Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
Haina pesa kama unamwogopa Mungu. Ila kama hauogopi ina hela sana. Kuna yule nabii mkubwa Dar es salaam. Hajajenga hata zahanati au shule kusaidia watoto bali kaangusha bonge la hoteli mbeya na watu daily wanajaa kwake. Wajinga ndio waliwao.Masanja kasema biashara ya kanisa haina Pesa, kaacha karudi kwenye comedy sasa