Jambazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 16,648
- 18,742
Inaama boss Ruge alikuwa amesha toa na mahari??? Haahahhaha.... This is a wonderful thing I have never seen...Unajua nyie wanaume mnajua sana kutumanipulate? Sasa Zama baada ya mtoto wa kwanza boss akatangaza nia kwa kulipa mahari ila bado boss akawa anachelewesha ndoa. Wanawake wengi tunadanganywa kwa style hii ya pete na mahari halafu ukijashtuka umri umeenda unabaki kukaa kwenye relationship isiyo endelea ila Zama kachukua chake mapema nimempongeza kwa hilo.
Hapo ni sawa na kuweka pesa Fixed Deposits Accaunt.....