Bosi TRA anavyoitafuna nchi

Ni mzembe tu ambaye atapata kitengo serikali kwa sheria zetu hizi na asiwe tajiri hata Mungu atakushangaa..

Ila na wewe mtoa mada acha majungu hakuna mtendaji wa serikali anaweza kukaa na billion 35 ndani kwake..unaijua bi.35 lakini hata iwe kwenye dollar au pounds bado ni ngumu sana..
 
Tarura wapo barabarani kukamata watu wasiolipa parking na kuwafunga cheni magari yao.
 
Bro mwisho wa siku what matters ni ww na uzao wako mkuuu

Kuna mtu x mwaka y alikuwa kitengo z

Kwa miaka A alichota bil E akastaafu mwaka q yuko canada na wanae ana five star hotel 3 humo nchini right now

Hivyo kila mtu apambanie uzao wake mkuuuuu
Imagine kila mtu aingie alaf apambanie uzao wake waibe mpaka wasaze naamini zitakua ni familia chache Tu swali ni vipi hizi familia zaidi ya million 40 ambazo familia zao hazijapata nafasi hio ya kuiba ziendelee kuishi kwenye Lindi la umasikini kwasababu ya hizo familia chache ??
Daaah alaf ukishaiba ww na uzao wako wote then what next vipi ukienda kuulizwa na mungu kuhusu familia zaidi ya millioni 40 ulizoziibia utajibu nn
Kwann tunahamisishana maovu kwann tunahamisishana wizi daah unajua hii ndio itakua Tabia yetu tusipoangalia
 
Ni kweli mkuuu lakini sijamaanisha hivyo ulivyoelewa ww mkuu

Lengo ni kuwa kila mtu kwenye mapambano yake aangalie sehemu ya upigagi kama ni
1.biashara
2.kazini
3.siasa
4.udalali
5.madini
6.n.k. Yaani watu wapige tu wanavyoweza maana mirija ya fedha ipo sehemu nyingi sana humu duniani mkuuuuu na tz pia
 
bill 35 mv awe nayo ndani ?! Unajua hiyo ni shehena kubwa kiasi gani mkuu ?! Yani bill 10 ya noti za elfu kumi kumi could top fill your room ya 10 by 10 feet, any ways wizi umekidhiri nchi hii
 
Walishaambiwa wale kwa urefu wa kamba zao! Sasa huyu bwana kwa vile kamba yake ni ndefu mwache ale bwana!
 
da aisee hata kama kuna ukweli lakini hii story chumvi ni nyingi mno. Kweli 35B unaijua wewe? Mtu hawezi weka 35B nyumbani maana kama ni hela ya nyumbani ndiyo tuseme benki ana zaidi ya 35B. Hakuna mtu anayeweza risk kukaa na pesa yote hiyo ndani. au mzee mmegombana sasa umeamua kumchafua mwenzio maana unaonekana unamjua vizuri anapokaa,jina la mtoto, lini anastaafu, anawatoto wangapi, alihamisha mtoto shule, mara simu mara kahamisha mtoto shule inaonyesha ni mtu wake wa karibu swaiba.au ni mchepuko wake kakuacha maana siyo rahisi mtu kuyajua haya yote. Isitoshe kama ni bosi TRA cha ajabu nini mtoto kuwa na simu ya m2? usije kuta umeamua ita bosi ili kuweka story inoge maana siyo kila mtumishi wa hilo dude ni bosi wengine ni vidampa tu .ningekuwa mimi ndiyo wewe ningelipenda jua lini alianza kazi,je anabiashara gani, au kipato gani cha ziada nini kinamuingizia,. mimi mwenyewe demu wangu wa nje nimemnunulia iphone macho 3 sasa sembuse mwanangu nisimnunulie ? acha wivu tafuta pesa ukomboe wanao ndugu.kama namna gani weka ushahidi siyo story story . weka dude tujadili kweli tumjue.
 
mtarudi kumkumbuka Magufuli kwa upumbavu wenu mnawasikiliza sana chadema sera zao za kumsema Magufuli lakini mda sio mrefu mtaimba nyimbo moja woote, kodi zitazidi na bei ya bidhaa zitazidi mtakuwa kama libya lakini nyinyi bila vita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…