Bosi huyu ataoa lini umri unaenda?



Wazazi wa huyu boss walipata uhamisho kwenda Ethiopia miaka hiyo. Basi wakamwomba rafiki yao kuwa kwa kuwa kijana wao(boss) anamalizia masomo basi abaki kwao.

Yeye boss akawa anambaka huyo binti ndani ya nyumba ya wazazi wa binti. A very sad tale
 
tehe tehe tehe na ukute hana mpango wa kuoa ngoooooooooooo
Ila ni sperm donor mzuri kusema kweli
 
Ruge kaanza lini tabia ya kujiliza jamani, au karogwa na Bashite?
 
Hana kazi ila ana biashara... changamki fursa maana mzuri kweli yule dada
ina maana biashara a sio kazi?........ina unajua hata mabenki ni biasharaa za watu?...we kazi unajua ni ile ya kutumwa tumwa kama zezeta na kusubiri mshahara mwisho wa mwezi
 
ina maana biashara a sio kazi?........ina unajua hata mabenki ni biasharaa za watu?...we kazi unajua ni ile ya kutumwa tumwa kama zezeta na kusubiri mshahara mwisho wa mwezi
Eeeh...kazi unakua mtumwa biashara unakua boss
 
Japo natokea Tanga mapenzi yalipozaliwa,
Sijivishi ufundi nikajifanya nayajua,
Mi nna akili timamu naona tu mnavyoyarukia,
Ukiniona na demu mzuri haimaanishi ndio ntamuoa,
Napata wakati mgumu washkaji wanapolia kwa uchungu,
Kwani na mi nna maumivu yangu nasema tu na moyo wangu,
Watu wanalalamika wanavyoumizwa na ndoa zao,
Wengine wanaficha wanakufa na maumivu yao,
Sioi leo, sioi kesho-kutwa wala mtondogoo,
Sioi mchana, sioi jioni, usiku wala majogoo,
Morale nliyonayo sasa siwezi kubali kuibiwa,
Ngoja nizeekezeeke kwanza pengine ntakuja elewa,
Eti nizibe maskio wengine nifumbe macho nisione wakati naibiwa?
Hamuwezi kuwa hamjalewa,
Mi nikiona mtu anaibiwa naona kama naibiwa mimi,
So miaka kadhaa ijayo ndio mniulize naoa lini.


Hata nikitaka kuoa niambie ntamuoa nani?
watu wana watu wao wengine toka zamani
ukiambiwa we ni boyfriend haimaanishi uko peke yako
wadogo usoni wanahifadhi wazee wako
sijui ni dhiki au tamaa tu? watoto wanaanika njaa tu hawafikirii mapenzi wanachoona wao ni mkwanja tu
msinipe headache staki kufuata Mkumbo
nyi anzeni mi niacheni, staki kufanya gamble
marafiki wanauzana/ndio zao vicheche
na daima wanateteana/usiwaamini usiniangushe
anataka kuolewa na anamegwa kama kawa
demu wako akiuza wenzake, zinduka nae analiwa/yes
staki kuoa sababu staki kulia
najipanga nisiharibu staki mje kunihurumia
nafahamu nna Bahati mbaya kama nalala na bundi
ndio maana sijipi moyo wala sijitii maufundi
alilala na bibi arusi/siku moja kabla ya arusi na wala sio bwana arusi/bado mnanishauri arusi?
eti nizibe maskio wengine nifumbe macho nisione wakati naibiwa?
hamuwezi kuwa hamjalewa


usiseme unaamini mwanamke hata kama unamtania
watu na akili zao washajichuuza na wakalia
sikatazi watu kuoa na hata nikiwakataza neno langu sio sheria
sipendi wanawake napenda wanawake wazuri
wanaojitunza wanajiheshimu sio wa simu na gari
inahitaji muda kuwapata hakuna anaewajua vizuri
ndio maana mi nipo nipo sitaki kuvamia shari
wanatoroka na wazungu/wanamegwa na vibabu wanaiba waume za wenzao uso mkavu hawana aibu
ukitaka wako peke yako labda umuumbe mwenyewe
au kata mgonjwa uufiche mtaani usishindaniwe
wakikumegea demu wako nawe tafuta mnyonge ummegee
haipunguzi maumivu inarudisha hadhi ya kiume
kumegewa ni jambo moja kukimbiwa ushafkiria?
sio kila demu umuonae unaweza muoa
eti nizibe maskio! wengine nifumbe macho! nisione wakati naibiwa?
hamuwezi kuwa hamjalewa
mi nikiona mtu anaibiwa naona kama naibiwa mimi!
so miaka kadhaa ijayo ndio mniulize naoa lini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…