Bosi wa bahari barbershop nakufikishia haya malalamiko

Status
Not open for further replies.
Unafiki wa wabongo ulivyo sasa, ukute kipindi unaombwa, unatoa kwa majigambo yote kumbe unasononekea moyoni.

Ungekataa toka ulipoombwa siku ya kwanza wasingekuomba tena.

Wa Tz tuna ugonjwa mkubwa sana wa kukosa neno HAPANA hata kwa yale tusiotaka kuyafanya.
 
...Wanakukimbiliaje ? Wanakukimbilia kwamba Umesahau Kulipa Hela ? Au wanakuambia kabisa " Tunaomba chochote '?.... SI Unakataa TU ? Una haja ya Kufungua Uzi humu kwelikuwashitaki ??
 
Saloon zenu za vibopa
Mnaonekana madon laZima
Mpigwe virungu
Mm nmenyoa sana gharama 3000
Saloon haina mbwembwe

Ova
Wewe kama mimi mkuu 😄 sasa narembwa kwanini
Mimi ni neno moja tu #1
 
Mwana unafeli,ukute kwa wadada wanaotuosha unatoa tena bila kuombwa,ukiwa nacho wasitiri wanaume wenzio huo Ndio utu,wewe sijui kama unaweza kunywa bia na washkaji wewe mi mchoyo alafu malaya
AMenisikitisha sana.
 
3000 nayo ni hela ya kumsimangia mtu basi!
 
Aisee
 
Kwanini akukimbilie ukiwa unaelekea kwenye gari yako? Why asiombee saloon

Anyways kama amekunyoa vizuri si mbaya kumpea tip jamani
Pengine kuna camera za ulinzi, wanaogopa kuombea ndani.
 
Saloon zenu za vibopa
Mnaonekana madon laZima
Mpigwe virungu
Mm nmenyoa sana gharama 3000
Saloon haina mbwembwe

Ova
Hao ndo wale mara wasuguliwe uso... sijui kucha na kutomaswa tomaswa anaacha elf 10 yake hapo....
 
Vinyozi ombaomba. Majanga.

Hizi tabia za kuombaomba Tanzania zina makabila au ni janga la taifa?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…