Bosi wa Facebook kaanza mwaka kwa kuingiza matrilioni

Bosi wa Facebook kaanza mwaka kwa kuingiza matrilioni

Kula like..nimecheka vibaya mno.Huku mpaka unasahau mkeo hahahahaaaaa.Mtu anapaka zile sijui color mara green mara white.Kucha kuleeeee..mapambo haya ya dunia daah.
bado sasa bla bla[emoji23] [emoji23]
akifunguliwa duka la nguo...oh am a Boss, i make money moves" ooh sijui mnaoniponda hamnifikii kwa lolote...hapo mlipo mnatumia tecno mtanifikia wapi"

yani bla bla hapo ndo nachokaga kabisa
 
Mara nyingi watu wanaojua na waliostaarabika huwa wapo cool saana.Hata kipindi cha shule utaona wanafunzi wanaojua sana wapo wapo tu.Lakini sasa ukute umeotea kihesabu sijui Fisikia ..oooh makelele kibao.Great thinkers mara zote wapo wapo tu,huwa hawalazimishi watu wawajue.Ila Umenichekesha sana ndugu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
picha za watoto/mtoto wao please
Wa 1 anaitwa maxima ...wa 2 anaitwa august ..wote wa kike

mark-zuckerberg1.jpg

huyu ni Maxima
 
Ikiwa zimepita siku 10 tu toka tuanze mwaka huu wa 2018. Mwanzilishi wa Facebook Mark Zucckerberg ameshaingiza kiasi cha dola bilioni 4 ( TRILIONI 8.9 za kitanzania) kulingana na orodha ya mabilionea ya Bloomberg.

Ripoti zinasema, ‘Fahirisi kubwa za soko ni juu ya 2% ya mwaka hadi sasa. Zuckerberg mwenye umri wa miaka 33 ameshaingiza kiasi cha dola bilioni 4.16 tangu mwaka 2018 ulipoanza, na hisa za kampuni zinaongezeka zaidi ya 5% . Zuckerberg sasa amehamia kutoka 5 hadi 4 kwenye orodha ya mabilionea ya Bloomberg na sasa ana thamani ya karibu dola bilioni 77.

Bloomberg Billionaires kila siku kinataja watu matajiri zaidi duniani. Takwimu zinasahishwa mwisho wa kila siku ya biashara huko mjini New York.

View attachment 673883
Hapa akiwa na mkewe Priscilla
SIKU 10 UNAINGIZA TRILIONI 8.9 ZA KITANZANIA
Kazi nzuri
 
Back
Top Bottom