Boring businesses zina pesa nyingi sana

Hiyo ya kununua vyuma chakavu sikushauri. Itaishia kuchapwa viboko na Mwenezi wa CCM. Maana wateja wako wengi ni wezi
 
Chai
 
Hizo zote cha mtoto biashara yenye faida chap ni hii ninayo fanya mimi ya kuuza majeneza, vifaa vya mazishi, huduma ya kuzika, kukarabati makaburi na pia soon tunaanza ujenzi wa eneo la makaburi ya kisasa ya kulipia
Ni biashara nzuri ila ni ngumu kiroho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…