Bosi alinisimamisha kazi bila sababu yoyote. Leo anamwambia mwenye kampuni kwamba nina matatizo ya kifamilia

Huyu boss nahisi Ana mapepo wachafu. Issue ilikiwa hivi, tarehe 19 aliniita ofisini kwake, akasema anataka tufanye mahesabu ya madai yangu yote.

Tulipomaliza kufanya mahesabu, akanipa mshahara wangu Na kuniambia akinihitaji ataniita.

Kwa kuwa nililetwa hapo na mwenye kampuni, naye alikuwa ameniajiri Na kunikabidhi kwa HR ili waniandalie mkataba.

Ni zaidi ya miezi sita sasa, HR hawajanipa mkataba wangu, wanasingizia hadi aje owner ambaye muda mwingi yuko kwao Sweden.

Basi nilipopewa mazaga yangu nikarudi home kukaa, juzi nikaona nimjulishe owner kwamba nimeondolewa kazini bila sababu yoyote.

Leo owner kampigia simu boss kumuuliza kwanini kaniondoa?/boss akajibu eti Mimi Nina matatizo ya kifamilia tena makubwa ila uakipungua atanirudisha.

Owner aliponieleza hayo nikashangaa sana kwani Mimi familia yangu ina amani sana.

Owner kuniambia kwamba nimjulishe boss kwamba nimesha maliza Matatizo jumatatu Niko tayari kwa kazi.

boss kamaindi sana.
Kakasirika haswa. Ila atafanyeje?
Pole
 
Huyu boss nahisi ana pepo wachafu. Issue ilikiwa hivi, tarehe 19 aliniita ofisini kwake, akasema anataka tufanye mahesabu ya madai yangu yote.

Tulipomaliza kufanya mahesabu, akanipa mshahara wangu na kuniambia akinihitaji ataniita. Kwa kuwa nililetwa hapo na mwenye kampuni, naye alikuwa ameniajiri na kunikabidhi kwa HR ili waniandalie mkataba.

Ni zaidi ya miezi sita sasa, HR hawajanipa mkataba wangu, wanasingizia hadi aje owner ambaye muda mwingi yuko kwao Sweden.

Basi nilipopewa mazaga yangu nikarudi home kukaa, juzi nikaona nimjulishe owner kwamba nimeondolewa kazini bila sababu yoyote.

Leo owner kampigia simu boss kumuuliza kwanini kaniondoa?/boss akajibu eti mimi nina matatizo ya kifamilia tena makubwa ila uakipungua atanirudisha.

Owner aliponieleza hayo nikashangaa sana kwani mimi familia yangu ina amani sana.

Owner kuniambia kwamba nimjulishe boss kwamba nimesha maliza mtatizo jumatatu nipo tayari kwa kazi.

boss kamaindi sana.
Kakasirika haswa ila atafanyeje!
ushangae kuwepo kwako kunazuia wasipge michongo
 
Akuanzae usimche akuanze

Utabambikwa kesi ,Hebu malizana nae mapema make meza moja
 
Hilo boss lipumbavu!
 
Niliwahi kufanyiwa ujinga kama huo hospital fulani kubwa miaka ya 2018...mkataba ulivyoisha FC akabana ili nafasi apewe dem wake..MD alikua Mkenya _baada ya miezi 4 kupita Kuna report ilitakiwa Kenya yule MD akasema nipewe mimi ndio niifanye coz anajua mimi ndio competent kwenye angle hiyo...wacha yule Fc atoe macho eti ooh jamaa alipata kazi ingine akakasepa..!..washkaji wamwambia MD ukweli....kwanza dem wake akatimuliwa na yeye baada ya mkataba kuisha kapigwa chini.
Wachagga ni wanafki sana.
 
Huyu boss nahisi ana pepo wachafu. Issue ilikiwa hivi, tarehe 19 aliniita ofisini kwake, akasema anataka tufanye mahesabu ya madai yangu yote.

Tulipomaliza kufanya mahesabu, akanipa mshahara wangu na kuniambia akinihitaji ataniita. Kwa kuwa nililetwa hapo na mwenye kampuni, naye alikuwa ameniajiri na kunikabidhi kwa HR ili waniandalie mkataba.

Ni zaidi ya miezi sita sasa, HR hawajanipa mkataba wangu, wanasingizia hadi aje owner ambaye muda mwingi yuko kwao Sweden.

Basi nilipopewa mazaga yangu nikarudi home kukaa, juzi nikaona nimjulishe owner kwamba nimeondolewa kazini bila sababu yoyote.

Leo owner kampigia simu boss kumuuliza kwanini kaniondoa?/boss akajibu eti mimi nina matatizo ya kifamilia tena makubwa ila uakipungua atanirudisha.

Owner aliponieleza hayo nikashangaa sana kwani mimi familia yangu ina amani sana.

Owner kuniambia kwamba nimjulishe boss kwamba nimesha maliza mtatizo jumatatu nipo tayari kwa kazi.

boss kamaindi sana.
Kakasirika haswa ila atafanyeje!
fitnaaaa isee pole sana hapo alitakiwa kupachikwa mtu.. sasa wewe unamtu giant yupo nyuma yako image maelfu ya vijana ambao hawana watu na wanafanyiwa mambo kama uliyofanyiwa..
 
Back
Top Bottom