ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Shitholes ndio huwa wanaposti pesa mitandaoniHuyu jamaa hana makuu, sijawai kumuona amepost fedha mitandaoni
kama kaka yako Floyd Maywether
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shitholes ndio huwa wanaposti pesa mitandaoniHuyu jamaa hana makuu, sijawai kumuona amepost fedha mitandaoni
Uku angekua kama zombiUyo dada hata wanja wa gel hajapaka...
ila huku sasa
Duh!!Sipendi mambo ya uke wenza mimi lakini apa akiniambia ananioa ata mke wa 10 hewala.na kigelegele juu najipigia mwenyweeeee😀😛
Yakweli hayo mkuu?Tatizo shoga *****
Kula like..nimecheka vibaya mno.Huku mpaka unasahau mkeo hahahahaaaaa.Mtu anapaka zile sijui color mara green mara white.Kucha kuleeeee..mapambo haya ya dunia daah.Uyo dada hata wanja wa gel hajapaka...
ila huku sasa
bado sasa bla bla[emoji23] [emoji23]Kula like..nimecheka vibaya mno.Huku mpaka unasahau mkeo hahahahaaaaa.Mtu anapaka zile sijui color mara green mara white.Kucha kuleeeee..mapambo haya ya dunia daah.
Mara nyingi watu wanaojua na waliostaarabika huwa wapo cool saana.Hata kipindi cha shule utaona wanafunzi wanaojua sana wapo wapo tu.Lakini sasa ukute umeotea kihesabu sijui Fisikia ..oooh makelele kibao.Great thinkers mara zote wapo wapo tu,huwa hawalazimishi watu wawajue.Ila Umenichekesha sana ndugu.bado sasa bla bla[emoji23] [emoji23]
akifunguliwa duka la nguo...oh am a Boss, i make money moves" ooh sijui mnaoniponda hamnifikii kwa lolote...hapo mlipo mnatumia tecno mtanifikia wapi"
yani bla bla hapo ndo nachokaga kabisa
Waswahili tunasema yote maisha.Kuna wengine Mungu amewaumba kusota
Wengine wameumbiwa mteremko
Tunamshukuru kwa yote.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mara nyingi watu wanaojua na waliostaarabika huwa wapo cool saana.Hata kipindi cha shule utaona wanafunzi wanaojua sana wapo wapo tu.Lakini sasa ukute umeotea kihesabu sijui Fisikia ..oooh makelele kibao.Great thinkers mara zote wapo wapo tu,huwa hawalazimishi watu wawajue.Ila Umenichekesha sana ndugu.
Wa 1 anaitwa maxima ...wa 2 anaitwa august ..wote wa kikepicha za watoto/mtoto wao please
ni sawa,business owner na investors kwao hasara ni kawaida sana hata iwe ya fedha kias ganPia kumbuka amekula loose ya $3.8billion juzi tu hapa shares zilishuka kwa 4% ,baada ya kutangaza kubadilisha news feed on fb
Zuckerberg's News Feed Changes Cost Him $3.3 Billion In 1 Day
Wadada wa huku shithole mna matumizi mabaya ya fedha..!Uyo dada hata wanja wa gel hajapaka...
ila huku sasa
Akina diamondoShitholes ndio huwa wanaposti pesa mitandaoni
kama kaka yako Floyd Maywether
Kazi nzuriIkiwa zimepita siku 10 tu toka tuanze mwaka huu wa 2018. Mwanzilishi wa Facebook Mark Zucckerberg ameshaingiza kiasi cha dola bilioni 4 ( TRILIONI 8.9 za kitanzania) kulingana na orodha ya mabilionea ya Bloomberg.
Ripoti zinasema, ‘Fahirisi kubwa za soko ni juu ya 2% ya mwaka hadi sasa. Zuckerberg mwenye umri wa miaka 33 ameshaingiza kiasi cha dola bilioni 4.16 tangu mwaka 2018 ulipoanza, na hisa za kampuni zinaongezeka zaidi ya 5% . Zuckerberg sasa amehamia kutoka 5 hadi 4 kwenye orodha ya mabilionea ya Bloomberg na sasa ana thamani ya karibu dola bilioni 77.
Bloomberg Billionaires kila siku kinataja watu matajiri zaidi duniani. Takwimu zinasahishwa mwisho wa kila siku ya biashara huko mjini New York.
View attachment 673883
Hapa akiwa na mkewe Priscilla
SIKU 10 UNAINGIZA TRILIONI 8.9 ZA KITANZANIA
Huku kwetu bonge la Part kumtoa mtoto tu..tena part la vijembe..Africa rahaa sana
[emoji23][emoji2][emoji23]Huku kwetu bonge la Part kumtoa mtoto tu..tena part la vijembe..Africa rahaa sana
[emoji23][emoji2][emoji23]