Bosi huyu ataoa lini umri unaenda?

Bosi huyu ataoa lini umri unaenda?

Inawezekna kula na Bo's wako
Lakin before unafaakuangalia
Malengo yake na ww hasahasa
Kwa kina Dada Sasa ona Zama

Alilazalishwa mara 2 inamaana
Hakua anaona mwelekeo
Wa bos wake na yy after kuzaa mtt wa 1
Unajua nyie wanaume mnajua sana kutumanipulate? Sasa Zama baada ya mtoto wa kwanza boss akatangaza nia kwa kulipa mahari ila bado boss akawa anachelewesha ndoa. Wanawake wengi tunadanganywa kwa style hii ya pete na mahari halafu ukijashtuka umri umeenda unabaki kukaa kwenye relationship isiyo endelea ila Zama kachukua chake mapema nimempongeza kwa hilo.
 
Mapenzi kaka angu na ukizingatia alivyomuachisha kazi alimfungulia duka akaona sawa tu tena anaenda kuwa mke wa tajiri. Ila mimi huo ujinga mume wangu asiniletee kabsaaa, akiniachisha kazi anifungulie biashara inayohusiana na elimu yangu sio nimesoma sheria ukanifungulie biashara ya pharmacy
Na kweli mapenz yameteka dunia
Na c ajabu unakuta Fett alikua anajua
Anaenda kuwa mke wa pili
Sasa afkir itakua ize kuolewa
 
Na kweli mapenz yameteka dunia
Na c ajabu unakuta Fett alikua anajua
Anaenda kuwa mke wa pili
Sasa afkir itakua ize kuolewa
Alikua anajua mbona kuwa jamaa ana mke ila aliona kwa kuwa wana asili ya uarabu ingekua simple tu kuongezwa mke wa pili.
 
Nimeshangaa sana... labda wanaooa huwa wanashikiwa akili na wake zao hivyo kupoteza umakini.
Ujue amemtukana yake baba mzazi?

Manake baba yake hakuwa makini alivyomuoa mama yake? ( sijui kama baba yake aliona lakini)
 
Unajua nyie wanaume mnajua sana kutumanipulate? Sasa Zama baada ya mtoto wa kwanza boss akatangaza nia kwa kulipa mahari ila bado boss akawa anachelewesha ndoa. Wanawake wengi tunadanganywa kwa style hii ya pete na mahari halafu ukijashtuka umri umeenda unabaki kukaa kwenye relationship isiyo endelea ila Zama kachukua chake mapema nimempongeza kwa hilo.
Kwa hlo apewe hongera lkn
Alichelewa kuchukua maamuz
Kama hayo cjui mtu unakaaje kwenye
Uchumba zaid ya 1year wanaume na
Cc kwakuwapotezea tim tuko
Mbelee
 
Kwa hlo apewe hongera lkn
Alichelewa kuchukua maamuz
Kama hayo cjui mtu unakaaje kwenye
Uchumba zaid ya 1year wanaume na
Cc kwakuwapotezea tim tuko
Mbelee
Unaongelea one year???? watu wanakaa 7yrs na wanaachana... tatizo hivi vitu ni kama destiny tu. Unakutana na mtu hata miezi miwili hammalizi anatangaza ndoa, mwingine miaka hata mitano haonyeshi dalili. Mfano yule thuwein makamba na Victoria wamezaa watoto mpaka wanasoma ndo wameoana.
 
Alikua anajua mbona kuwa jamaa ana mke ila aliona kwa kuwa wana asili ya uarabu ingekua simple tu kuongezwa mke wa pili.
Hayo ndo tunaita makosa ya kujitakia
Lakin yotekwayote n kama Fett alikua
Amefuata hella Kwa jamaa maana
Aliona hii n Bahat na haij mara 2
 
Unaongelea one year???? watu wanakaa 7yrs na wanaachana... tatizo hivi vitu ni kama destiny tu. Unakutana na mtu hata miezi miwili hammalizi anatangaza ndoa, mwingine miaka hata mitano haonyeshi dalili. Mfano yule thuwein makamba na Victoria wamezaa watoto mpaka wanasoma ndo wameoana.
Hili tatizo la kuzee kiwa
Kwenye uchumba n ttz sugu
Kwa Africa yan unakuja kufunga
Ndo na watoto wako wakat Mmoja
Sasa nan atampokea mwenzake
 
Hili tatizo la kuzee kiwa
Kwenye uchumba n ttz sugu
Kwa Africa yan unakuja kufunga
Ndo na watoto wako wakat Mmoja
Sasa nan atampokea mwenzake
Ila sisi hatuna uchumba sugu sana kama wazungu..
 
Back
Top Bottom