lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,557
- 3,221
Huyu anaitwa Baba , Muheshimiwa, Mkuu nabii George Davie Kwa Arusha yuko Kisongo huko. Sadaka anazikusanya hasa Lakini anarudisha Kwa waumini wake
Utasikia katikati Ibada inasimama show inaanza ametoa pikipiki 10. Ametoa mtaji Kwa wamama Samunge....
Bajaji Laki Tano tano Kwa watu na idadi hazihesabiki.... Jamani mnyonge mnyongeni haki yake apewe Kwa hili yuko vizuri.... Kuna Wengine hatujawahi
Sikia...sadaka zinapitia wapi me sipo huko nimeongea tu Pokea maua Muheshimiwa. .. Nabii.