Bosi Ruge una akili sana, nakushauri ujiepushe na mabifu usije kuuawa tukaikosa akili yako

hakuna tofauti kati ya bosi ruge na fundi juma.. ni jina tu likizoeleweka kusikia mtu anaitwa hata wewe utamuita hivyo hivyo
sawa kabisa

ni sawa na mwalimu nyerere, wakati sio mwalimu wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…