Bora ya George Davie

Bora ya George Davie

Masanja kasema biashara ya kanisa haina Pesa, kaacha karudi kwenye comedy sasa
Haina pesa kama unamwogopa Mungu. Ila kama hauogopi ina hela sana. Kuna yule nabii mkubwa Dar es salaam. Hajajenga hata zahanati au shule kusaidia watoto bali kaangusha bonge la hoteli mbeya na watu daily wanajaa kwake. Wajinga ndio waliwao.
 
Bora huyu Mkuu hata kama anapiga ila angalau anarudisha... Yule kiboko ulisikia story yake laki Tano unatoa na anakufarakanisha na familia mzima huambulii hata 100 huyu George Davie aisee anasaidia wengi siko huko lkn Nina access Nako najua nachoongea.
... 'siko huko mimi'... Hii kauli yako inamaanisha nini kujitoa kwenye jambo ambalo tayari umeliongea mwenyewe?
 
hapo kanisa la kusali ni TAG tu, hayo mengine ni abrakadabra tu, katholic tanzania ndio hamna kitu. watu wanataka makanisa ya kuwajenga kiroho wakue na sio makanisa yenye mafundisho yaleyale kila mwaka. kwa manabii ndio utopolo mtupu hawafundishi kuukulia wokovu
mlokole umejazwa na uwehuko
 
Back
Top Bottom