Bosi huyu ataoa lini umri unaenda?

Bosi huyu ataoa lini umri unaenda?

Mara nyingi vijana wengi huiga mifano mizuri ya mabosi wao. Bosi huyu sasa ana umri wa miaka 47 licha ya kuonekana kama mti mkavu.

Katika umri huo hana mpango wa kuoa bali ku hang out na mabinti tofauti. Alianza kula wafanyakazi wake kama bint Embe, bint aliamini angefunga ndoa na bosi huyo kabla ya kumfukuza kazi pamoja na kijana makatuni.

Bosi huyo kaendelea kuchafua kwa kumzalisha mtumishi wake bint Mstimu watoto wawili.

My take: Najua kuwa ni maisha yake binafsi lakini unatuumiza unapowazini Dada zetu na kuwatupa, umempotezea muda sana bint Embe.
Rugemalira Wakuhaba ebye hatari hapo ndani ya Mawingu media
 
Mara nyingi vijana wengi huiga mifano mizuri ya mabosi wao. Bosi huyu sasa ana umri wa miaka 47 licha ya kuonekana kama mti mkavu.

Katika umri huo hana mpango wa kuoa bali ku hang out na mabinti tofauti. Alianza kula wafanyakazi wake kama bint Embe, bint aliamini angefunga ndoa na bosi huyo kabla ya kumfukuza kazi pamoja na kijana makatuni.

Bosi huyo kaendelea kuchafua kwa kumzalisha mtumishi wake bint Mstimu watoto wawili.

My take: Najua kuwa ni maisha yake binafsi lakini unatuumiza unapowazini Dada zetu na kuwatupa, umempotezea muda sana bint Embe.
Zamaradi kapita,Dina kapita,kiuno bila mfupa kapita,sasa hivi naskia anapita kwa nanihii ndo mana binti mstimu kamtema😀😀😀😀😀😀😀
 
Hao mabinti wanajipeleka wenyewe. Ukiona sehemu ya kazi mmtumishi wa kike anazini na msimamizi wake basi elewa kuwa hajiamini katika utendaji wake na hivyo kutaka protection.

Mimi nitamlaani huyo boss kwa kumzalisha mdogo wangu akiwa na miaka 14 tu na kuharibu maisha yake kabisa mpaka mauti yakamkuta.

RIP Bezamenyo
nani huyo funguka mkuu
 
Kimbaombao Zama alitaka
Mwenyewe kula na Bo's,alitaka

Mwenyewe kuzaa maana mimba
Ndo alibeba Kwa kutaka umaarufu
Wa kugongwa na Bo's

Waacha amevuna alichopanda
 
Hahahahah noma sana vijana, nmependa hii style ya tafsida. Hivi yule fettylicious alizingua nn hadi akachezea nyekundu wadau?
Fetty aliacha mwenyewe baada ya mchumba kumwambia aache kazi akamfungulia duka pale kino, na yule mchumba akafanya maamuzi yasiyojulikana baadae akasababisha mwenzie aache kazi na yeye akamuacha
 
Kimbaombao Zama alitaka
Mwenyewe kula na Bo's,alitaka

Mwenyewe kuzaa maana mimba
Ndo alibeba Kwa kutaka umaarufu
Wa kugongwa na Bo's

Waacha amevuna alichopanda
Kwani ukiwa mfanyakazi hutakiwi kumpenda boss? btw Ruge alishapropose kwa Zama sema Zama aligundua hakuna muoaji akajiongeza.
 
Fetty aliacha mwenyewe baada ya mchumba kumwambia aache kazi akamfungulia duka pale kino, na yule mchumba akafanya maamuzi yasiyojulikana baadae akasababisha mwenzie aache kazi na yeye akamuacha
Wanawake mufkirie kabla ya kutenda
Sasa now anajilaumu sana kuacha kaz
 
Wanawake mufkirie kabla ya kutenda
Sasa now anajilaumu sana kuacha kaz
Mapenzi kaka angu na ukizingatia alivyomuachisha kazi alimfungulia duka akaona sawa tu tena anaenda kuwa mke wa tajiri. Ila mimi huo ujinga mume wangu asiniletee kabsaaa, akiniachisha kazi anifungulie biashara inayohusiana na elimu yangu sio nimesoma sheria ukanifungulie biashara ya pharmacy
 
Kwani ukiwa mfanyakazi hutakiwi kumpenda boss? btw Ruge alishapropose kwa Zama sema Zama aligundua hakuna muoaji akajiongeza.
Inawezekna kula na Bo's wako
Lakin before unafaakuangalia
Malengo yake na ww hasahasa
Kwa kina Dada Sasa ona Zama

Alilazalishwa mara 2 inamaana
Hakua anaona mwelekeo
Wa bos wake na yy after kuzaa mtt wa 1
 
Back
Top Bottom