nteze john lungu
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 214
- 200
Masikini bosi ruge yaliyonenwa hatimaye yametimia R.I.P bosi ruge, ila sio bosi wangu wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah huu uzi sijauonaga aseeSawa mjumbe wa islael mtoa roho.
Nyie jamaa acheni ufala ntapaliwa huku hahahkwani dr cheni ni dr wako?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jf kuna upuuzi kweli kweli. HahahahKwani agenda Sele Ni afande wako[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]?
We jamaa mbuz hahahahKwani baby madaha Ni baby wako?
Hahaha hii mada ishaingiliwa na vichaaHahaha kwani mkubwa fella ni mkubwa wako??
Asee nahisi kulia kwa kuchekaaaHa ha ha. JF pekeee ndio waweza cheka mpaka machozi. Pale ambapo mada inageuka kuwa "nani wako" badala ya mada husika. TGIF!!!
Hahahah *****kwani Dazz baba ni babaako
HahahaKwani babu tale ni babu yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unasema??Katika dunia kila dhambi inalipiwa inapofika wakati wa kulipia lazma ulipie tu hakuna namna.
sawa kabisahakuna tofauti kati ya bosi ruge na fundi juma.. ni jina tu likizoeleweka kusikia mtu anaitwa hata wewe utamuita hivyo hivyo