Bosi huyu ataoa lini umri unaenda?

Bosi huyu ataoa lini umri unaenda?

Nimengamua binti embe=binti mango
Huyo mstimu ndio nan mmeniacha ununio....
.
.
Anyway Acha boss akamatie fursa wao si wanapenda vya kuelea....
 
...wivu tu sababu hagongi mapungazeze;
..unatamani uolewe wewe,
.choko mchokozi!
 
Mbona yule Boss Many ndio kwanza kavuta kitu kibichi...kuna dhambi gani Msela akasubiri muda muafaka naye akavuta jiko lake? mbona bado mapema tu?

Alafu hakunaga kitu kinaitwa "kuchezea"....hao ni binadamu wenye akili zao timamu sio Wanasesere, sasa wanachezewa vipi?...nao huingia shambani kuvuna wakiwa na akili zao timamu ati...ni win win situation.
Many = mengi
 
Ishi maisha yako

Mwache yeye aishi maisha aliyoamua kuishi ilimradi hakuingilii wewe kwenye maisha yako.

Usitake kumpangia ama kumfanyia maamuzi mtu mzima mwenye akili zake.

Hiyo ni very simple principle of life.

wazungu huwa wanasema......'Mind your own business'
 
Back
Top Bottom