Boring Business Idea!

Boring Business Idea!

Investaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2015
Posts
819
Reaction score
756
Habari mazee ,kitambo sijapost business ideas.

Leo nimekuja na wazo moja hivi naona linakuja linakata nikasema niforce kingi nilitoe hivyo hivyo tu, miezi kadha nyuma nilipata hamasa ya kutaka kujua zaidi biashara ya MAYAI YA KUCHEMSHA NA SOSEG ZA KUMCHEMSHA, nilitafuata wana wanaofanya hizo mambo nikawauliza maswali ili kujua how to make money on it, picha linaanza siku 9t naenda zangu kuzurura mtaa nikakutana na machalii wawili wanauza mayai ya kuchemsha wamebeba trei kama 4 iv, nikawastopisha road nikaanza kupiga nao stori .

Nikawauliza kwa siku hamna hamna wanauza trei ngapi, wakasema 3/4 pa dei 🙂 . Nikawauliza mayai wananunua wapi wakasema wao wanafanya kazi kwa mtu ila mayai wananunua kwa sh 5k kwa trei na wao wanauza yai 1 sh 400. Hawakuishia hapo wakasema wako vikazi 10 kwa boss wao, nikapiga hesabu za vidole nikajikuta nacheka mwenyewe, nikajisemea moyoni mjini njoo na akili vingine utavikuta.

Nikarudi mitaa ya home mida mibovu nikakutana na jamaa mmoja uwa namwita sheikh, nae anauza sosej kwa bike na kikabat , kwa siku anauza packet 2/3 za soseji zile za kenya. Nikamuuliza wateja uwa hawakuulizii mayai ya kuchemsha au chips kavu, akajibu uwa wanauliza , nikamuliza tena why uwapelekei. Hana majibu, nikamuuliza kwan hutaki kukua?

Miaka yote nakuona na bike na biashara yako haikui why? Hana majibu....

Nikaja ku conclude watz wengi wanafanya biashara kwa mazoea ndio maana hawakui, miaka nenda rudi yuko pale pale sasa nini maana ya biashara?

Nimekuja kugundua BORING BUSINESS NDIO ZENYE PESA KAMA UTAFANYA KWA UKUBWA

Mfano biashara ya mayai ya kumchemsha na soseg, unaweza ukaenda mbali zaidi kwa kutafuta bike ya umeme yenye hotpot inayohifadhi joto la mayai na soseg, bila kusahau chill au kama mtaalamu sana unaweza kutengeneza raha yako pendwa ambayo mteja akigusha lazima anase.

DAR watu wanapenda sana kula kula kama uta target shemeu yenye watu wengi mfano kkoo, makumbusho, mwenge, mbezi mwisho, segerea stand , mbagala rangi 3 n.k

Unaweza kwenda mbali zaidi ukamenya mayai na ukawa na tishu ya kushikia pale mteja anapohitaji, niliona pale Tandika jamaa ana bike ila kuongeza ubunifu kaweka jiko la mkaa ili mayai yawe na joto ambalo mteja hawezi kuruka. Nilipenda sana ubunifu wake...

Kama una mtaji mzuri unaweza ukanunua bike kutoka alibaba ambayo ni ya kisasa zaidi na user-friendly kwa biashara yako pendwa ya mayai ya kumchemsha na soseg, ukabuni na logo yako pendwa pamoja na rangi ya uniform ambayo inakutambulisha wewe kokote uwendapo. Upo?

1732019674877.png
1732019701575.png

Technologia inaenda kasi sana kama ukiweza kwenda nayo maisha kwako sio kitendawili tena, kuliko kuchoma mafuta unatafuta new business idea, wewe focus kwenye existing boring business na kuboresha zaidi kwa kutumia technologia ya kisasa.

Jifunza kwa APPLE, wao hawakuja na new business idea kwenye iPhone bali waliboresha kilichopo sokoni na kwa sasa ni kinara dunia kwenye upande wa simu na laptop. Nani hasiyependa iPhone na macbook air / macbook pro, bidhaa zao ni mzuri zenye ubora usiohitaji matangazo.

Unaweza ukiiga hiyo Philosophy kwa kuangalia boring business ambayo inahitaji uwekezaji wa kutosha ili kufanya mapinduzi zaidi na kuteka soko. DAR boring business zinalipa sana kama utakuwa na maono ya kufanya kwa ukubwa kwa kuboresha kilichopo.

Boring business ziko nyingi ambazo zinahitaji kuboresha kwendana na technologia ya kisasa , ila ili nimeona ni simple sana kufanya mapinduzi kwa7bu resources zake ni rahisi kupatikana na mtaji wake ni mdogo.

KAZI KWAKO KIJANA MWENYE HASIRA YA MAISHA...
 
View attachment 3156111View attachment 3156113

Hizo bike naweza kuipata kwa shilingi ngapi ?je inaweza kupanda mlima wa kiasi?
 
Yes kuingia front nikufanya kwa akili huku ukiusoma mchezo
Check hizi video za steve jobs akielezea iPhone 2007, hii ni baada ya kufanya research ya sim zilizopo sokoni. Kukurupuka kumefesha wengi sana kwenye biashara. Ukifanya research asilimia kubwa unaweza kufanikiwa kwenye biashara ambayo unataka kufanya koz unajua kiundan zaidi.
 
Attachments

  • hj3wogjR3a4MedMD.mp4
    2.5 MB
  • MjczzJtqIiqvk6Le.mp4
    934 KB
  • qR5wsmPGDX8rgtm2.mp4
    591.7 KB
  • KZkTaPKPquSVoUCm.mp4
    3.1 MB
Check hizi video za steve jobs akielezea iPhone 2007, hii ni baada ya kufanya research ya sim zilizopo sokoni. Kukurupuka kumefesha wengi sana kwenye biashara. Ukifanya research asilimia kubwa unaweza kufanikiwa kwenye biashara ambayo unataka kufanya koz unajua kiundan zaidi.
Umeleta hoja ushauriwe nimekupa ushauri kumbe tayari unamifano yako
All the best

NB: bongo sio ulaya
 
Habari mazee ,kitambo sijapost business ideas.

Leo nimekuja na wazo moja hivi naona linakuja linakata nikasema niforce kingi nilitoe hivyo hivyo tu, miezi kadha nyuma nilipata hamasa ya kutaka kujua zaidi biashara ya MAYAI YA KUCHEMSHA NA SOSEG ZA KUMCHEMSHA, nilitafuata wana wanaofanya hizo mambo nikawauliza maswali ili kujua how to make money on it, picha linaanza siku 9t naenda zangu kuzurura mtaa nikakutana na machalii wawili wanauza mayai ya kuchemsha wamebeba trei kama 4 iv, nikawastopisha road nikaanza kupiga nao stori .

Nikawauliza kwa siku hamna hamna wanauza trei ngapi, wakasema 3/4 pa dei 🙂 . Nikawauliza mayai wananunua wapi wakasema wao wanafanya kazi kwa mtu ila mayai wananunua kwa sh 5k kwa trei na wao wanauza yai 1 sh 400. Hawakuishia hapo wakasema wako vikazi 10 kwa boss wao, nikapiga hesabu za vidole nikajikuta nacheka mwenyewe, nikajisemea moyoni mjini njoo na akili vingine utavikuta.

Nikarudi mitaa ya home mida mibovu nikakutana na jamaa mmoja uwa namwita sheikh, nae anauza sosej kwa bike na kikabat , kwa siku anauza packet 2/3 za soseji zile za kenya. Nikamuuliza wateja uwa hawakuulizii mayai ya kuchemsha au chips kavu, akajibu uwa wanauliza , nikamuliza tena why uwapelekei. Hana majibu, nikamuuliza kwan hutaki kukua?

Miaka yote nakuona na bike na biashara yako haikui why? Hana majibu....

Nikaja ku conclude watz wengi wanafanya biashara kwa mazoea ndio maana hawakui, miaka nenda rudi yuko pale pale sasa nini maana ya biashara?

Nimekuja kugundua BORING BUSINESS NDIO ZENYE PESA KAMA UTAFANYA KWA UKUBWA

Mfano biashara ya mayai ya kumchemsha na soseg, unaweza ukaenda mbali zaidi kwa kutafuta bike ya umeme yenye hotpot inayohifadhi joto la mayai na soseg, bila kusahau chill au kama mtaalamu sana unaweza kutengeneza raha yako pendwa ambayo mteja akigusha lazima anase.

DAR watu wanapenda sana kula kula kama uta target shemeu yenye watu wengi mfano kkoo, makumbusho, mwenge, mbezi mwisho, segerea stand , mbagala rangi 3 n.k

Unaweza kwenda mbali zaidi ukamenya mayai na ukawa na tishu ya kushikia pale mteja anapohitaji, niliona pale Tandika jamaa ana bike ila kuongeza ubunifu kaweka jiko la mkaa ili mayai yawe na joto ambalo mteja hawezi kuruka. Nilipenda sana ubunifu wake...

Kama una mtaji mzuri unaweza ukanunua bike kutoka alibaba ambayo ni ya kisasa zaidi na user-friendly kwa biashara yako pendwa ya mayai ya kumchemsha na soseg, ukabuni na logo yako pendwa pamoja na rangi ya uniform ambayo inakutambulisha wewe kokote uwendapo. Upo?

View attachment 3156111View attachment 3156113

Technologia inaenda kasi sana kama ukiweza kwenda nayo maisha kwako sio kitendawili tena, kuliko kuchoma mafuta unatafuta new business idea, wewe focus kwenye existing boring business na kuboresha zaidi kwa kutumia technologia ya kisasa.

Jifunza kwa APPLE, wao hawakuja na new business idea kwenye iPhone bali waliboresha kilichopo sokoni na kwa sasa ni kinara dunia kwenye upande wa simu na laptop. Nani hasiyependa iPhone na macbook air / macbook pro, bidhaa zao ni mzuri zenye ubora usiohitaji matangazo.

Unaweza ukiiga hiyo Philosophy kwa kuangalia boring business ambayo inahitaji uwekezaji wa kutosha ili kufanya mapinduzi zaidi na kuteka soko. DAR boring business zinalipa sana kama utakuwa na maono ya kufanya kwa ukubwa kwa kuboresha kilichopo.

Boring business ziko nyingi ambazo zinahitaji kuboresha kwendana na technologia ya kisasa , ila ili nimeona ni simple sana kufanya mapinduzi kwa7bu resources zake ni rahisi kupatikana na mtaji wake ni mdogo.

KAZI KWAKO KIJANA MWENYE HASIRA YA MAISHA...
Hako ka baiskeliutaambiwa bei milioni tano. Wakati mtaji wako wa mayai ni laki moja tu.
.usione watu wana maisha magumu ukadhani ni ujinga.

Imagine Tanzania bilionea na Machinja wote wanauza Nguo za Mchina.

Kwa nini Bilionea afanane na kajamba nani asifungue viwanda.
 
$130
 
Umeleta hoja ushauriwe nimekupa ushauri kumbe tayari unamifano yako
All the best

NB: bongo sio ulaya
Uko negative sana vitu vikifanyika ulaya bongo haviwezekan?. Mbona njia ambayo una copy ni mbinu za kisoko walizofanya Apple. Kitaalam wanaita MARKET PENENTRATION.

Wacha nikupe mfano mwingine maybe unaweza ukaelewa, mathalan unataka kufungua forum kabla hujafanya maamuzi unachunguza forums zilizo bongo zina mapungufu gani then wewe uje na boresha.

Unakuwa na forum kama jamiiforums yenyewe inakuwa inawalipa watu wanaoandika makala za biashara, afya na mambo ya kilimo maybe. Itakapo kuwa online ni rahisi sana watu kuhama kwenda kwenye pesa koz hakuna forums bongo inayolipa watu wanao andika makala.

APPLE ni case study nzuri sana kama unataka kuteka soko la biashara husika ambayo tayari ipo sokoni.

Nikupe tena mfano mwingine, NETFLIX: walikuwa wanakodisha cd kama iliyo bongo uku, na ulaya kulikuwa na makampuni mengi wanafanya hivyo. Hii njia ilikuwa inalete gharama sana kwa wapenda movie, nakumbuka ata mm nilikuwa napenda kuangalia movie especially series nilikuwa natoboka sana ad uje kumaliza iyo movie(PRISON BREAK/LOST). NETFLIX ndio ilikuwa kampuni ya kwanza kuingia kwenye mfumo wa digital content or subscription business model (PAY LESS GET MORE) ni strategy ambayo NTEFLIX walikuja nao na kuteka soko la movie dunian, makampuni kibao yalifel kwa hii njia ya kisoko(MARKET PENETRATION).

Mifano iko shazi ambayo ata wewe unaweza ukaitumia na kuteka soko husika ambalo liko tayari.

Unawaze kusema hii njia bongo haiwezekani?

Wazungu wanasema "NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK".
 
Hako ka baiskeliutaambiwa bei milioni tano. Wakati mtaji wako wa mayai ni laki moja tu.
.usione watu wana maisha magumu ukadhani ni ujinga.

Imagine Tanzania bilionea na Machinja wote wanauza Nguo za Mchina.

Kwa nini Bilionea afanane na kajamba nani asifungue viwanda.
hahahaha,milioni 5
 
Raha ya ngoma uingie kucheza kiukweli sijawahi kuamini kufanya tafiti zenu hizo za kwenye makaratasi
Hawa wakulima wa kwenye karatasi, wanaweza wakakujaza upepo, ukauona utajiri huu,....ingia sasa😂🙌🙌
 
Biashara bhana ina vitu flan hivi ambavyo uliyepo nje huvioni....
Hahahaha,umenikumbusha mbali sana.
Nakumbuka kuna mwaka fulani hivi nilipata idea ya biashara ya kuuza viazi mviringo kwa jumla.
Sasa nikafanya research yangu nikaipata location moja hivi kulikuwa na idadi kadhaa ya wauza chipsi so nikasema hapa nikifungua store yangu ya viazi nitawanasa maisha yatakuwa mserereko tu.
Basi bwana nikakodi fremu nikaanza na magunia mawili ya viazi kisha nikamtuma jamaa yangu fulani ambaye yeye ni mwenyeji aende kuwatangazia kuwa sasa huduma ya viazi tumewasogezea karibu wasipate tabu kwenda kuvinunua mbali.
Basi nikashangaa siku zinaenda wateja siwaoni kuja kununua wiki ilikatika viazi vikaanza kuharibika ikawa kila siku tunachambua vibovu tunavitupa nikawa tu nauza viazi vya bukubuku kwa wamama wanaokwenda kupikia mboga ila wale wauza chipsi niliowatarget sikumpata hata mmoja so nilipata hasara tupu mtaji ukateketea.
So kwa mtu ambaye hajawahi kufanya biashara hawezi kujua haya mambo anarahisisha tu kwa hesabu za kwenye makaratasi.
 
Back
Top Bottom