Bosi anatembea na Mke wangu

HahahaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ umenikumbusha ngoma moja ya ferooz inaitwa mkasa wa boss ,any way kama anachukua mke wako fanya juhudi zote na wewe uchukue mke wake.
 
Siku zote kitu cha mwenzako kinakuwa kizuri kuliko chako au kisicho na mmiliki
 
Dj, Dj,Dj....

Mlete mleta mada na Nyimbo ya Ferooz-mkasa wa Boss.

Ila usipige zile chikichiki maana anasema anataka aisikilize kwa umakini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hili isiyo ya kawaida nimebaini Bosi wangu anatembea na mke wangu .
Bosi amekuwa akinipa safari za kikazi mara kwa mara mikoani kumbe anaitumia hii nafasi kutembea na mke wangu.
Ukiendelea kuwa Zoba hivi kuna Siku ataomba pia Kutembea na Wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…