usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,956
- 14,032
Ndo vzr aweke heshimaShauri zake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo vzr aweke heshimaShauri zake.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] cjui KamaPovu huku lishazoeleka..
Unatuangushia jumba bovu sioWalaaah mm napga tu songa
Kuendeleza mchezo Ila
Wanzilish mpo
Haswaaaa tuna atilistIla sisi hatuna uchumba sugu sana kama wazungu..
Transcend n gol kipaUnatuangushia jumba bovu sio
Mkuu acha mafumbo basiii ....fafanuaZamaradi kapita,Dina kapita,kiuno bila mfupa kapita,sasa hivi naskia anapita kwa nanihii ndo mana binti mstimu kamtema😀😀😀😀😀😀😀
kumbeeeee!!nkajua keshaolewHajaolewa, jamaa ana mke sasa kabla hajapeleka ombi la kuongeza mke wa pili kwa mke wake mke akagundua ikabidi amuache Fetty.
Ilishindikana shookumbeeeee!!nkajua keshaolew
Eti mstimu hahahahah dahmbona kuna tetesi kwamba huyo bosi kabadili dini kuufata huo mstimu auchukue jumla?
Dah ina maana fetty yupo single sahivi na kazi hana?!....Fursa hiiFetty aliacha mwenyewe baada ya mchumba kumwambia aache kazi akamfungulia duka pale kino, na yule mchumba akafanya maamuzi yasiyojulikana baadae akasababisha mwenzie aache kazi na yeye akamuacha
Hana kazi ila ana biashara... changamki fursa maana mzuri kweli yule dadaDah ina maana fetty yupo single sahivi na kazi hana?!....Fursa hii
Mbona unataka kuharibu kibarua cha mtu.Kama umeshindwa kuelewa hapo kadai ada shule uliyosoma haikua na mwalim Wa kiswahili