Born to love you Heaven Sent

Born to love you Heaven Sent

Huu mchezo wa mubashara ni kama dawa siku hizi. Nami ngoja nimtafute mtu wa kumfungukia pia.
 
Dah wenye wapenzi wao sasa hivi wanatutia wivu sana kila siku lazima waanzishe uzi.

Kila la kheri ila mnanipa wivu wa Chinichini
 
Back
Top Bottom