Codehood
JF-Expert Member
- Dec 9, 2021
- 345
- 785
Tatizo mfumo boss coz huo ndio utam-control kiongozi hata awe na tabia chafu kiasi gan but mfumo utamueka sawa tuNikiwa kama Sukuma Gang nammiss sana JPM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo mfumo boss coz huo ndio utam-control kiongozi hata awe na tabia chafu kiasi gan but mfumo utamueka sawa tuNikiwa kama Sukuma Gang nammiss sana JPM.
Ni mzembe tu ambaye atapata kitengo serikali kwa sheria zetu hizi na asiwe tajiri hata Mungu atakushangaa..Kuna watu wanaitafuna Nchi, Serikali ni sikivu, watu kama hawa hawatufai kwenye jamii yetu
BOSI TRA ANAVYOITAFUNA NCHI
Wakati kashfa ya baadhi ya watumishi wa umma kutajwa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) haijapoa, Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), (jina naliweka kapuni kwa sasa) 'anaitafuna' nchini!
Taarifa za uhakika zinaeleza Bwana Huyo (nitatumia jina hilo kwa sasa kabla ya kulitaja jina lake kamili hapo baadaye) ambaye ni bosi wa TRA upande wa bandarini, anaitafuna nchi vile anavyojisikia.
"Bwana Huyo anajiandaa kustaafu, kama sio mwaka huu basi mwakani. So (kwahiyo) anachokifanya sasa ni kufuru kaka. Anaiibia nchi bila woga," anasema mtoa taarifa.
Anasema Bwana Huyo ambaye ni baba wa watoto watano, amekuwa akishirikiana na baadhi ya wafanyabiashara wa mafuta kuihujumu Serikali katika ukwepaji wa kodi.
"Bwana Huyo anaishi Msasani hizi siku za wikiendi ni jambo la kawaida kuwaona Wafanyabiashara wakija nyumbani kwake na bahasha kubwa kubwa na wakati mwingine wanakuja na maboksi makubwa yenye pesa."
Kwa mujibu wa vyanzo vingine vya habari, vinasema Aprili 17, 2023 Mamlaka za Serikali ambazo bado hazijafahamika zilivamia nyumba yake usiku wa manane na kukuta kiasi kikubwa cha pesa kwenye maboksi.
"Kinachonishangaza na kunistajaabisha baada ya kumkamata usiku uleule aliachiwa na asubuhi akaingia kazini! Waliomvamia waliondoka na boksi 19 za pesa!
"Taarifa ambazo ninazo zinadai wale jamaa waliovamia usiku sina hakika ni TAKUKURU au Polisi, nasikia walikuta pesa nyingi sana. Maana inasemekana alikuwa na Dolla ambazo ukizileta kwenye pesa za Kitanzania inafika bilioni 35," anasema.
Taarifa zaidi zinasema, mtumishi huyo wa umma katika siku za hivi karibuni alinunua nyumba na kiwanja huku pesa ya mali hizo akizitoa nyumbani kwake Msasani.
"Bwana Huyo anaitafuna nchi nielewe. Hivi unaweza kununua nyumba zaidi ya milioni 150 halafu ukaenda ndani kuchukuwa 'cash' na kulipia? Sasa Bwana Huyo, amenunua nyumba Mwananyamala na kiwanja Bagamoyo kwa ajili ya kuweka sheli na pesa zote amelipia cash akitoa ndani kwake!" Anasema mtoa taarifa.
Anasema pamoja na kutoa taarifa kwa Mamlaka za Serikali (TAKUKURU Upanga) lakini anashangaa kuona hakuna hatua zilizochukuliwa na taasisi hiyo nyeti ya Serikali.
"Unajua nchi hii wakati mwingine watumishi walioaminiwa na serikali wanakatisha watu tamaa sana maana nishatoa taarifa Takukuru lakini hadi sasa hakuna lolote limefanyika," anasema.
Bwana Huyo, mwaka jana alimhamisha mtoto wake wa kiume aitwaye (jina kapuni kwa sasa) kutoka katika Shule ya Sekondari Bwawani kwenda St. Methew kwa kile kinachoelezwa "kuficha upigaji wa baba".
Taarifa zinasema mtoto wa Bwana Huyo alikamatwa na uongozi wa Shule ya Sekondari Bwawani akiwa na simu ya gharama aina ya 'iphone' maarufu kama macho matatu.
Taarifa zinasema Nelkoni alipohojiwa na uongozi wa shule alikiri kumwibia pesa baba yake na kununua simu hiyo ambayo gharama yake dukani si chini ya milioni 2. Baada ya taarifa hizo kufika kwa wazazi wa Nelkoni ndio wazo la kumwamisha likaja ili mengi zaidi yasijulikane.
Zipo taarifa zisizo na shaka kwamba baada ya uvamizi wa Aprili 17, Bwana Huyo aliwafuta kazi wafanyakazi wake wawili wa nyumbani.
Maswali ambayo hayajapatiwa majibu ni kuwa kwa nini mamlaka hazijachukua hatua za kumkamata Bwana Huyo? Boksi zilizokamatwa zipo wapi? Kwa nani? Nani yupo nyuma ya Bwana Huyo?
Nitarudi na ushahidi kamili ikiwemo wa nyaraka za ununuzi wa mashamba na nyuma ikiwa ni katika moja ya harakati zake za kutakatisha fedha.
Kila mtu anakula sehemu yakeTarura wapo barabarani kukamata watu wasiolipa parking na kuwafunga cheni magari yao.
Imagine kila mtu aingie alaf apambanie uzao wake waibe mpaka wasaze naamini zitakua ni familia chache Tu swali ni vipi hizi familia zaidi ya million 40 ambazo familia zao hazijapata nafasi hio ya kuiba ziendelee kuishi kwenye Lindi la umasikini kwasababu ya hizo familia chache ??Bro mwisho wa siku what matters ni ww na uzao wako mkuuu
Kuna mtu x mwaka y alikuwa kitengo z
Kwa miaka A alichota bil E akastaafu mwaka q yuko canada na wanae ana five star hotel 3 humo nchini right now
Hivyo kila mtu apambanie uzao wake mkuuuuu
Walishaambiwa wale kwa urefu wa kamba zao! Sasa huyu bwana kwa vile kamba yake ni ndefu mwache ale bwana!Kuna watu wanaitafuna Nchi, Serikali ni sikivu, watu kama hawa hawatufai kwenye jamii yetu
BOSI TRA ANAVYOITAFUNA NCHI
Wakati kashfa ya baadhi ya watumishi wa umma kutajwa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) haijapoa, Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), (jina naliweka kapuni kwa sasa) 'anaitafuna' nchini!
Taarifa za uhakika zinaeleza Bwana Huyo (nitatumia jina hilo kwa sasa kabla ya kulitaja jina lake kamili hapo baadaye) ambaye ni bosi wa TRA upande wa bandarini, anaitafuna nchi vile anavyojisikia.
"Bwana Huyo anajiandaa kustaafu, kama sio mwaka huu basi mwakani. So (kwahiyo) anachokifanya sasa ni kufuru kaka. Anaiibia nchi bila woga," anasema mtoa taarifa.
Anasema Bwana Huyo ambaye ni baba wa watoto watano, amekuwa akishirikiana na baadhi ya wafanyabiashara wa mafuta kuihujumu Serikali katika ukwepaji wa kodi.
"Bwana Huyo anaishi Msasani hizi siku za wikiendi ni jambo la kawaida kuwaona Wafanyabiashara wakija nyumbani kwake na bahasha kubwa kubwa na wakati mwingine wanakuja na maboksi makubwa yenye pesa."
Kwa mujibu wa vyanzo vingine vya habari, vinasema Aprili 17, 2023 Mamlaka za Serikali ambazo bado hazijafahamika zilivamia nyumba yake usiku wa manane na kukuta kiasi kikubwa cha pesa kwenye maboksi.
"Kinachonishangaza na kunistajaabisha baada ya kumkamata usiku uleule aliachiwa na asubuhi akaingia kazini! Waliomvamia waliondoka na boksi 19 za pesa!
"Taarifa ambazo ninazo zinadai wale jamaa waliovamia usiku sina hakika ni TAKUKURU au Polisi, nasikia walikuta pesa nyingi sana. Maana inasemekana alikuwa na Dolla ambazo ukizileta kwenye pesa za Kitanzania inafika bilioni 35," anasema.
Taarifa zaidi zinasema, mtumishi huyo wa umma katika siku za hivi karibuni alinunua nyumba na kiwanja huku pesa ya mali hizo akizitoa nyumbani kwake Msasani.
"Bwana Huyo anaitafuna nchi nielewe. Hivi unaweza kununua nyumba zaidi ya milioni 150 halafu ukaenda ndani kuchukuwa 'cash' na kulipia? Sasa Bwana Huyo, amenunua nyumba Mwananyamala na kiwanja Bagamoyo kwa ajili ya kuweka sheli na pesa zote amelipia cash akitoa ndani kwake!" Anasema mtoa taarifa.
Anasema pamoja na kutoa taarifa kwa Mamlaka za Serikali (TAKUKURU Upanga) lakini anashangaa kuona hakuna hatua zilizochukuliwa na taasisi hiyo nyeti ya Serikali.
"Unajua nchi hii wakati mwingine watumishi walioaminiwa na serikali wanakatisha watu tamaa sana maana nishatoa taarifa Takukuru lakini hadi sasa hakuna lolote limefanyika," anasema.
Bwana Huyo, mwaka jana alimhamisha mtoto wake wa kiume aitwaye (jina kapuni kwa sasa) kutoka katika Shule ya Sekondari Bwawani kwenda St. Methew kwa kile kinachoelezwa "kuficha upigaji wa baba".
Taarifa zinasema mtoto wa Bwana Huyo alikamatwa na uongozi wa Shule ya Sekondari Bwawani akiwa na simu ya gharama aina ya 'iphone' maarufu kama macho matatu.
Taarifa zinasema Nelkoni alipohojiwa na uongozi wa shule alikiri kumwibia pesa baba yake na kununua simu hiyo ambayo gharama yake dukani si chini ya milioni 2. Baada ya taarifa hizo kufika kwa wazazi wa Nelkoni ndio wazo la kumwamisha likaja ili mengi zaidi yasijulikane.
Zipo taarifa zisizo na shaka kwamba baada ya uvamizi wa Aprili 17, Bwana Huyo aliwafuta kazi wafanyakazi wake wawili wa nyumbani.
Maswali ambayo hayajapatiwa majibu ni kuwa kwa nini mamlaka hazijachukua hatua za kumkamata Bwana Huyo? Boksi zilizokamatwa zipo wapi? Kwa nani? Nani yupo nyuma ya Bwana Huyo?
Nitarudi na ushahidi kamili ikiwemo wa nyaraka za ununuzi wa mashamba na nyuma ikiwa ni katika moja ya harakati zake za kutakatisha fedha.
Si amekwambia ni madolali?bill 35 mv awe nayo ndani ?! Unajua hiyo ni shehena kubwa kiasi gani mkuu ?! Yani bill 10 ya noti za elfu kumi kumi could top fill your room ya 10 by 10 feet, any ways wizi umekidhiri nchi hii
Usd equivalentbill 35 mv awe nayo ndani ?! Unajua hiyo ni shehena kubwa kiasi gani mkuu ?! Yani bill 10 ya noti za elfu kumi kumi could top fill your room ya 10 by 10 feet, any ways wizi umekidhiri nchi hii
da aisee hata kama kuna ukweli lakini hii story chumvi ni nyingi mno. Kweli 35B unaijua wewe? Mtu hawezi weka 35B nyumbani maana kama ni hela ya nyumbani ndiyo tuseme benki ana zaidi ya 35B. Hakuna mtu anayeweza risk kukaa na pesa yote hiyo ndani. au mzee mmegombana sasa umeamua kumchafua mwenzio maana unaonekana unamjua vizuri anapokaa,jina la mtoto, lini anastaafu, anawatoto wangapi, alihamisha mtoto shule, mara simu mara kahamisha mtoto shule inaonyesha ni mtu wake wa karibu swaiba.au ni mchepuko wake kakuacha maana siyo rahisi mtu kuyajua haya yote. Isitoshe kama ni bosi TRA cha ajabu nini mtoto kuwa na simu ya m2? usije kuta umeamua ita bosi ili kuweka story inoge maana siyo kila mtumishi wa hilo dude ni bosi wengine ni vidampa tu .ningekuwa mimi ndiyo wewe ningelipenda jua lini alianza kazi,je anabiashara gani, au kipato gani cha ziada nini kinamuingizia,. mimi mwenyewe demu wangu wa nje nimemnunulia iphone macho 3 sasa sembuse mwanangu nisimnunulie ? acha wivu tafuta pesa ukomboe wanao ndugu.kama namna gani weka ushahidi siyo story story . weka dude tujadili kweli tumjue.Kuna watu wanaitafuna Nchi, Serikali ni sikivu, watu kama hawa hawatufai kwenye jamii yetu
BOSI TRA ANAVYOITAFUNA NCHI
Wakati kashfa ya baadhi ya watumishi wa umma kutajwa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) haijapoa, Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), (jina naliweka kapuni kwa sasa) 'anaitafuna' nchini!
Taarifa za uhakika zinaeleza Bwana Huyo (nitatumia jina hilo kwa sasa kabla ya kulitaja jina lake kamili hapo baadaye) ambaye ni bosi wa TRA upande wa bandarini, anaitafuna nchi vile anavyojisikia.
"Bwana Huyo anajiandaa kustaafu, kama sio mwaka huu basi mwakani. So (kwahiyo) anachokifanya sasa ni kufuru kaka. Anaiibia nchi bila woga," anasema mtoa taarifa.
Anasema Bwana Huyo ambaye ni baba wa watoto watano, amekuwa akishirikiana na baadhi ya wafanyabiashara wa mafuta kuihujumu Serikali katika ukwepaji wa kodi.
"Bwana Huyo anaishi Msasani hizi siku za wikiendi ni jambo la kawaida kuwaona Wafanyabiashara wakija nyumbani kwake na bahasha kubwa kubwa na wakati mwingine wanakuja na maboksi makubwa yenye pesa."
Kwa mujibu wa vyanzo vingine vya habari, vinasema Aprili 17, 2023 Mamlaka za Serikali ambazo bado hazijafahamika zilivamia nyumba yake usiku wa manane na kukuta kiasi kikubwa cha pesa kwenye maboksi.
"Kinachonishangaza na kunistajaabisha baada ya kumkamata usiku uleule aliachiwa na asubuhi akaingia kazini! Waliomvamia waliondoka na boksi 19 za pesa!
"Taarifa ambazo ninazo zinadai wale jamaa waliovamia usiku sina hakika ni TAKUKURU au Polisi, nasikia walikuta pesa nyingi sana. Maana inasemekana alikuwa na Dolla ambazo ukizileta kwenye pesa za Kitanzania inafika bilioni 35," anasema.
Taarifa zaidi zinasema, mtumishi huyo wa umma katika siku za hivi karibuni alinunua nyumba na kiwanja huku pesa ya mali hizo akizitoa nyumbani kwake Msasani.
"Bwana Huyo anaitafuna nchi nielewe. Hivi unaweza kununua nyumba zaidi ya milioni 150 halafu ukaenda ndani kuchukuwa 'cash' na kulipia? Sasa Bwana Huyo, amenunua nyumba Mwananyamala na kiwanja Bagamoyo kwa ajili ya kuweka sheli na pesa zote amelipia cash akitoa ndani kwake!" Anasema mtoa taarifa.
Anasema pamoja na kutoa taarifa kwa Mamlaka za Serikali (TAKUKURU Upanga) lakini anashangaa kuona hakuna hatua zilizochukuliwa na taasisi hiyo nyeti ya Serikali.
"Unajua nchi hii wakati mwingine watumishi walioaminiwa na serikali wanakatisha watu tamaa sana maana nishatoa taarifa Takukuru lakini hadi sasa hakuna lolote limefanyika," anasema.
Bwana Huyo, mwaka jana alimhamisha mtoto wake wa kiume aitwaye (jina kapuni kwa sasa) kutoka katika Shule ya Sekondari Bwawani kwenda St. Methew kwa kile kinachoelezwa "kuficha upigaji wa baba".
Taarifa zinasema mtoto wa Bwana Huyo alikamatwa na uongozi wa Shule ya Sekondari Bwawani akiwa na simu ya gharama aina ya 'iphone' maarufu kama macho matatu.
Taarifa zinasema Nelkoni alipohojiwa na uongozi wa shule alikiri kumwibia pesa baba yake na kununua simu hiyo ambayo gharama yake dukani si chini ya milioni 2. Baada ya taarifa hizo kufika kwa wazazi wa Nelkoni ndio wazo la kumwamisha likaja ili mengi zaidi yasijulikane.
Zipo taarifa zisizo na shaka kwamba baada ya uvamizi wa Aprili 17, Bwana Huyo aliwafuta kazi wafanyakazi wake wawili wa nyumbani.
Maswali ambayo hayajapatiwa majibu ni kuwa kwa nini mamlaka hazijachukua hatua za kumkamata Bwana Huyo? Boksi zilizokamatwa zipo wapi? Kwa nani? Nani yupo nyuma ya Bwana Huyo?
Nitarudi na ushahidi kamili ikiwemo wa nyaraka za ununuzi wa mashamba na nyuma ikiwa ni katika moja ya harakati zake za kutakatisha fedha.
Kashamtaja ni baba nelkon🤣Kuficha identity yake hujaitendea haki nchi na hujawajibika zaidi inakuwa majungu ss
Milango imefunguliwa wanamtandao wameingia!!Bongo kuna rais basi waaaai