Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Nimepumzika movie, sikuoni siku hizi.Ndugu yangu kitambo
Huku baridi limeanza hamna hata raha ya kukaa nje ya blanket
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimepumzika movie, sikuoni siku hizi.Ndugu yangu kitambo
Nakula sana mitaa humu sijakubahatisha kitambo sana...Nimepumzika movie, sikuoni siku hizi.
Huku baridi limeanza hamna hata raha ya kukaa nje ya blanket
😁😁 hawapendi kuona tunaumizwaHaha uko sahihi. Kwa mtoto mzuri akiwaita ni mapema tu Washafika wote
Ballspielverein Borussia 09 e. V. Dortmund, commonly known as Borussia Dortmund [boˈʁʊsi̯aː ˈdɔɐ̯tmʊnt],[2] BVB,
Borussia Dortmund iliasisiwa 1909 na kabla kuanzishwa Bundesliga 1963 ilikwishatawazwa mabingwa mara si chini ya mara 3.
Full name Ballspielverein Borussia 09 e. V. Dortmund Nickname(s) Die Borussen
Die Schwarzgelben (The Black and Yellows)
Der BVB (The BVB)Short name BVB Founded 19 December 1909; 111 years ago Ground Westfalenstadion Capacity 81,365[1] President Reinhard Rauball Chairman Hans-Joachim Watzke (CEO) Head coach Marco Rose League Bundesliga 2020–21 Bundesliga, 3rd of 18 Website Club website
Borussia Dortmund ingawa iliasisiwa tayari 1909 ni baada ya vita vya pili vya dunia vilivyoishia 1945,ndipo klabu hii ilipoanza kutamba.Pale ilipoundwa Bundesliga-Ligi ya leo ya Ujerumani hapo 1963,Borussia Dortmund ilikwishatawazwa mabingwa wa ujerumani mara 3.
1965 Dortmund ilishinda kombe la shirikisho la dimba la Ujerumani na ikakata tiketi ya kuania kombe la washindi la ulaya.Dortmund ikatia for a hadi finali hapo mei 1966 mjini Glasgfow dhidi ya Fc Liverpool ya Uingereza.Baada ya dakika 90 timu hizo 2 zilisimama suluhu bao 1:1.
Misukosuko ya Dortmund ilifikia kilele chake 1972 pale iliangukia daraja ya 3 ya kimkoa.1976,Borussia Dortmund ilirudi kuwa timu ya wastani katika Bundesliga. Mwishoni mwa msimu wa 1978 mahasimu 2-FC Cologne na Borussia Mönchengladbach zilikuwa kileleni hadi mechi ya mwisho ziokiania taji la ubimngwa.
Ili itawazwe bingwa na kuipiku FC Cologne,kwenye mechi ya mwisho, Borussia Mönchengladbach ilihitaji kuilaza B.Dortmund kwa mabao mengi sana.Hasimu wa Borussia Mönchengladbach, katika mpambano huo wa mwisho wa Ligi akawa B.Dortmund.Dortmund ikamuweka kijana chipukizi kulinda au kuliacha wazi lango lake.Kipa huyo chipukizi aliitwa Peter Endrulat.
Borussia Dortmund ilifufuka baada ya kunyakuwa ushindi wa kombe la shirikisho la dimba la Ujerumani 1989 ilipoilaza Werder Bremen.Miaka iliofuatia hapo ndio ya mafanikio makubwsa katika historia ya klabu hii.1995 na 1996 B.Dortmund ilitawazwa kwa mara ya 4 na ya 5 mabingwa wa Ujerumani.
Katika msimu wa 1996/97 ulikua msimu tena wa kutamba katika champions League-kombe la klabu bingwa barani ulaya.Dortmund ilipambana na Juventus Turin katika finali na ikiongoza kwa mabao 2:1 katika uwanja wa Olimpik wa Munich
Haha nipo,, nitausaka ule uzi nije kuangalia movie mpya.Nakula sana mitaa humu sijakubahatisha kitambo sana...
Nimefurahi kukuona...
Baridi inakujaje wakati nasikia makonda anawapa joto 😃😃😃
Ni shwaaaa, kufumba na kufumbuaWanawapenda sana ila sisi tukizingua dakika mbili nyingi unaona mapicha mapicha
Sawaa utamkuta Vincenzo Jr mtaalamu wa hizi kazi za movie mpyaHaha nipo,, nitausaka ule uzi nije kuangalia movie mpya.
Sahii nilikuwa nacheck check FF.
Makonda me akitaka anifurahishe azibe mashimo kwenye lami. Kuna vipande jau sana…
Dah afu kitambo sana sijamuona huyu mtoto mkali kwenye ule Uzi wetu wa seriesSawaa utamkuta Vincenzo Jr mtaalamu wa hizi kazi za movie mpya
Barabara nzuri ni ya moshi tuu last time nimekuja niliona hilo
Nitakuja.Sawaa utamkuta Vincenzo Jr mtaalamu wa hizi kazi za movie mpya
Barabara nzuri ni ya moshi tuu last time nimekuja niliona hilo
Bel air wamegoma kutoa S3Dah afu kitambo sana sijamuona huyu mtoto mkali kwenye ule Uzi wetu wa series
Mbona ipo hiyo imetoka tayari😂😁Bel air wamegoma kutoa S3
Muongo 😂😂😂Mbona ipo hiyo imetoka tayari😂😁
😁😂😁😁😁Njoo kule kwenye Uzi wa series uchague seriesMuongo 😂😂😂
4 days ago nmecheck hamna kitu.View attachment 3006412
Kule kwa wazito Mkuu😂Nitakuja.
Hata East Africa roads zote kali.. afu hamna 50kph nyingi 😁😁
Kuna vipande lami haifai, au mpk wasikie imeua hiace nzima.