Born to love you Heaven Sent

Born to love you Heaven Sent

Hmmm.... Hii pasaka jamani imegeuka kama Ramadhan. Maana Ramadhan ikikaribia ndoa zinakuwa nyingi.. Watu wanataka kupikiwa futari .... Naona pasaka nayo Inataka kugeuka msimu wa wapendanao. Jamani ni pasaka sio Valentine ....tunatowa zuio la muda... We are not yet done with Mahondaw and Smart 11.please hold on UrbanGentleman.
Cc: mahondaw
 
Aah utapata tunafanyia dar es salaam serena hotel reception... Jumamos itakua 22nd kanisa ni st peter. Kama uko serious nikupe
Sitaki kuamini kama mimi mtu wako wa karibu nimesahaulika hivi.
Wewe haya bwana,usijenipa lawama ikifika zamu yangu [emoji4]
 
Hahahahaha lol! Labda katonywa mahali kwamba weye ni mkaangizaji mzuri sana wa futari na mahanjumati pia 🙂🙂
Kwema mkuu,kwa mbaaali nakuona kama umejawa na kawivu.
 
Back
Top Bottom