Bora ya George Davie

lulu za uru

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2015
Posts
2,557
Reaction score
3,221
Huyu anaitwa Baba , Muheshimiwa, Mkuu nabii George Davie Kwa Arusha yuko Kisongo huko. Sadaka anazikusanya hasa Lakini anarudisha Kwa waumini wake

Utasikia katikati Ibada inasimama show inaanza ametoa pikipiki 10. Ametoa mtaji Kwa wamama Samunge....

Bajaji Laki Tano tano Kwa watu na idadi hazihesabiki.... Jamani mnyonge mnyongeni haki yake apewe Kwa hili yuko vizuri.... Kuna Wengine hatujawahi

Sikia...sadaka zinapitia wapi me sipo huko nimeongea tu Pokea maua Muheshimiwa. .. Nabii.
 
Hivi watu mnaoendaga kusali kwa manabii huwa mnawaza nini vichwani vyenu?

Makanisa ya kusali si yapo jaman

Kuna TAG, AIC, KKKT, TANZANIA CATHOLIC, ANGALIKANA , MORAVIAN

hayo yote ni madhehebu lakin watu hamtaki kwenda kusali mnaenda kwa manabii
 
Wote ni walewale na hayo mambo ni utapeli watu huwa wanapangwa
 
Wote ni walewale na hayo mambo ni utapeli watu huwa wanapangwa
Bora huyu Mkuu hata kama anapiga ila angalau anarudisha... Yule kiboko ulisikia story yake laki Tano unatoa na anakufarakanisha na familia mzima huambulii hata 100 huyu George Davie aisee anasaidia wengi siko huko lkn Nina access Nako najua nachoongea.
 
Kkkt wanapigaje
Hao ndio ufisadi kweupe kanisani watu wanajua kucheza chess ni Roman aisee majamaa wako vizuri.... Na ikijulikana unapiga huambiwi ila kuondolewa kwako itakuwa mithili ya ashakumu si matusi.... Harufu ya ujambo ktkt ya watu utasikia tu harufu hutajua ni nani na harufu itaisha kimyakimya.... Unashushwa chapu.... Intelijensia yao sijawahi ona..... Angalia hata maisha wanayoishi mapadri na masista makanisa yanayojengwa ni hatar..
 
Hivi watu mnaoendaga kusali kwa manabii huwa mnawaza nini vichwani vyenu?

Makanisa ya kusali si yapo jaman

Kuna TAG, AIC, KKKT, TANZANIA CATHOLIC, ANGALIKANA , MORAVIAN

hayo yote ni madhehebu lakin watu hamtaki kwenda kusali mnaenda kwa manabii
hapo kanisa la kusali ni TAG tu, hayo mengine ni abrakadabra tu, katholic tanzania ndio hamna kitu. watu wanataka makanisa ya kuwajenga kiroho wakue na sio makanisa yenye mafundisho yaleyale kila mwaka. kwa manabii ndio utopolo mtupu hawafundishi kuukulia wokovu
 
Ubalikiwe sana mtumish TAG ni hatari sana Kuna vijana wana nguvu za kiroho mpaka unaogopa, wanamjua MUNGU na MUNGU anawajua

Lakin usiwadharau Tanzania CATHOLIC wako vizur ile mbaya au kwakuwa una waona wako wengi ndo maana huna iman nao
 
Me naheshimu popote. Anaposali mtu maana hujui madhabahu ya hpo imemtendea nn.... Kwamf ... Wakatolic atakupa story alivyosaidiwa na Mama Bikira Maria na Yesu wa Ekaresti.... Na ukiangalia katendewa kwl..... Kwahivyo popote panapompa amani mtu aende ila Kwa umakini maana kumeharibika mno mkuu
 
Ubalikiwe sana mtumish TAG ni hatari sana Kuna vijana wana nguvu za kiroho mpaka unaogopa, wanamjua MUNGU na MUNGU anawajua

Lakin usiwadharau Tanzania CATHOLIC wako vizur ile mbaya au kwakuwa una waona wako wengi ndo maana huna iman nao
Duuu
 
Masanja kasema biashara ya kanisa haina Pesa, kaacha karudi kwenye comedy sasa

Mwongo. Kanisani hakuna kodi, kanisani hakuna audit, kanisani hakuna kusoma mapato na matumizi!
Pale kwa Mwaposa nani anasoma mapato na matumizi!

Kanisa ni free lunch aisee. Tena makanisa siku hizi wenye makanisa hawaubiri, wanaalika wahubiri wengine wao wanakuwa wenyeji tuu, mwishoni wanagawana sadaka.
 
wanajenga makanisa majengo makubwa lakini mafundisho yao ni duni, ni ya kiluturujia nchi nzima mstari wa kusomwa ni uleule makanisa yao yote waumini wanatoka ibadani wakavu kiroho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…