pachachiza
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 1,863
- 2,757
Ukichunguza wote Mabachela mule wanakulana tumawinguni wamejaa wahuni watupu
Wtaacha wakt kuna ulajiKama unajua nimaisha yake binafsi, na tatizo lako ni kwa dada zako, sema na dada zako waache kumshobokea.
Many = mengiMbona yule Boss Many ndio kwanza kavuta kitu kibichi...kuna dhambi gani Msela akasubiri muda muafaka naye akavuta jiko lake? mbona bado mapema tu?
Alafu hakunaga kitu kinaitwa "kuchezea"....hao ni binadamu wenye akili zao timamu sio Wanasesere, sasa wanachezewa vipi?...nao huingia shambani kuvuna wakiwa na akili zao timamu ati...ni win win situation.
Zamaradi mketemaNimengamua binti embe=binti mango
Huyo mstimu ndio nan mmeniacha ununio....
.
.
Anyway Acha boss akamatie fursa wao si wanapenda vya kuelea....