwezi linganisha mtu anasoma general subjects kama Physics, chemistry na biology na mtu anayesoma lab tech. Ingekuwa hivyo wangekuwa wanaajiri mtu akimaliza form six anakuwa engineer kwasababu amesoma Physics, Kuna mdau kakushauri tafuta Prospectus ya chuo chochote wanachotoa diploma na Degree zinazofanana soma uelewe acha kukomaza fuvu
Wee acha uongo hapa, wanakuja level ya Degree wakiwa weupe hawana lolote.Yani ushindane kusoma kitu ambacho alishakisoma tayari na akuangalizie? Sema umekutana na vilaza kama vilaza wengine. Mtu wa diploma sio sawa na Advance. Dip yuko mbali sana ukitaka kuamini nenda katafute kazi na cheti cha Adv mwenzako ana Dip uone.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hukupita advance? Mbona hasira sanaa? LolHakuna aliekwambia huwezi vipata ila unakuwa umetumia muda vibaya. Hio pcm yako ujifananishe na injinia wa diploma . Welding mwenzio ni sehemu ya kozi yake. Mwenzio anasoma eng mathematics wewe unahangaika na Adv maths embayo ni general. Zamani waliosoma FTC chuo walisoma miaka 3 wakati form six miaka 4. We dogo acha kuchokoza watu humu. Pambania elimu yako acha kuchunguza watu chuoni, wanaweza pata gpa kubwa kiliko wewe na siku moja wakawa mabosi wako.Usije sema hatukukwambia.
Watu weuweeee!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiwa na diploma wewe sio injinia, ni fundi mchundo au technician. Na unatakiwa ufanye kazi chini ya maelekezo ya injinia.
Mada za vitoto vya 2000 hapo kaona ametoa bonge la point😄😄Non sense. Leteni mada za maana.
Big pointSiku ukijua kati ya advance na ajira ni kipi muhimu uje hapa uombe msamaha
Unaelewa maana ya engineering kwanzaKwahiyo mtu aliyesoma diploma ya Electrical, Electronics engineering nk Siyo engineer[emoji16], u have long way to go... Kwahiyo unadai mtu anayesoma diploma Hana tofauti na anayesoma PCM na PCM au siyo... Ni dhahiri hujui diploma ni nini, in short anayesoma diploma anasoma vitu kama vya anayesoma degree wa the same course, tofauti ni kuwa hawaingii deep sana, Kuna vitu hawasomi ambavyo wa degree anasoma au anafanya mfano Research... The rest vinafanana huwezi linganisha mtu anasoma general subjects kama Physics, chemistry na biology na mtu anayesoma lab tech. Ingekuwa hivyo wangekuwa wanaajiri mtu akimaliza form six anakuwa engineer kwasababu amesoma Physics, Kuna mdau kakushauri tafuta Prospectus ya chuo chochote wanachotoa diploma na Degree zinazofanana soma uelewe acha kukomaza fuvu
Labda ni kwambie tu niliishia nta level 4 hii ni baada ya Kuona Kila nachofundishwa ni msingi wa PCM nikaona napoteza mdaa hafu unasema Wao wanasoma eng math huu ni uwongo Wao wanasoma adv math iliyo rahisishwa inayokaribiana na bamHakuna aliekwambia huwezi vipata ila unakuwa umetumia muda vibaya. Hio pcm yako ujifananishe na injinia wa diploma . Welding mwenzio ni sehemu ya kozi yake. Mwenzio anasoma eng mathematics wewe unahangaika na Adv maths embayo ni general. Zamani waliosoma FTC chuo walisoma miaka 3 wakati form six miaka 4. We dogo acha kuchokoza watu humu. Pambania elimu yako acha kuchunguza watu chuoni, wanaweza pata gpa kubwa kiliko wewe na siku moja wakawa mabosi wako.Usije sema hatukukwambia.
Ile adv math ya high school ndio eng mathematics ? Unaelewa maana ya eng maths. Wewe ni INJINIA GANI, hujui kabisa kwamba injia lazima asome injinia maths.Labda ni kwambie tu niliishia nta level 4 hii ni baada ya Kuona Kila nachofundishwa ni msingi wa PCM nikaona napoteza mdaa hafu unasema Wao wanasoma eng math huu ni uwongo Wao wanasoma adv math iliyo rahisishwa inayokaribiana na bam