Bosi alinisimamisha kazi bila sababu yoyote. Leo anamwambia mwenye kampuni kwamba nina matatizo ya kifamilia

Bosi alinisimamisha kazi bila sababu yoyote. Leo anamwambia mwenye kampuni kwamba nina matatizo ya kifamilia

Anza kubeti upate mtaji wa kujiajiri achana na kampuni za watu. ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Matatizo.ya kifamilia nayo yakizidi mtu kufukuzwa kazi ruksa

Huyo mzungu naye analea ujinga ingekuwa mimi ndiye huyo mzungu ningekuambia tu malizana nao huko huko niliowaacha nawaamini walilloamua ndio hilo hilo
Nina matatizo gani ya kifamilia?
 
Huyu boss nahisi ana pepo wachafu. Issue ilikiwa hivi, tarehe 19 aliniita ofisini kwake, akasema anataka tufanye mahesabu ya madai yangu yote.

Tulipomaliza kufanya mahesabu, akanipa mshahara wangu na kuniambia akinihitaji ataniita. Kwa kuwa nililetwa hapo na mwenye kampuni, naye alikuwa ameniajiri na kunikabidhi kwa HR ili waniandalie mkataba.

Ni zaidi ya miezi sita sasa, HR hawajanipa mkataba wangu, wanasingizia hadi aje owner ambaye muda mwingi yuko kwao Sweden.

Basi nilipopewa mazaga yangu nikarudi home kukaa, juzi nikaona nimjulishe owner kwamba nimeondolewa kazini bila sababu yoyote.

Leo owner kampigia simu boss kumuuliza kwanini kaniondoa?/boss akajibu eti mimi nina matatizo ya kifamilia tena makubwa ila uakipungua atanirudisha.

Owner aliponieleza hayo nikashangaa sana kwani mimi familia yangu ina amani sana.

Owner kuniambia kwamba nimjulishe boss kwamba nimesha maliza mtatizo jumatatu nipo tayari kwa kazi.

boss kamaindi sana.
Kakasirika haswa ila atafanyeje!
Alikutaka kingono?
 
Hajawahi kuwa straight, weekend ndio huwa anauliza hii weekend vipi? Sasa hapo nitasema nimetakwa?
Yes, umetakwa. Weekend yako inamuhusu nini kama hataki muwe pamoja.

Si wote wanaoweza kusema straight, kila mmoja na uongeaji wake.

Wanaosema straight ni wale wqa koo za simba, na wa koo za simba wanajuwana wakionana tu. Wana ishara zao za asili na mangezi yao ya asili ambayo kama sio wa koo za simba hutoelewa kilichokusudiwa.

Uzuri wa koo za simba akishajua wewe sio katika koo za simba anakua hana interest tena na wewe, iwe mwanamke au mwanamme. laini haifikii kukufukuza kazi labda uwe ni wa koo za adui wa koo za simba.
 
Hata kutongoza mwenyewe hajui, kila weekend anauliza sasa weekend inakuwaje?
Hajui kua wwe tayari ulishampaa owner wa kampuni na ndiyo maana uko safe na ajira yako! Mwambie ukweli asicheze na vyombo vya Boss wake,atakuja poteza kazi!!
 
Huyu boss nahisi ana pepo wachafu. Issue ilikiwa hivi, tarehe 19 aliniita ofisini kwake, akasema anataka tufanye mahesabu ya madai yangu yote.

Tulipomaliza kufanya mahesabu, akanipa mshahara wangu na kuniambia akinihitaji ataniita. Kwa kuwa nililetwa hapo na mwenye kampuni, naye alikuwa ameniajiri na kunikabidhi kwa HR ili waniandalie mkataba.

Ni zaidi ya miezi sita sasa, HR hawajanipa mkataba wangu, wanasingizia hadi aje owner ambaye muda mwingi yuko kwao Sweden.

Basi nilipopewa mazaga yangu nikarudi home kukaa, juzi nikaona nimjulishe owner kwamba nimeondolewa kazini bila sababu yoyote.

Leo owner kampigia simu boss kumuuliza kwanini kaniondoa?/boss akajibu eti mimi nina matatizo ya kifamilia tena makubwa ila uakipungua atanirudisha.

Owner aliponieleza hayo nikashangaa sana kwani mimi familia yangu ina amani sana.

Owner kuniambia kwamba nimjulishe boss kwamba nimesha maliza mtatizo jumatatu nipo tayari kwa kazi.

boss kamaindi sana.
Kakasirika haswa ila atafanyeje!
Pole
 
Bongo noma. Tuambie kama boss aliwahi kuomba k. Ili tusisumbuke kutafuta sababu
 
Rangi nyeusi ina laana hii.
Nafikiri walitaka kuweka mtu wao.

Mwanzoni nilikuwa siamini kama kuna watu wa aina hii kwenye jamii. Sasa naamini licha ya kusoma hapa, nimeshuhudia vituko mahala mahala, watu wengine ni wajinga sana
 
Back
Top Bottom