Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Unajua nyie wanaume mnajua sana kutumanipulate? Sasa Zama baada ya mtoto wa kwanza boss akatangaza nia kwa kulipa mahari ila bado boss akawa anachelewesha ndoa. Wanawake wengi tunadanganywa kwa style hii ya pete na mahari halafu ukijashtuka umri umeenda unabaki kukaa kwenye relationship isiyo endelea ila Zama kachukua chake mapema nimempongeza kwa hilo.Inawezekna kula na Bo's wako
Lakin before unafaakuangalia
Malengo yake na ww hasahasa
Kwa kina Dada Sasa ona Zama
Alilazalishwa mara 2 inamaana
Hakua anaona mwelekeo
Wa bos wake na yy after kuzaa mtt wa 1