Investaa
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 819
- 756
Habari mazee ,kitambo sijapost business ideas.
Leo nimekuja na wazo moja hivi naona linakuja linakata nikasema niforce kingi nilitoe hivyo hivyo tu, miezi kadha nyuma nilipata hamasa ya kutaka kujua zaidi biashara ya MAYAI YA KUCHEMSHA NA SOSEG ZA KUMCHEMSHA, nilitafuata wana wanaofanya hizo mambo nikawauliza maswali ili kujua how to make money on it, picha linaanza siku 9t naenda zangu kuzurura mtaa nikakutana na machalii wawili wanauza mayai ya kuchemsha wamebeba trei kama 4 iv, nikawastopisha road nikaanza kupiga nao stori .
Nikawauliza kwa siku hamna hamna wanauza trei ngapi, wakasema 3/4 pa dei 🙂 . Nikawauliza mayai wananunua wapi wakasema wao wanafanya kazi kwa mtu ila mayai wananunua kwa sh 5k kwa trei na wao wanauza yai 1 sh 400. Hawakuishia hapo wakasema wako vikazi 10 kwa boss wao, nikapiga hesabu za vidole nikajikuta nacheka mwenyewe, nikajisemea moyoni mjini njoo na akili vingine utavikuta.
Nikarudi mitaa ya home mida mibovu nikakutana na jamaa mmoja uwa namwita sheikh, nae anauza sosej kwa bike na kikabat , kwa siku anauza packet 2/3 za soseji zile za kenya. Nikamuuliza wateja uwa hawakuulizii mayai ya kuchemsha au chips kavu, akajibu uwa wanauliza , nikamuliza tena why uwapelekei. Hana majibu, nikamuuliza kwan hutaki kukua?
Miaka yote nakuona na bike na biashara yako haikui why? Hana majibu....
Nikaja ku conclude watz wengi wanafanya biashara kwa mazoea ndio maana hawakui, miaka nenda rudi yuko pale pale sasa nini maana ya biashara?
Nimekuja kugundua BORING BUSINESS NDIO ZENYE PESA KAMA UTAFANYA KWA UKUBWA
Mfano biashara ya mayai ya kumchemsha na soseg, unaweza ukaenda mbali zaidi kwa kutafuta bike ya umeme yenye hotpot inayohifadhi joto la mayai na soseg, bila kusahau chill au kama mtaalamu sana unaweza kutengeneza raha yako pendwa ambayo mteja akigusha lazima anase.
DAR watu wanapenda sana kula kula kama uta target shemeu yenye watu wengi mfano kkoo, makumbusho, mwenge, mbezi mwisho, segerea stand , mbagala rangi 3 n.k
Unaweza kwenda mbali zaidi ukamenya mayai na ukawa na tishu ya kushikia pale mteja anapohitaji, niliona pale Tandika jamaa ana bike ila kuongeza ubunifu kaweka jiko la mkaa ili mayai yawe na joto ambalo mteja hawezi kuruka. Nilipenda sana ubunifu wake...
Kama una mtaji mzuri unaweza ukanunua bike kutoka alibaba ambayo ni ya kisasa zaidi na user-friendly kwa biashara yako pendwa ya mayai ya kumchemsha na soseg, ukabuni na logo yako pendwa pamoja na rangi ya uniform ambayo inakutambulisha wewe kokote uwendapo. Upo?
Technologia inaenda kasi sana kama ukiweza kwenda nayo maisha kwako sio kitendawili tena, kuliko kuchoma mafuta unatafuta new business idea, wewe focus kwenye existing boring business na kuboresha zaidi kwa kutumia technologia ya kisasa.
Jifunza kwa APPLE, wao hawakuja na new business idea kwenye iPhone bali waliboresha kilichopo sokoni na kwa sasa ni kinara dunia kwenye upande wa simu na laptop. Nani hasiyependa iPhone na macbook air / macbook pro, bidhaa zao ni mzuri zenye ubora usiohitaji matangazo.
Unaweza ukiiga hiyo Philosophy kwa kuangalia boring business ambayo inahitaji uwekezaji wa kutosha ili kufanya mapinduzi zaidi na kuteka soko. DAR boring business zinalipa sana kama utakuwa na maono ya kufanya kwa ukubwa kwa kuboresha kilichopo.
Boring business ziko nyingi ambazo zinahitaji kuboresha kwendana na technologia ya kisasa , ila ili nimeona ni simple sana kufanya mapinduzi kwa7bu resources zake ni rahisi kupatikana na mtaji wake ni mdogo.
KAZI KWAKO KIJANA MWENYE HASIRA YA MAISHA...