Bosi alinisimamisha kazi bila sababu yoyote. Leo anamwambia mwenye kampuni kwamba nina matatizo ya kifamilia

Pole
 
ushangae kuwepo kwako kunazuia wasipge michongo
 
Akuanzae usimche akuanze

Utabambikwa kesi ,Hebu malizana nae mapema make meza moja
 
Hilo boss lipumbavu!
 
Niliwahi kufanyiwa ujinga kama huo hospital fulani kubwa miaka ya 2018...mkataba ulivyoisha FC akabana ili nafasi apewe dem wake..MD alikua Mkenya _baada ya miezi 4 kupita Kuna report ilitakiwa Kenya yule MD akasema nipewe mimi ndio niifanye coz anajua mimi ndio competent kwenye angle hiyo...wacha yule Fc atoe macho eti ooh jamaa alipata kazi ingine akakasepa..!..washkaji wamwambia MD ukweli....kwanza dem wake akatimuliwa na yeye baada ya mkataba kuisha kapigwa chini.
Wachagga ni wanafki sana.
 
fitnaaaa isee pole sana hapo alitakiwa kupachikwa mtu.. sasa wewe unamtu giant yupo nyuma yako image maelfu ya vijana ambao hawana watu na wanafanyiwa mambo kama uliyofanyiwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…