Samedi Amba LLC
Member
- Apr 5, 2024
- 81
- 117
Habari wanajamvi,
Natumaini sote tunaendelea vizuri na Mungu ametuwezesha kufika hapa salama.
Kuelewa ujuzi wa mawasiliano ni kama kujifunza kuendesha gari. Huwezi tu kuketi kwenye kiti cha dereva na kuanza; kuna hatua za kufikia kiwango cha kujiamini na mwishowe kuzungusha usukani kwa ustadi.
Hizi hapa ni hatua nne, tangu mwanzo hata uzoefu:
Mara nyingi wanaojikuta hapa ni wale ambao hawajajiunga na "structured learning", yaani wapo nje ya mfumo yenye maksudi ya kujifunza jambo fulani..
Mfano: Unapokaa kwenye gari, anajua tu kwamba gari linawashwa na kuondoka. Helewi kuhusu gia, usukani, wala alama za barabarani. Haelewi anachokikosa kwa kutojua kuendesha gari.
Mfano: Katika hatua hii unajua kuwa unataka kuendesha gari. Labda umewaona madereva kazini, na kuvutiwa. Au kuna uhitaji wa kuwa na leseni ya udereva. Unafahamu vizuri unachokikosa kwa kutokuwa na ujuzi huu.
Mfano: Umejiunga na driving school. Na mazoezi ya barabarani yameshaanza. Unaweza kuendesha, lakini bado unazingatia kila kona, kila gia, kila alama ya barabara na mabadiliko ya njiani. Vivyo hivyo, unapo wasiliana, unazingatia sauti yako, ishara, na maneno. Unazidi kuboresha, lakini lazima uendelee kuwa makini.
Mfano: Kama dereva, aidha una gari, au unaendeshaga mara kwa mara. Una uzoefu mzuri. Labda wa miezi au miaka kadhaa. Gia na klachi hazikuchanganyi tena.
****************************************************************************************************************
Kama wewe ni mwanafunzi wa chuo unayeanza safari yako, au umefutwa kazi, au unataka kubadili kazi, au unataka kuboresha utendaji, niko hapa kusaidia kupata ujuzi wa kutumia mbinu za kidigitali kupiga hatua kitaaluma na kimaisha.
Nitumie ujumbe inbox, au niandikie kwenye WhatsApp/SMS kwa +255742308110. Nimepiga hatua kwa kufanyia mazoezi mambo fulani, na ningetaka kukusaidia pia. Tuijenge mustakabali wako pamoja!
Natumaini sote tunaendelea vizuri na Mungu ametuwezesha kufika hapa salama.
Kuelewa ujuzi wa mawasiliano ni kama kujifunza kuendesha gari. Huwezi tu kuketi kwenye kiti cha dereva na kuanza; kuna hatua za kufikia kiwango cha kujiamini na mwishowe kuzungusha usukani kwa ustadi.
Hizi hapa ni hatua nne, tangu mwanzo hata uzoefu:
1. Hujui Unachokikosa - Unconscious Incompetence
Mwanzoni, unaweza usitambue ujuzi usiokuwa nao. Ni kama kuketi kwenye gari lililosimama bila kujua maana ya kubadili gia. Hujui jinsi mawasiliano mazuri yanavyopaswa kuwa, na hujui kinachokurudisha nyuma.Mara nyingi wanaojikuta hapa ni wale ambao hawajajiunga na "structured learning", yaani wapo nje ya mfumo yenye maksudi ya kujifunza jambo fulani..
Mfano: Unapokaa kwenye gari, anajua tu kwamba gari linawashwa na kuondoka. Helewi kuhusu gia, usukani, wala alama za barabarani. Haelewi anachokikosa kwa kutojua kuendesha gari.
2. Unajua Unachokikosa - Conscious Incompetence
Katika hatua hii, unaanza kuelewa udhaifu wako. Unatambua maeneo ambayo huna ujuzi nayo, na utambuzi huu unakuhamasisha kufanya jambo.Mfano: Katika hatua hii unajua kuwa unataka kuendesha gari. Labda umewaona madereva kazini, na kuvutiwa. Au kuna uhitaji wa kuwa na leseni ya udereva. Unafahamu vizuri unachokikosa kwa kutokuwa na ujuzi huu.
3. Unajua Unachokifanya, lakini bado Unahitaji Juhudi - Conscious Competence
Katika hatua hii, umeamua kujiunga na driving school. Ushaanza mafunzo thabiti. Unaweza kuwasiliana vizuri, lakini bado unahitaji umakini na kufikiria. Unapaswa kujenga ujuzi kwa kurudia rudia na kutafakari.Mfano: Umejiunga na driving school. Na mazoezi ya barabarani yameshaanza. Unaweza kuendesha, lakini bado unazingatia kila kona, kila gia, kila alama ya barabara na mabadiliko ya njiani. Vivyo hivyo, unapo wasiliana, unazingatia sauti yako, ishara, na maneno. Unazidi kuboresha, lakini lazima uendelee kuwa makini.
4. Unaweza Kufanya Bila Kufikiria - Unconscious Competence
Katika hatua hii ya mwisho, ujuzi wako unakuwa wa "pap". Kama dereva mzoefu ambaye anaweza kuendesha gari huku akichati na simu, uzoefu wako umekomaa. Unatenda bila kufikiria fikiria sana. Imekuwa sehemu ya "damu" yako.Mfano: Kama dereva, aidha una gari, au unaendeshaga mara kwa mara. Una uzoefu mzuri. Labda wa miezi au miaka kadhaa. Gia na klachi hazikuchanganyi tena.
****************************************************************************************************************
Uko Tayari Kukuza Ujuzi Wako
Naitwa Samedi Amba, na nina uzoefu wa miaka mingi katika uwanja wa mawasiliano, kuzungumza kwa ufasaha, na kujijenga vizuri kwa ajili ya kudaka fursa za kazi na maisha.Kama wewe ni mwanafunzi wa chuo unayeanza safari yako, au umefutwa kazi, au unataka kubadili kazi, au unataka kuboresha utendaji, niko hapa kusaidia kupata ujuzi wa kutumia mbinu za kidigitali kupiga hatua kitaaluma na kimaisha.
Nitumie ujumbe inbox, au niandikie kwenye WhatsApp/SMS kwa +255742308110. Nimepiga hatua kwa kufanyia mazoezi mambo fulani, na ningetaka kukusaidia pia. Tuijenge mustakabali wako pamoja!