Roca fella
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 2,077
- 4,152
Namba moja, yaani limewadhalilisha wazazi wake Na walimu wake kwa kuwa shenzi la mwishoHilo boss lipumbavu!
Kubet? Lost generation will only go for itAnza kubeti upate mtaji wa kujiajiri achana na kampuni za watu. ππππ
Alipandishe cheo alifanye msukule, liwe linamwingizia maokotoMake sure ukirudi unamtoa roho... Usiogope kutoa roho ya mtu mnafki mzandiki mfitini sio dhambi... Kill him in a secret way...
Nina matatizo gani ya kifamilia?Matatizo.ya kifamilia nayo yakizidi mtu kufukuzwa kazi ruksa
Huyo mzungu naye analea ujinga ingekuwa mimi ndiye huyo mzungu ningekuambia tu malizana nao huko huko niliowaacha nawaamini walilloamua ndio hilo hilo
ThanksRudi ofisini ask kufanya naye meeting then settle naye kama kuna conflict yeyote kati yenu then keep working
Alikutaka kingono?Huyu boss nahisi ana pepo wachafu. Issue ilikiwa hivi, tarehe 19 aliniita ofisini kwake, akasema anataka tufanye mahesabu ya madai yangu yote.
Tulipomaliza kufanya mahesabu, akanipa mshahara wangu na kuniambia akinihitaji ataniita. Kwa kuwa nililetwa hapo na mwenye kampuni, naye alikuwa ameniajiri na kunikabidhi kwa HR ili waniandalie mkataba.
Ni zaidi ya miezi sita sasa, HR hawajanipa mkataba wangu, wanasingizia hadi aje owner ambaye muda mwingi yuko kwao Sweden.
Basi nilipopewa mazaga yangu nikarudi home kukaa, juzi nikaona nimjulishe owner kwamba nimeondolewa kazini bila sababu yoyote.
Leo owner kampigia simu boss kumuuliza kwanini kaniondoa?/boss akajibu eti mimi nina matatizo ya kifamilia tena makubwa ila uakipungua atanirudisha.
Owner aliponieleza hayo nikashangaa sana kwani mimi familia yangu ina amani sana.
Owner kuniambia kwamba nimjulishe boss kwamba nimesha maliza mtatizo jumatatu nipo tayari kwa kazi.
boss kamaindi sana.
Kakasirika haswa ila atafanyeje!
Hajawahi kuwa straight, weekend ndio huwa anauliza hii weekend vipi? Sasa hapo nitasema nimetakwa?Alikutaka kingono?
Yes, umetakwa. Weekend yako inamuhusu nini kama hataki muwe pamoja.Hajawahi kuwa straight, weekend ndio huwa anauliza hii weekend vipi? Sasa hapo nitasema nimetakwa?
Umeajiriwa kufanya kazi ,fanya kaziNina matatizo gani ya kifamilia?
Rudi shuleni ujifunze herufi mbalimbali.Lucas Mwashambwa ni nduguyo?
Cha muhimu umeelewa hisia zake. Wewe ulitaka akutongoze vipi au mpaka akudanganye atakuoa?Hata kutongoza mwenyewe hajui, kila weekend anauliza sasa weekend inakuwaje?
midemu kamahii ofisini naifanyiaga figisu iondoke.[emoji23] eeh mbona povu
Hajui kua wwe tayari ulishampaa owner wa kampuni na ndiyo maana uko safe na ajira yako! Mwambie ukweli asicheze na vyombo vya Boss wake,atakuja poteza kazi!!Hata kutongoza mwenyewe hajui, kila weekend anauliza sasa weekend inakuwaje?
PoleHuyu boss nahisi ana pepo wachafu. Issue ilikiwa hivi, tarehe 19 aliniita ofisini kwake, akasema anataka tufanye mahesabu ya madai yangu yote.
Tulipomaliza kufanya mahesabu, akanipa mshahara wangu na kuniambia akinihitaji ataniita. Kwa kuwa nililetwa hapo na mwenye kampuni, naye alikuwa ameniajiri na kunikabidhi kwa HR ili waniandalie mkataba.
Ni zaidi ya miezi sita sasa, HR hawajanipa mkataba wangu, wanasingizia hadi aje owner ambaye muda mwingi yuko kwao Sweden.
Basi nilipopewa mazaga yangu nikarudi home kukaa, juzi nikaona nimjulishe owner kwamba nimeondolewa kazini bila sababu yoyote.
Leo owner kampigia simu boss kumuuliza kwanini kaniondoa?/boss akajibu eti mimi nina matatizo ya kifamilia tena makubwa ila uakipungua atanirudisha.
Owner aliponieleza hayo nikashangaa sana kwani mimi familia yangu ina amani sana.
Owner kuniambia kwamba nimjulishe boss kwamba nimesha maliza mtatizo jumatatu nipo tayari kwa kazi.
boss kamaindi sana.
Kakasirika haswa ila atafanyeje!
Owner ndiyo Mmiliki! Nimewaza kijasusi lakini,sasa Boss anataka kucheza na mali ya Owner!!Mpongeze sasa owner amege kidogo
Owner ndiyo Mmiliki! Nimewaza kijasusi lakini,sasa Boss anataka kucheza na mali ya Owner!!Mpongeze sasa owner amege kidogo
Nafikiri walitaka kuweka mtu wao.Rangi nyeusi ina laana hii.