Zombie S2KIZZY
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 826
- 1,622
Bosi mwenye saluni inayoitwa bahari popote ulipo nakufikishia haya malalamiko,
Mimi ni mteja hapo saluni kwako tokea 2017 mpaka Sasa hata nikienda mikoani nikirudi huwa nakuja kupata huduma hapo huduma ni nzuri Ila kero yangu ni kwa baadhi ya vinyozi wako wanaomba Sana hela yaan najikuta sometimes naogopa kuja kunyolewa hapo sababu yakuombwa hela na hao vinyozi,ni tabia inayonikera Sana.
Bei ya kunyoa ni elfu kumi nalipia pale kwa accountant naondoka naenda kwenye gari langu nataka kuondoka kinyozi ananifata kwenye gari ananiomba Tena hela, yaani nilipe Mara mbili kwel hii sio sawa mzee wanatufukuza wateja.
Halafu hii sio Mara moja ni Mara nyingi wanaomba omba yaan wanapeana zamu siku nyingine yule midevu mwenye kitambi siku nyingine yule bwana mwenye mawani ,nimechoshwa na tabia zao.
Kwani unawalipaje mshahara ndogo? Au huwalipi?
Najua upo humu JamiiForums naomba ulirekebishe hili.